Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amewafukuza kazi mawaziri wake kadhaa akiwemo Waziri wa fedha Pravin Gordhan pamoja na naibu wake Jonas Mkabisi ambao ndio waliokua sababu kuu ya kuwepo mabadiliko...
Ousted South Korean President Park Geun-hye has been arrested and taken into custody over a corruption scandal that led to her dismissal.
The 65-year-old was driven to a detention centre south of...
Breaking News: Former national security adviser tells FBI, the House and Senate intelligence committees he’s willing to be interviewed in exchange for deal, officials say
Mike Flynn, President...
Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani wiki chache zilizopita Park Geun-hye amekamatwa na kuzuiliwa kuhusiana na tuhuma za rusha ambazo zilichangia kutimuliwa kwake kutoka madarakani...
Mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo katika Majimbo kadhaa ya Nigeria umeua zaidi ya watu 140.
Kituo cha kudhibiti magonjwa cha Abuja kinaripoti kuwa katika wiki iliyopita, katika majimbo...
Fedha ya Afrika Kusini, rand, inaendelea kushuka thamani kwa kasi baada ya Rais Jacob Zuma kumtimua waziri wa fedha mwenye uzoefu mkubwa, Pravin Gordhan.
Zuma alitangaza uamuzi huo Alhamis hii...
Ukisoma vizuri sana Kitabu Kilichoandikwa na Mwandishi Gerald Prunier chenye Title ya ' The Rwanda Crisis, History of a Genocide 1959 - 1994 ' utagundua kuwa ni asilimia ndogo mno ambapo...
Sasa hivi nchi ya Uingereza inajiandaa kujiengua EU na tayari leo wamashapeleka maombi ya kufanya hivyo, mpka hapo sina tatizo kwa maana ni nchi yao na wanaamua wawe wapi na wasiwe wapi!
Lkn...
Hili kombora linaweza kumfikia Mrusi kutokea Marekani ndani ya saa moja. Imewachukua zaidi ya miaka kumi kuandaa hii teknolojia. Waafrika yetu macho...
Ivanka Trump amejiunga rasmi na serikali ya babake ambapo atahudumu kama mfanyakazi asiyelipwa, kwa mujibu wa ikulu ya White House.
Cheo chake halisi kitakuwa Msaidizi wa Rais.
Binti huyo wa...
South Africa’s firebrand political leader Julius Malema has called on the support of the public as he heads to the country’s Constitutional Court on Thursday to file for the impeachment of...
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini hajahudhuria msiba wa mkongwe wa Shughuli upingaji wa Ubaguzi wa Rangi, Ahmed Kathrada kwa matakwa ya familia yake.
Kathrada alimtaka Zuma ajiuzulu mwaka jana...
Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah, limezindua kombora jipya la balestiki la masafa ya kati la Qahir M2.
Televisheni ya al-Masira ya Yemen imenukuu taarifa ya...
Ndege za kivita za Israel zimeshambulia maeneo tofauti ndani ya Syria mapema ijumaa hii,jeshi la Israel limethibisha kwenye taarifa yake.
Jeshi la Israel limesema Makombora kadhaa ya kutungulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.