Wabunge wa Congress nchini Marekani, ambao wengi wanawakilisha chama cha Republican, wamepiga kura ya kuanza kubadilisha sheria ya Bima ya afya inayofahamika kama Obama care iliozinduliwa na rais...
Donald J. Trump will take the oath of office outside the Capitol on Friday to become the 45th president of the United States. Expect plenty of pomp and a good deal of protest, too, as hundreds of...
JANUARY 17, 2017
By Montero
Washington DC, United States.
US President-elect Donald Trump has warned Kenya’s President Uhuru Kenyatta against stealing elections in the upcoming August polls...
Rais Mteule wa Gambia, Adama Barrow amesema kuwa ataapishwa kama ilivyopangwa siku ya leo Alhamisi katika ubalozi wa Gambia nchini Senegal.
=======
Gambia's president-elect, Adama Barrow will...
Hii kitu waliyofanya ECOWAS kuhusu Gambia na Jammeh yaweza kuwa dawa sahihi kwa ving'anizi wa madaraka. Hivi EAC yaweza thubutu kukaa nakufikiri hatua kama hii?
Wajumbe wake ni hawa wafuatao...
Yahya Jammeh amejiongezea miezi mitatu wakati akijua kabisa hawezi shinda vita yeyote itakayoanzishwa na nchi hata moja tu ya west Africa.
Senegal pekee Kwa ramani hii anaweza kuipiga Gambia hata...
Nchi ya Korea Kaskazini imemwambia Raisi Obama ambaye anamaliza muda wake hapo Ijumaa Januari 20, awekeze muda kwenye kufungasha mizigo yake na siyo kuwekea nchi mbali mbali vikwazo vya kiuchumi...
OBITUARY: Yahya A.J.J. Jammeh, Outgoing President
A turbulent, divisive and most detested dictator died on December 2nd, aged 51 after an agonizing defeat at the polls. He will finally be buried...
Shirika la Ndege la Kimataifa la nchini Ethiopia limempongeza hadharani mmoja wa wafanyakazi wake kwa kurejesha fedha kiasi cha dola elfu 10 (sawa na shilingi milioni 21.8) zilizokuwa...
Nigeria imethibitisha kuwa meli ya yake ya kivita inaelekea Gambia kama mazoezi wakati nchi za kanda zinajianda kuichukulia hatua za kijeshi Gambia.
Rais mteule Adama Barrow kwa saa yuko Senegal...
RE: THE GAMBIA - BOTSWANA NO LONGER RECOGNISES MR. JAMMEH
PRESS RELEASE Gaborone, 19th January 2017: Following Mr. Yahya Jammeh’s refusal to hand over power to the President-elect Adama Barrow...
Mke wake wa zamani wa muuaji wa Orlando nchini Marekani, Omar Mateen aitwae Sitora Yusufiy pamoja jamaa waliosoma nae, wamethibitisha kuwa, muuaji huyo alikuwa na tabia za ushoga pia. Alikuwa...
Kufikia jana 17/1/2017 jumla ya mawaziri 5 walikuwa tayari wamejiuzulu nyadhifa zao zote nchini Gambia kufutia kukataa kujiuzulu kwa Rais wa nchi hiyo aliyeshindwa kwenye uchaguzi na...
NIGERIA: Ndege ya Jeshi iliyotakiwa kushambulia kambi ya waasi wa Boko Haram yalipua kambi ya wakimbizi na kuua watu zaidi ya 120.
- Kati ya waliouawa katika tukio hilo la kusikitisha ni...
Habari ndo hiyo sasa wako tayari kuivamia nchi ndogo ya Gambia kwa lengo la kuirudisha nchi hiyo kwenye Jumuiya ya Kikoloni ya Madola iliyo chini ya Malkia Elizabeti wa Uingereza vile vile...
This horrifying footage shows the shocking moment a trade union leader in Mongolia sets himself alight to protest against the proposed sale of the country's coal mining industry to China.
The...
Russia Today has been blocked from posting content to its Facebook page. The ban, according to the Facebook bot, will last until Saturday 10:25pm Moscow time (2:25pm EST) and will extend across US...
Vyombo vya habari nchini Marekani vimesema kuwa aliyekuwa rais wa taifa hilo George Bush anapata matibabu katika hispitali moja ya Houston katika jimbo la texas.
Maelezo kuhusu hali yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.