Sasa ni wazi na imejulikana, nyumba ya Makia Elizabeth ni chafu ,chafu ,chafu kupindukia.
Mwana wa kwanza na mrithi wa ufalme, Charles, ni basha na ana wapenzi ambao ni wa jinsia moja.
Ni aibu...
INDIA: Takribani watu 36 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa baada ya Treni ya abiria kuacha reli kisha kupinduka.
- Inadaiwa kuwa idadi vya vifo huenda ikaongezeka kutokana na...
Maandamano makubwa sana ya wanawake ya kumpinga Raisi Trump yanafanyika katika miji mingi sana mda huu huko DC, Boston n.k
Mbona sioni police wakipiga watu?
Je Trump anaweza kusema huu UJINGA WA...
Wana Jf
Salaam
Makamo wa Rais wa Argentina mwanamama mwenye ulemavu wa miguu alikuwa anazungumza na kituo cha television cha Al jazeera kuelezea maendeleo kwa mchango wake nchini Argentina kuanza...
A 7.9 magnitude earthquake has struck off the east coast of Papua New Guinea near the Solomon Islands.
The quake struck the Papua New Guinean island of Bougainville on the border with the...
Hillary Clinton, who loss to Trump helped inspire the march, weighed in via Twitter before the event. "Thanks for standing, speaking and marching our values," she wrote.
Thanks for standing...
Mwishoni mwa mwaka jana nilisikia huyu rais amepotea ghafla nilidhani ji uzushi kumbe ni kweli!
Serikali ya malawi imetangaza kurudi kwake au bado?
Kama karudi alikua wapi? na kwanini asiage...
Share to FacebookShare to TwitterShare to Google+
"As you know, I have a running war with the media," Pres. Trump says at CIA headquarters in Langley, VA: CBSN - Live Streaming Video News...
Ukifuatilia kiundani utaona kuna asilimia kubwa ya speech ya rais wa dunia kakopi na kupesiti.
Hapa sijui bwana huyu hajui kuwa copy and paste unaonekana huna jipya. Sijui wadau mnalionaje hilo.
Wasalaam ndugu zangu,
Mimi ni mdau mkubwa wa Video Games; na nchini Marekani na barani ulaya wadau ni hadi wazee.
Sasa leo nilikuwa naangalia kupitia chaneli fulani ya video ambayo kampuni ya DICE...
++++ Rais wa Guinea Alpha Conde na mwenzake wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz wameeleekea Gambia kufanya mazungumzo na Yahya Jammeh.
++++ Jammeh alipewa hadi saa sita mchana kuondoka...
By Jean Paul Arouff | PORT LOUIS | Jan 21, 2017
The 86-year-old prime minister of Mauritius said on Saturday that he would resign on Jan. 23 and hand power to his son, who is the current...
Katika hotuba yake baada ya kuapishwa, Trump alituma salamu zifuatazo kwa watu wasioheshimu mikataba kama rais Magufuli. Nime copy na ku paste.
======
Washington (CNN) — President Donald Trump...
TODAY WOMEN MARCH EXPLODE IN WASHINGTON D.C
Advice to Hon. Trump
This march show that Trump campaign was the real life of American indigenous life to help them. As you know sometimes you need to...
Kenya imesema inaunga Mkono uamuzi wa Jumuia ya Afrika Magharibi(ECOWAS) ya kumfurusha Bw.Yahya Jammey ambaye amegeuka kuwa Muasi na kukatalia Ikulu wakati yeye sio Rais kuanzia Jana.Hayo...
Citizens of the Seychelles, Mauritius, and South Africa have the most powerful passports on the continent, while Nigerians, Ethiopians and Somali have the least freedom of travel, according to the...
Mzuka sana wanajamvi!
Rais mteuliwa wa Gambia Adama Barrow alikuwa mbeba box Uingereza had 2006 aliporudi nyumbani baada ya kupata mtaji nakuanzisha real estate business. Alikuwa mlinzi na...
Rais wa Gambia Yahya Jammeh amekataa kuondoka madarakani kutoa nafasi ya kuapishwa kwa Adama Barrow hata baada ya makataa aliyopewa na Senegal kumalizika.
Barrow alipangiwa kuapishwa kuwa rais...
Wakati wa kuapishwa kwa Trump picha hii inaonyesha box toka kwa mke wa Trump kwenda kwa mke wa Obama. Mpaka Leo box hili halijafahamika lilikuwa na nn. Labda wabobezi wa Siasa na Itifaki wanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.