Leo nimepitia pages na groups nyingi sana za Gambia raia wengi wanampenda na kumkubali jammeh
Nahisi kuna mchezo unachezwa behind the scene juu ya huyu rais.
Huyu Adama Barrow anakula kiapo huko...
Nimesikitishwa sana na maamuzi ya Mohammadu Buhari Rais wa Nigeria kupeleka meli ya kivita katika pwani ya Gambia na anajiandaa kupeleka ndege za kivita Gambia kumuondoa incumbent Strong leader...
Wana Jamvi kuna jambo limeishangaza kuhusu Trump.Huyu jamaa hakosi VITUKO.
Inasemekana AMEOMBA kutumia biblia MBILI wakati AKILA KIAPO cha URAIS kama rais wa 45 wa Amerika.
Bibila ya kwanza ni ile...
Nchi za Afrika ya Magharibi zikiongozwa na nchi ya Nigeria ambayo jina lake limetokana na neno Nigga (Nigeria-Niger), zimeanza jitihada zao za kuivamia nchi ndogo ya Gambia kwa lengo la kumuweka...
Mshindi wa uchaguzi mkuu wa mwezi Novemba Donald Trump leo anatarajiwa kuapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani.
Bw Trump wa Chama cha Republican anatarajiwa kuapishwa mbele ya watu 750,000 mbele ya...
Katika siku yake ya mwisho madarakani, Rais Barack Obama amebatilisha vifungo vya wafungwa mia tatu na thelathini, wahalifu wengi wao wakiwa wa dawa za kulevya.
Mshauri wa Ikulu ya Marekani, Neil...
Habari wakuu....nipo naangalia FRANCE 24 mda huu..! Wanadai majeshi ya Senegal yameingia Gambia,maneno hayo yamesemwa na msemaji wa jeshi...Mkuu wa majeshi wa Gambia yuko pamoja na wafuasi wa...
Kampuni ya ndege ya EasyJet imepigwa faini ya Pauni 52, 000 na mahakama nchini Ufaransa kwa kukutwa na hatia ya kumzuia abiria ambaye ni mlemavu kuingia ndani ya ndege kwa sababu ya usalama wa mtu...
WASHINGTON — Donald J. Trump will take the oath of office outside the Capitol on Friday, officially becoming the 45th president of the United States. But the ceremony is only the centerpiece of...
Yahya Jammeh apewa masaa ya mwisho
MUUNGWANA BLOG / 59 minutes ago
[https://2]
Habari za kuapishwa kwa Adama Barrow zilipokelewa kwa furaha na shangwe Banjul
Viongozi wa nchi za Afrika...
namuangalia donald trump hapa amempatia ajira mwanamama live anafanyiwa interview na amesema kama watakubaliana mshahara anampa kazi wooow
yuko kwenye mahojiano na waandishi wa habari...
Raisi wa USA Obama amevunja rekodi kwa kuwa Raisi aliyeangusha mabomu mengi kuliko Raisi yoyote wa USA aliyeongoza kipindi cha amani, Raisi Obama ameangusha Mabomu zaidi ya 26,000 na amezipiga...
Viongozi wa nchi za Afrika Magharibi wamempa muda wa kuondoka iwe mchana wa leo Rais alieshindwa wa Gambia Yahaya Jammeh awe ameachia ofisi ikulu ili mwenzake alieshinda aanze kazi.Mwenyekiti wa...
Tayari Rais mteule bwana DONALD TRUMP na familia yake wameshaingia ndani ya white house jijini Washington. Toa neno la kumtakia kazi njema inayoanza siku ya leo Tr. 20/01/2017...
Mimi kwa kweli napenda sana kujichanganya bar za uswazi na club yoyote. Kupanda usafiri wowote un-noticed, Napenda sana kuingia katikati ya mikusanyiko ya watu bila ya watu kupata attention yoyote...
Vyombo vya Wazungu na watumwa wao wanaripoti kwamba Jeshi la Gambia halipokei tena Amri ktk kwa Raisi Jammeh, kama hivyo ni kweli kuna haja gani sasa ya kuivamia nchi ya Gambia? Ni kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.