Letter in Swahili from a Kenyan woman in prison in Hong Kong for drug trafficking - inviting comments to which she will happily reply. Her letter is here (June 14):
2017
May I take this...
Wanawake watatu wameuwawa, katika kile wakuu nchini Colombia wanasema kuwa, shambulio la kigaidi katika mji mkuu Bogota.
Mlipuko huo ulitokea katika soko moja la biashara la Zona Rosa, katika mji...
Wengine wote tumezawadiwa tu huu unaoitwa Uhuru, USA haijapewa Uhuru bali imeuchukuwa kwa nguvu ktk kwa Wakoloni, USA ilipigana Vita na kuwashinda Wakoloni na kuchukuwa Uhuru wao na ndiyo maana...
World
Tom O’Connor,Newsweek Thu, Jun 15 11:16 PM GMT+
The Iraqi army and its allies have completely surrounded the Islamic State militant group (ISIS) in Mosul's Old City, the jihadists' final...
Karl-Theodor zu Guttenberg had been stripped of doctorate by University of Bayreuth
Karl-Theodor zu Guttenberg as the fearless man of action on a German navy frigate in the Mediterranean...
Polisi wamethibitisha kwamba idadi ya watu waliofariki kutokana na mkasa wa moto katika jumba la Grenfell Tower magharibi mwa London imefikia 30.
Bado kuna watu wengi ambao hawajulikani walipo...
Chama Kikongwe cha Afrika ya Kusini ANC ( African National Congress ) kinajipanga kubadili jina la nchi hiyo ambayo ni Afrika ya Kusini / South Africa kwa madai kwamba hilo jina haliakisi vilivyo...
Rais wa Serbia amemteua mwanamke ambaye ni mpenzi wa jinsia moja kuwa waziri mkuu katika jimbo la kihafidhana la Balkan.
Ana Brnabic alichaguliwa na rais mpya , Aleksandar Vucic. Kuidhinishwa...
Aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan pamoja na viongozi wengine wa zamani kutoka Afrika wamewasilisha ombi la dharura la kuwepo kwa amani wakati wa mpito nchini Jamhuri ya...
Katika zama za Kennedy na Kerry kulitokea hukumu ya Mahakama Kuu ya Marekani kuhusu utoaji mimba na uangalizi wa baadhi ya watu katika kanisa kuhusu kura za wanasiasa Wakatoliki bungeni.
Mahakama...
THERE are growing concerns among US politicians that the North Koreans have the capability to launch a devastating EMP attack that would wipe out the American financial system and transport...
Katika hali isiyokuwa yakawaida inayonekana kuwa ngumu kwa Trump, Rais wa Marekani D.Trump amemtafuta Rafiki yake KimJong Kim, mchezaji wa zamani wa Chicago Bulls, Dennis Rodman aende Korea...
Kamanda wa kikosi hicho anasema mamia ya wanajeshi hao wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ubakaji huenda wakarejeshwa nyumbani ikiwa nidhamu yao haitaimarika.
Umoja wa Mataifa umesema nyaraka...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia wa Iran amekutana na mawaziri wa nchi za Kiafrika mjini Geneva na kusema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kutoa huduma za kiufundi na kihandisi katika sekta...
Habari iliyopo South Africa ni kwamba wanataka kubadilisha jina la nchi yao, wakidai jina South Africa sio jina bali linaeleza mahali nchi ilipo katika bara la Afrika. Kimsingi wanasema South...
Ugawaji wa Chupi za bure kwa wanaume watakao kubali kutairiwa imekuwa chachu ya ongezeko la idadi ya wanaume wanaofika katika vituo vya kufanyia tohara.
Katika wilaya ya Moroto zoezi hilo la...
Maafisa wa Nigeria wamekamata mchele wa plastiki
Nigeria imekamata magunia 102 ya ''mchele wa plastiki'' yaliyokuwa yanaingizwa nchini humo na wafanyabiashara haramu ambao walitaka kuuza katika...
Mke wa Waziri Mkuu mpya wa Lesotho,Bwana. TOM THABANE ameuawa kwa kupigwa risasi jana usiku katika kijiji kimoja kwenye vitongoji vya Mji mkuu wanchi hiyo Maseru.
Taarifa zinasema Bibi. LIPOLELO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.