Mvua kubwa za monsoon zimesababisha maafa baada ya watu 46 kufariki kusini mashariki mwa Bangladesh wakiwa wamefukiwa na udongo.
Jeshi la Polisi limetahadharisha kuwa idadi ya vifo inatarajiwa...
wakuu wa idara zote pamoja na kiongozi mkuu THE BOLD itifaki imezingatiwa ......
samahani sana wakuu hivi siku moja mnaweza kuuleta uzi unao elezea south africa historia yake kwa mapana juu ya...
Bunge la Japan limeidhinisha sheria itakayomuwezesha Mfalme wa nchi hiyo Akihito kuondoka madarakani, jambo ambalo litakuwa la kwanza kwa mfalme kung'atuka nchini humo kwa zaidi ya miaka mia...
Korea kaskazini imerusha makombora kadha ya kushambulia meli mashaiki mwa Pwani yake, kwa mujibu wa Korea Kusini
Mamlaka zilisema kwa makombora hayo yaliyorushwa Alhamisi asubuhi karibu na mji wa...
Kijana ajikuta matatani na kufungwa miaka 35 jela baada ya kupost picha na video zinazodhihaki familia ya kifalme huko Thailand.
Mahakama ya kijeshi ilimchukulia hatua hiyo ambayo hata hivyo...
1.the highest per capita income in the world at the rate of 146 thousand dollars annually
2. the second country in the world in the number of millionaires approximately 30 thousand millionaires...
Aliyekuwa mwendesha mashtaka wa serikali wa New York, ameweka wazi kufukuzwa kwake kazi na Rais Donald Trump baada ya kupokea baadhi ya simu zisizo za kawaida kutoka kwake.
Preet Bharara...
The Airbus 330-200 takes off for its final test flight in Toulouse, France, yesterday, before the manufacturers handed it over to RwandAir officials yesterday. The plane is expected to touch down...
URUSI: Kiongozi wa Upinzani, Alexei Navalny akamatwa wakati akilekea kwenye maandamano. Mke wake asema kuwa maandamano yataendelea.
Mke wa kiongozi huyo aliandika katika ukurasa wake wa Twitter...
Iran is sending two warships to Oman before they start their mission in international waters near the coast of Yemen, the country's navy has said.
The Tasnim news agency reported that the two...
Tetemeko kubwa la ardhi limetokea katika Pwani ya Aegean maeneo ya Magharibi mwa Uturuki na kuathiri pia visiwa vya Lesbos nchini Ugiriki.
Mitetemeko ya ardhi ilisikika pia Istanbul na Athens...
A man walks through a damaged street in the village of Plomari on the Greek island of Lesbos on June 12, 2017
A man walks through a damaged street in the village of Plomari on the Greek island of...
Hili taifa sijapata kuona toka nizaliwe
Hili ndo mfadhili mkuu wa magaidi wa misimamo mikali kama ISIS na Al qaeda
Hata marekani wanalijua hilo
Waarab kama wana nia ya kupambana na ugaidi...
Serikali inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa nchini Libya, imepinga kuachiliwa kwa mwana wa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Kanali Gaddafi.
Seif Al Islam Gaddafi, alikuwa amezuiliwa na kundi...
WASHINGTON (AP) — Fellow Republicans pressed President Donald Trump on Sunday to come clean about whether he has tapes of private conversations with former FBI Director James Comey and provide...
Saif al-Islam Gaddafi, mwana wa pili wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi anadaiwa kuwa huru baada ya kuzuiliwa kwa kipindi cha miaka sita.
Kuna wasiwasi huenda hatua hiyo ikatikisa...
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani Rex Tillerson anasema kuwa nchi za Ghuba ni lazima zilegeze hatua yao dhidi ya Qatar ambayo inalaumiwa na majirani zake kwa kuunga mkono ugaidi...
President Emmanuel Macron’s political camp has secured a significant victory in the first round of parliamentary elections, which could land the one-year-old political movement with as much as...
Wananchi wa Uingereza hawataki kuwa Wanachama wa Umoja wa Ulaya na walipiga kura ya maoni ya kujitoa, sasa kwa hali ya kawaida na kidemokrasia ilipaswa kura yao iheshimiwe na nchi ya Uingereza...
Kevin McAllister, chief executive of Boeing jetliner business.
Ndege zilianza na Pilots watatu na kupunguzwa kufikia wawili, lakini Boeing ina mpango wa kutengeneza self flying planes za kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.