Wauza unga wanazidi kujiimarisha kimkakati. Baada ya maafisa wa marekani kudhibiti kwa kiasi fulani biashara ya mihadarati,wamegundua manatai itakayokuwa inasafirisha madawa ya kulevya kutoka...
MOGADISHU, SOMALIA: Takribani watu 34 wamefariki na wengine 50 kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko wa bomu lililotegwa katika gari.
- Hili ni shambulio la kwanza kubwa tangu kuchaguliwa kwa rais...
Watu 72 wamefariki dunia kwenye shambulio katika madhabahu maarufu ya Wasufi kusini mwa Pakistan, polisi wamesema.
Mshambuliaji wa kujitoa mhanga alijilipua katika katikati mwa waumini katika...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida nchini Marekani. Jamii ya Kijasusi ya Marekani imeamua kumpa kwa vipimo ripoti za kijasusi Rais wa Marekani Donald Trump.
Habari zinasema kumekuwa na vita baridi...
LONDON — One of the world's most populous countries has been without its leader for almost a month, and no one seems willing to explain why.
Muhammadu Buhari, the 74-year-old president of...
Huyu mama inaonyesha viatu vya u-first lady vinampwaya. Niliona Trump akimtetea alipoulizwa na wanahabari kuhusu mipango aliyonayo mkewe kama first lady wa US. Trump anadai watu wanavyomwongelea...
Nimeikuta kwenye forum moja ya Wasabato.Kama ni kweli kwa mini inakuwa kimya kimya hivi?Na kama ni uongo,huyu aliyebandika picha hiyo alikuwa na nia gani?Je ni kuwatisha watu na ili iweje?Je kama...
Kibaraka Adama Barrow -Gambia tayari ameshatimiza ahadi zake za uchaguzi zilizomuingiza madarakani kwa nguvu!
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi ya Uingereza (juu pichani) ajulikanye...
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Rais wa Guinea Alfa Conde amapiga marufuku Mawaziri kuwawakilisha marais wa nchi zao katika mikutano ijayo ya Umoja wa Afrika.
Mwenyekiti mpya wa Umoja huo...
U.S. Vice President Mike Pence on Saturday sought to assure allies that the Trump administration will back NATO and stand with Europe even as it looks for new ways to cooperate with Russia.
In...
Mwanamke mwenye umri wa miaka 64 amefanikiwa kujifungua mapacha -mvulana na msichana katika eneo la Burgos, kaskazini mwa Uhispania.
Hospitali ya Recoletas iliwapokea watoto hao kupitia upasuaji...
Serikali Guinea imepiga marufuku kwa muda maonyesho ya urembo baada ya mavazi ya bikini kuzua shutuma nchini humo.
Wagombea walijipanga mbele ya waziri mkuu Mamady Youla wakiwa wamevaa bikini...
Raisi wa Israel ndugu Rivlin, amependekeza kuwa Israel itwae maeneo yanayomilikiwa na Wapalestina huko West Bank, halafu badala yake wakazi wote wa Kipalestina wapewe uraia wa nchi ya Israel...
Mamlaka nchini Kenya imeanzisha harakati ya kuzishurutisha kampuni za simu nchini kuruhusu vitengo vya kijasusi kudukua mawasiliano ya raia
Mamlaka ya mawasiliano nchini humo CAK imewaandikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.