Rais wa Togo, Faure Gnassingbe apata Uenyekiti wa Umoja wa Kibiashara wa Mataifa ya Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) huko Monrovia, Liberia.
Anachukua wadhifa huo kutoka kwa Rais wa Liberia, Ellen...
Chama kikuu cha upinzani cha Afrika Kusini, Democratic Alliance, kimesimamisha uanachama wa kiongozi wake wa zamani, Helen Zille, kwa sababu ya tweet aliyoandika, ambapo alisema, siyo ukoloni wote...
Mataifa makubwa hapa duniani mfano G7 hua na mifumo ya kimaslahi ya muda mrefu ili kujipatia utajiri wa kiuchumi, nguvu ya kisiasa na Kijeshi mfano usikute D.Trump na rais wa N Korea...
Rodrigo Rocha Loures rafiki wa KARIBU SANA NA Rais Temer alirekodiwa kwa siri video akiwa na begi ambayo video hiyo inaonyesha ni $154Mil zaidi ya Bil300 za kitanzania na sasa yuko nguvuni.
Sasa...
An Ikeja High Court has granted an embattled Judge of the Federal High Court, Rita Ofili-Ajumogobia, and Godwin Obla, a Senior Advocate of Nigeria, both facing trial over alleged corruption...
Watu 36 wameuawa katika kituo cha kuchezea kamari mjini Manila, Ufilipino baada ya mtu mwenye silaha kuanza kuwafyatulia risasi watu waliokuwemo humo.
Wengi wa waliofariki inaaminika wamefariki...
Ni miaka sasa majeshi karibu yote ya ulaya yameweka kambi karibu na russia.
Kila siku mazoezi ya kivita makali yanaendelea karibu na mipaka ya Russia.
Upande wa Alaska marekani kaweka mitambo...
Mfanyabiashara tajiri wa Iran, Babak Zanjani, amepatikana na hatia ya ufisadi, na kuhukumiwa kifo.
Bwana Zanjani alikamatwa mwaka wa 2013, baada ya kutuhumiwa kuwa alichukua dola bilioni moja...
Gauthier Destenay, who is married to Luxembourg Prime Minister Xavier Bettel, appeared alongside First Lady of Turkey Emine Gulbaran Erdogan, First Lady of the US Melania Trump, Queen Mathilde of...
Trump toka ameingia madarakani inaonyesha ni mtu ambaye anapingwa kwa kila kitu anacho kifanya na kusema ukweli ktk ile team anayo fanya nayo kazi huenda nusu yake sio wake.
Na saizi alivyo safiri...
Taifa la Marekani mpaka sasa 2014 limekuwa na jumla ya marais 44 tangu kupata uhuru wake mwaka 1732. Mtandao wa 24/7 Wall St hivi karibuni ulitoa orodha ya marais hao na utajiri wao. Orodha hiyo...
Marekanai hautakubali China kuweka wanajeshi kwenye visiwa ilivyojenga Kusini mwa bahari ya China, waziri wa ulinzi wa Merekani James Mattis ameonya.
Akiongea katika mkutano wa kiusalama huko...
A billionaire businessman at the heart of a $2.6 billion state bank scam in Iran, the largest fraud case since the country's 1979 Islamic Revolution, was executed Saturday, state television...
Rais wa zamani wa Ghana John Mahama amelaani uamuzi wa rais wa Marekakani , Donald Trump kwa kuiondoa Marekani kwenye makataba wa Paris wa 2015 kuhusu mabadiliko ya tabia nchi.
Bwana Mahama...
I think the world MUST learn faster living without considering someone who does not consider others. It is true that he is leading a very important segment of the Earth planet, but we should not...
Vatican ni dola mji
Hivyo ni nchi ndogo duniani kuliko zote
Ni nchi ya papa ambae ni askofu wa roma na mkuu wa kanisa katoliki duniani
Iko ndani ya jiji la roma upande wa mangaribi
Jina...
Serikali imepanga kuanzisha shule maalum kwaajili ya Wanawake walioolewa ambao waliacha shule kwaajili ya kuingia kwenye maisha ya ndoa. Waziri anayesimamia Masuala ya Wanawake, Aisha Alhassan...
URUSI: Rais Vladimir Putin amesema 'Wadukuzi Wazalendo'' kutoka katika nchi yake huwenda waliingilia Uchaguzi Mkuu wa Marekani.
Rais Putin amesema katika udukuzi huo wadukuzi hao hawakuungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.