International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais Trump pamoja na timu yake wamejibu vikali dhidi ya tuhuma zilizotolewa na aliyekuwa mkurugenzi wa FBI ,kuwa rais Trump alimtaka kuacha kumchunguza mshauri wa zamani wa masuala ya usalama na...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
UGAIDI! Mtu mmoja amejilipua kwa bomu la kujitoa muhanga na kusababisha vifo vya watu 20 na kujeruhi wengine 34 katika soko la Musayyib kusini mwa Baghdad. ------------ Suicide bomber kills 20...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
House, Senate investigators seek Trump tapes, Comey memos By Tom LoBianco, CNN Two Hill committees seek Comey memos, tapes - CNNPolitics.com Updated 4:28 AM ET, Sat June 10, 2017 CNN)House...
1 Reactions
1 Replies
679 Views
Uchaguzi hapa United Kingdom kesho inshallah, I can't wait, chama Langu Labour Party, halafu siondoki baada ya kupiga kura, jecha atakuwa around, lol just kidding...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amekutana na Malkia Elizabeth na kumuomba ruhusa ya kuunda serikali mpya baada ya uchaguzi wa wabunge
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Avenue Baron Albert D’Huart 124 June 01, 2017 1950 Krainem Brussels Belgium To: Mr Filippo Grandi, the UNHCR Commissionner; Geneva, Switzerland Re: Alert on the danger awaiting Rwandan...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mataifa ya Bahrain, Saudi Arabia & Egypt yavunja mahusiano ya kidiplomasia na Qatar, wakiituhumu kufadhiri vikundi vya Kigaidi Key Arab League nations, including Saudi Arabia, Egypt and the...
4 Reactions
105 Replies
12K Views
Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Uingereza hayampi furaha Waziri Mkuu Theresa May. Wahenga walisema; mchimba kisima huingia mwenyewe. Theresa May kwa kudhani kuwa uchaguzi huu ungempa sio tu uhalali...
0 Reactions
3 Replies
813 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa FBI, James Comey, atasimama mbele ya Baraza la Congress Alhamis, kutoa ushahidi dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani unaohusu madao ya Urusi kuingilia uchaguzi wa...
0 Reactions
98 Replies
9K Views
Can Trump block Comey from testifying? White House could try to invoke executive privilege By Laura Jarrett, CNN Updated 3:28 PM ET, Fri June 2, 2017 JUST WATCHED Will Trump keep Comey from...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
A group of 130 imams and religious leaders have refused to perform the traditional Islamic funeral prayer for the London Bridge attackers. The leaders said they would not carry out the ritual...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Watu takriban 10,000 wamelazimika kukimbia makwao kutoka mji mmoja pwani ya Afrika Kusini ambao umeharibiwa pakubwa na moto. Wanajeshi wanashiriki katika juhudi za kukabiliana na mtaa huo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Lesotho Prime Minister Resigns After Losing Election The Lesotho government has issued a press release saying that the country's King Letsie III accepted the resignation of Prime Minister...
0 Reactions
1 Replies
697 Views
ZIMBABWE: Watu 43 wamefariki na 24 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya King Lion walilokuwa wakisafiria kuacha njia kisha kugonga mti. Kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Polisi, amesema basi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Gazeti rasmi la Korea Kaskazini la Minchu Chosun limeandika kuwa, hivi sasa Pyongyang inaendelea na maandalizi ya kuunda silaha yenye uwezo wa kuifuta kabisa Marekani kwenye uso wa dunia kutokana...
3 Reactions
44 Replies
8K Views
SOMALIA: Wapiganaji wa Al Shabaab wamempiga mawe mbele ya hadhara hadi kufa mwanaume mmoja(44) baada ya kupatwa na hatia ya uzinzi. - Mamlaka za Serikali hazikupoea simu zilizopigwa kwaajili ya...
1 Reactions
113 Replies
12K Views
Huyu bwana anaitwa Kadhim Al-Jabouri, Anaiambia BBC kwamba alikuwa hampendi Saddam Hussein kwasababu aliua ndugu zake kama kumi na watano. Anaendelea kusema siku ambayo Marekani na Uingereza...
13 Reactions
90 Replies
16K Views
FIRST ON CNN: US suspects Russian hackers planted fake news behind Qatar crisis By Evan Perez and Shimon Prokupecz, CNN Updated 6:15 PM ET, Tue June 6, 2017 FIRST ON CNN: US suspects Russian...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha masuala ya Habari cha Shauri Moyo, jijini Nairobi, amejiua baada ya kupita wiki mbili tangu arudishwe nyumbani kwa kukosa ada. Mwanafunzi huyo Frederick Kinyanjui...
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Mpango wa kuuza ndege vita chapa F15 unaonekana kusonga mbele licha ya baadhi ya nchi kukata uhusiano wa kidiplomasia na Qatar kufuatia kile walichokiita kuunga mkono ugaidi. Idara ya mambo ya...
0 Reactions
5 Replies
866 Views
Back
Top Bottom