International Forum

News and Stories from rest of the World
Jaribio la mtu mmoja aliyetaka kuuza paka 500 kwenye migahawa tofauti ili watumike kama nyama, limeshindikana baada ya polisi kupata taarifa na kumkamata. Gazeti la South China Morning Post...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
June 5, 2017 Dubai By REUTERS ‘Ramifications could be huge’: Qatar and its Gulf neighbours could lose billions from rift in Middle East DUBAI — A diplomatic rift between Qatar and its Gulf...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jengo moja la ghorofa limeshika moto katika barabara ya Latimer, magharibi mwa jiji la London, watu walio shuhudia tukio hilo wanasema,moto huo umeleta mshituko mkubwa hali iliyosababisha baadhi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Aliyekuwa Rais wa Ivory Laurent Gbagbo ameshambuliwa akiwa anatembea mtaani jijini Paris Ufaransa na wananchi ambao wanasadikiwa kuwa ni raia wenye asili ya Ivory Coast waishio Ufaransa
0 Reactions
20 Replies
5K Views
CANADA: Mwandishi wa habari wa Kituo cha ABC nchini Canada, Adam Harvey amepigwa na risasi kwa makosa shingoni wakati akiripoti mapigano yanayoendelea chini Ufilipino. Licha ya kunusurika, lakini...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Korea Kaskazini yaanzisha mafunzo ya Kijeshi kwa watoto nchini humo kuwaandaa na mapambano dhidi ya “ukoloni wa Marekani” na kumlinda Rais wao mpendwa, Kim Jong-un. Mwalimu katika shule hiyo ya...
6 Reactions
27 Replies
6K Views
At least five people have been killed in a 6.9-magnitude earthquake that struck in western Guatemala near the border with Mexico, according to Guatemalan authorities. Wednesday's fatalities...
0 Reactions
3 Replies
754 Views
Shambulizi la bomu la kujitoa mhanga na la bunduki katik hoteli moja na mgahawa kwenye mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, limewaua takriban watu 19. Shambulizi hilo lilianza siku ya Jumatano jioni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Poll Poll
SUPER AUTOMATIC SSD CHEMICALS SOLUTION, VECTROL PASTE SOLUTION, ACTIVECTION POWDER, MERCURY PASTE,AUTOMATIC CLEANING MACHINE FOR BLACK MONEY./ Email; autoclear_solution@yahoo.com Email...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
The United Nations says Turkey's decision to convict one of its judges is a breach of both diplomatic immunity and a binding legal order. Judge Aydin Sefa Akay, from the UN's Mechanism for...
0 Reactions
3 Replies
511 Views
BANGLADESH: Idadi ya watu waliofariki dunia baada ya makazi yao kukumbwa na mafuriko yaliyopelekea maporomoko ya ardhi yafikia 145. ====== Rescue workers are battling to reach victims of the...
0 Reactions
1 Replies
577 Views
SAUDI ARABIA: Mahujaji kutoka Qatar wazuiwa kuingia nchini humo kwaajili ya kwenda kuhiji katika Msikiti wa Masjid al-Haram uliopo Mecca. Zuio hilo limekuja baada ya kuzuka kwa mgogoro baina ya...
2 Reactions
316 Replies
24K Views
Spika wa Bunge la Zambia amewatimua bungeni, wapinzani wote wa Chama cha UPND kwa muda wa siku 30. Hivyo bunge hilo litakosa uwakilishi wa chama hicho cha UPND (United Party for National...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kiranja wa walio wengi katika Bunge la Congress nchini Marekani Steve Scalise, amepigwa risasi na kujeruhiwa alipokuwa akihudhuria mazoezi ya mchezo wa baseball miongoni mwa wabunge. Yamkini watu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Takriban wahamiaji 100 wameokolewa baada ya kutelekezwa wakati wakijaribu kuvuka jangwa kaskazini mwa Niger,Chombo cha habari cha Ufaransa, RFI kimeripoti. Imeripotiwa kuwa watu 92 waliookolewa...
0 Reactions
5 Replies
778 Views
Polisi nchini Kenya kaunti ya Bungoma, wanamzuilia mama aliyemfungia mwanae ndani ya gari na kumuacha akafa huku akijiburudisha na mpenzi kwenye gesti. Mwanamke huyo yasemekana kuwa, alimfungia...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Masalia ya Obama yaanza kuwashambulia watu wa Donald Trump, USA will never be same again! Latest: Rep. Scalise, Four Others Shot, Gunman in Custody – Republicans targeted
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Najua wapo wafilisti flani watakataa Trump baba wa dunia yani a world leader Ndie anaongoza kwa kuchangiwa kwa wingi mada zake Mchana mwema
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Gazeti la Middle East Monitor limeandika Rais wa Somalia amekataa kupokea dola milioni 80 za kimarekani kutoka Saudi Arabia ili nchi hiyo ya Somalia ijiunge na muungano wa nchi za kiarabu katika...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Aliyekua kiongozi wa waasi nchini Congo, Bosco Ntaganda anatarajiwa kutoa ushahidi leo katika mahakama ya kimatafa ya ICC. Ntaganda aliyepewa jina la 'The Terminator ' atasimama kizimbani ikiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom