(CNN)Dozens of people, including at least ten children, have been killed and more than 200 injured in a suspected chemical attack in northern Syria, multiple activist groups claim.
Airstrikes hit...
Kabare (left) and Musinga (right)
This photograph portrays two men, who played a very important role in the history of Rwanda in the 20th century. On the right side, you see Musinga, the king of...
Zaidi ya watu 250 wamethibitika kufariki katika maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika mji wa Mocoa, Colombia siku ya Jumamosi. Kati ya waliofariki zaidi ya 60 ni watoto huku familia...
Rais wa Colombia ametangaza hali ya dharura kiuchumi kijamii na ki mazingira wakati wahanga wa kwanza wa maporomoko ya ardhi huko Mocoa wakizikwa.
Juan Manuel Santos amesema serikali inakusanya $...
Taarifa kutoka Somalia zinasema maharamia wa Kisomali wameiteka meli ya mizigo ya India.
Kumezuka utata kuhusu eneo halisi ambako meli hiyo ya kutoka India ilikotekwa.
Baadhi ya vyombo vya...
I've stayed late into the night watching the movie "Sometimes in April", I can say it's a heartbreaking tearjerker kind of a movie. And it only depicts the massacre from the eyes of one family...
The Israeli and American militaries successfully completed a series of missile-interception tests for the David’s Sling defense system, marking a significant milestone for the program’s...
Syria imetuma ujumbe mzito kwa Israeli kupitia Urusi kwamba makombora ya Scud yatarushwa kuelekea Israel iwapo nchi hiyo itaendelea na mashambulizi yake ya anga ndani ya Syria.
Ujumbe huo...
Awapa sumu na kuwaua watu 20 kwenye madhabahu Pakistan
Takriban watu 20 wameuawa na wengine kujeruhwia kwenye madhababu yaliyo mji wa Sargoda, mkoa wa Punjab nchini Pakistan.
Naibu kamishna wa...
MAREKANI: Maafisa wa Usalama wanaamini vikundi vya kigaidi vimegundua mbinu mpya ya kuweka milipuko ktk vifaa vya umeme kama Laptop.
Uchunguzi wa FBI unaonyesha kuwa utaratibu wa kawaida wa...
Wanachama wa CDU wamchagua tena Merkel
Kansela Angela Merkel amechaguliwa tena kukiongoza chama chake cha kihafidhina cha Christian Democratic Union, CDU, na kugombea muhula wa nne madarakani...
MAREKANI: Daktari aliyekua akikuza makalio ya Wanawake amefungwa miaka 10jela baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha kifo.
Alikuwa akitumia mchanganyiko wa malighafi za kutengenezea...
TANZIA: AHMED KATHRADA HATUNAYE
Mpinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini ya enzi hizo, AHMED KATHRADA amefariki dunia leo, akiwa hospitali jijini Johannesburg. AHMED Mohamed KATHRADA, rafiki...
With the consequences of Brexit and an increasingly inward-looking United States still unfolding, 2017 is likely to be an economically tumultuous year.
Some African countries, however, could see...
Kama mtanzania najivuania na natoa pongezi za dhati kwako, Mungu akutangulie katika majukumu yako.
Dr Mwele ataanza kazi rasmi WHO kuanzia kesho akiwa anaishi Congo, Brazzaville...
Kama...
Maafisa wa ngazi za juu wa idara za usalama na itelinjensia za Washington wamekiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuwaangamiza mamilioni ya Wamarekani iwapo itafanya shambulizi moja la silaha...
Waendesha mashtaka wamesema wataomba idhini ya kumkamata aliyekuwa rais wa taifa hilo Park Geun-hye, kwa mchango wake katika kashfa ya ulaji rushwa nchini humo.
Alipoteza kinga ya rais dhidi ya...
Rubani amefariki kwenye ndege iliyokuwa safarini kutoka Dallas kwenda Albuquerque huko New Mexico, kwa mujibu wa shirika la American Airlines.
Ndege hiyo aina ya Boeng 737-800, ilikuwa imesalia...
Mahakama Kuu ya Western Cape nchini Afrika Kusini leo imeruhusu Matumizi na kilimo cha Bangi.
Hivi bangi ni madawa ya kulevia au nini.Maana hapa kwetu wanaita bangi madawa ya kulevyia.Na hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.