Massive explosion goes off as workers were making firecrackers at factory in Madhya Pradesh state.
At least 25 people were killed and several others were injured in an explosion at a fireworks...
FILE PHOTO: FBI Director James Comey testifies before the House Intelligence Committee hearing into alleged Russian meddling in the 2016 U.S. election, on Capitol Hill in Washington, U.S., March...
Kuna tetesi kuwa magaidi wameshambulia bunge la Iran na Haram ya Imam Khomeini
Moto umewaka.
---------------------
The Tasnim news agency is reporting that seven people have now died in the...
Kamati ya Bunge la Seneti la masuala ya usalama nchini Marekani imechapisha ushahidi utakaotolewa na mkurugenzi aliyetimuliwa kazi FBI ambaye amesema Rais Trump alimtaka mkurugenzi huyo kuacha...
Uchaguzi Mkuu wa Uingereza ni nini hasa?
Ni utaratibu ambao Waingereza wanachagua wawakilishi wao bungeni, na kuiongoza nchi kwa ujumla. Wagombea katika uchaguzi huo mkuu hutokana na vyama vya...
Serikali ya Emirates - UAE imeonya kuwachukulia hatua kali raia wake watakaoonyesha huruma ama kutetea Nchi ya Qatar kufuatia hatua zilizochukuliwa na nchi washirika wa kiarabu zikiongozwa na...
SOMALIA: Wanamgambo wa Al Shabaab wamewaua Askari 61 wa eneo lisilo na mamlaka kamili la Puntland. Wafanikiwa kuteka sehemu ya mji.
Taarifa zinasema Al Shabaab waliuvamia mji wa Af Urur asubuhi...
Jeshi la Burma limesema kuwa mabaki ya ndege yake iliyotoweka Jumatano katika anga ya bahari ya Andaman ikiwa abiria 122 wengi wao wanajeshi na familia zao, yamepatikana. Mabaki ya ndege na maiti...
Kilic detained for alleged links to the Gulen group, which Turkey blames for orchestrating last year's failed coup.
The chairman of Amnesty International Turkey has been detained in the western...
UINGEREZA: Wananchi leo wanapiga kura kuchagua Wabunge. Chama cha Kihafidhina(Conservative) kinapigiwa chapuo la kuibuka mshindi.
Jumla ya viti 650 vya Wabunge vinashindaniwa ili kupata...
Mashambulio mawili ya kujitoa mhanga katika Bunge la Iran na kwenye eneo la kaburi la kiongozi wa kidini Ayatollah Khomeini kwenye mji mkuu wa Iran, Tehran, yamesababisha vifo vya watu 12 na...
Watu 8 wamefariki baada ya kimbunga kikali kugonga mji wa Cape Town, Afrika Kusini; upepo mkali ambao vyombo vya Habari vya Afrika Kusini, vimeutaja kama "mama wa vimbunga vyote".
Miongoni...
Polisi nchini Musumbiji wameonya kuwa wamaume wenye vipara huend wakalengwa kwenye mashambulizi yanayohusiana na uchawi baada ya kuuliwa kwa wanaume wawili kama hao mwezi uliopita.
Wanaume hao...
Ndege moja ya jeshi la Myanmar, iliyokuwa imewabeba zaidi ya watu 100, imetoweka angani.
Hayo ni kwa mjibu wa taarifa kutoka kwa wakuu wa nchi hiyo.
Ndege hiyo ya kijeshi, ilikuwa ikipaa kati ya...
Maafisa wa Forodha mjini Shanghai nchini China, wanasema kuwa wamemkamata mwanamke ambaye alijaribu kusafirisha mikoba miwili hadi nchini Uchina, ambayo ilikuwa imetengenezwa kwa kutumia dawa ya...
Nchi ya Qatar imewekewa vikwazo vya kiuchumi na kidemocrasia na ndugu zao yani nchi za Bahrain,Saudi Arabia & Egypt na kumekuwa na wasiwasi zikaongezeka nchi zingine ndani ya Middle East kuiwekea...
Mahakama kuu ya kikatiba nchini Brazil, imerejelea vikao vyake katika kesi ya kumuondoa Rais wa nchi hiyo, Michel Temer.
Mahakama hiyo ambayo imepewa majukumu ya kusimamia shughuli za uchaguzi...
Trump a.k.a tingatinga alihudhuria mkutano wa falme za waarabu. Hakumung'unya maneno kama mtangulizi wake Obama. Kikubwa aliwataka waufute ugaidi. Ofcause wale watu wa kebo nyuuz democrats CNN...
Ndege ya Jeshi iliyobeba watu 100 imepotea angani mchana huu huko nchini Mynmar. Imepoteza mawasiliano na waongoza ndege.
========
A plane has vanished with 116 people on board, according to...
Ndege ya Jeshi iliyobeba watu 100 imepotea angani mchana huu huko nchini Mynmar. Imepoteza mawasiliano na waongoza ndege.
=======
A plane has vanished with 116 people on board, according to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.