International Forum

News and Stories from rest of the World
Mugabe amesema katika kuadhimisha miaka yake 93 hana mpango wa kuachia madaraka bado mana hajaona wa kurithi nafasi yake na chama chake hakijampata mrithi wake
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watunga Sheria wa USA wanataka kuanzisha uchunguzi kuhusiana na Raisi Obama kusaini kuizuia nchi ya Kenya siku ya mwisho kabla hajaondoka madarakani Silaha za thamani ya zaidi ya Dola (US) milioni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ZIMBABWE: Umoja wa Ulaya(EU) umeongeza muda wa vikwazo kwa Rais Robert Mugabe na Mkewe, Grace kwa mwaka 1 hadi Februari 20, 2018. Rais Mugabe ameongoza kuwa hakutaka Donald Trump awe rais wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu watanzania Kwanza napenda kudeclare wazi kuwa sina mashiko na ajenda za raisi wa marekani ndugu trump lakini pia sipo hapa kuzungumzia hii mada kwaajiri ya trump ila sisi watanzania...
13 Reactions
29 Replies
3K Views
Bunge la chini nchini Uholanzi limeidhinisha kuhalalishwa kwa kilimo cha bangi. Mswada huo ulioidhinishwa, utawakinga wakulima wa bangi ambao wanatimiza masharti fulani dhidi ya kuadhibiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wednesday, October 31, 2012 KIONGOZI WA UPINZANI, RWANDA APATIKANA NA KOSA LA UHAINI Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda Victoire Ingabire (mwenye pingu) amehukumiwa miaka minane gerezani...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Raisi wa 45 D.Trump amesema (kuanzia ~ dakika 1:00) Raisi aliyepita Barack Obama ameacha uozo mkubwa haijawahi kutokea, amesema Obama ameacha uozo ndani na nje ya USA!
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Imefikia hatua Afrika kila mtu arudi kwao, haijalishi tena una vibali halali au la, watu wanakuibukia na kuharibu kila kitu, wanakupea kichapo na kuchana vibali na kuiba chochote cha thamani. Nchi...
1 Reactions
78 Replies
7K Views
- Mchunguji mmoja aliponea chupuchupu baada ya kushambuliwa na umati kwa madai ya kuuzia watoto wa shule dawa za kulevya - Umati huo ulifika kwa lango la kanisa lake na kutaka kumwona lakini...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jeshi la China limetangaza kuwa, kuendelea kuwa mbaya hali ya mambo kuhusiana na usalama wa bahari ya eneo, machafuko katika eneo la Asia na Bahari ya Pasifiki na kadhalika misimamo tata ya rais...
3 Reactions
103 Replies
18K Views
Mchezaji wa Brazili akiondoka Uwanjani huku akilia baada ya kuzomewa na kuitwa nyani na washabiki huko nchini Serbia (Ulaya)! Hapa ndipo ninapowakubali Wazungu, hata ujifanye wewe uko juu kiasi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Maneno hayo yamesemwa na Mmiliki wa Microsoft Na tajiri namba moja duniani Bwana Bill Gates, Anasema,"inabidi kuwe na kodi iendanayo na Ujiendeshaji,kwa sasa,mfanyakazi binadamu,anayefanya kazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Malaysia imemuita balozi wake nchini Korea Kaskazini kufuatia tofauti zilizojitokeza kati ya mataifa hayo mawili kutokana na kifo cha nduguye Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kilichotokea...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
ATTENTION! ATTENTION!! ATTENTION!!! This is to inform all black foreigners living in Pretoria to be on alert as it has been reliably gathered that south African boys are mobilizing themselves from...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Takriban watu watano wameuawa nchini Guinea wakati vikosi vya usalama vilipopambana na wanafunzi waliokuwa wakiandana wakitaka mgomo wa walimu kumalizika. Wanafunzi walijitokeza kwa wingi na kwa...
0 Reactions
2 Replies
761 Views
Libya's Red Crescent has said that 74 bodies of refugees have washed ashore in the western city of Zawiya on the Mediterranean Sea. The aid organisation's spokesman Mohammed al-Misrati told the...
1 Reactions
0 Replies
562 Views
"If you want to preserve -- I'm very serious now -- if you want to preserve democracy as we know it, you have to have a free and many times adversarial press," McCain said in the interview. "And...
0 Reactions
8 Replies
837 Views
Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda, ametangaza kuunda serikali sambamba na utawala uliopo Rwanda, lakini itakayokuwa ikifanya kazi nje ya nchi. Thomas Nahimana ambaye ni kasisi wa zamani anayeishi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kurzweil said Wabunge kwa kauli moja wamepitisha sheria inaipa nafasi lugha ya Kiswahili kuwa lugha rasmi sambamba na Kinyarwanda, Kifaransa na Kiingereza. Hivyo Kiswahili kinakuwa lugha rasmi...
7 Reactions
24 Replies
5K Views
Rais Michel Aoun wa Lebanon ameonya kuwa, iwapo utawala haramu wa Israel utachukua hatua yoyote ya kukanyaga uhuru wa kujitawala nchi hiyo ya Kiarabu, basi ujiandae kwa jibu kali. Bila kutoa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom