Rais wa Marekani Mh Donald John Trump amemteua na kuthibitishwa na bunge la congress ndugu Mike Pompeo kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa shirika la Ujasusi wa mambo ya nje la Marekani yaani CIA
Aidha...
Shule zimefunguliwa nchini Swaziland chini ya agizo jipya la serikali kufunza somo la dini ya kikristo pekee, hatua iliokosolewa kwa kuwa inakataa kuheshimu dini nyengine kulingana na chombo cha...
DAR ES SALAAM, TANZANIA —
Turkish President Recep Tayyip Erdogan on Monday talked about trade and security on the first stop of an African tour, urging Tanzania's leader to shut institutions...
Rais Mteule wa Gambia Bw.Adama Barrow leo anarejea Nchini Gambia baada ya kuridhishwa na hali ya Usalama nchini humo.
Barrow ambaye aliapishwa kwenye ofisi za ubalozi nchini senegal ameapa...
Wadau habari za muda huu,
Najaribu kutafakari na hatua ambazo Rais Donald Trump anachukua kwa sasa na matokeo yake kwa wamarekani na ulimwengu kwa ujumla.
Sote tunajuwa kwamba Urusi aliinjinia...
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya (CORD) Raila Odinga anaishtumu Serikali kwa kutumia idara ya ujasusi nchini humo NIS kuwasajili raia wa nchi jirani kama wapiga kura kuelekea uchaguzi...
Mahakama yaamuru Bunge kuhusishwa kuamua kama Serikali inaweza kuanza mchakato wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya(EU).
Uamuzi huu unamaanisha kuwa Waziri Mkuu, Theresa May hawezi kuanza mazungumzo...
Mark Glenn, mchambuzi mashuhuri wa kisiasa nchini Marekani amesema yumkini serikali ya Washington ikapanga njama za kuuawa Rais mpya wa Marekani Donald Trump, iwapo hatasimamia maslahi ya...
Na. Mtatiro J (Imefasiriwa na JSM).
TRUMP: Jaji Mkuu Roberts, Rais Carter, Rais Clinton, Rais Bush, Rais Obama, Wamarekani wenzangu na watu wote duniani, asanteni sana. (MAKOFI)
Sisi, Wananchi...
Kama alivyoahidi siku Namba 1 ni kushughulikia kuondoa Obama care, na kushughulikia ameshaanza, bado sisi kufuta Obama road!
Obama care, tupa kule!
Hiki kibao kiondoke pia, Obama drive...
Viongozi wa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FARDC waomba kamanda wa waasi wa kundi la M23 Makenga kujisalimisha mara moja kwa jeshi la serikali la sivyo ataoneshwa kwa raia akiwa hai ama...
Jeshi la marekani limefanya mashambulizi ya anga huko nchini Libya,ambapo yalilenga kambi za mafunzo za Isis.
Ndege mbili za marekani za mashambulizi mazito ikiwemo ya nyuklia aina ya B-2 stealth...
Swap to EnglishWashington (CNN) Rais Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alizungumza Jumapili mchana na Trump walioalikwa mwenzake wa kutembelea Marekani mapema mwezi...
Katika kutimiza ahadi zake wakati wa UCHAGUZI Trump muda mfupi uliopita ameweka sahihi Miswaada kadhaa miongoni mwazo ni KUJIONDOA kwa Marekan katika MKATABA wa KIBIASHARA wa Trans Pacific...
Hii imekaa je ktk siasa zetu Tanzania na mabalozi wa marekani hasa ktk MCC waliochonganisha kidogo.
======
Donald Trump has fired all foreign US ambassadors with nobody to replace them
He...
Mwanamume aliyelalamikia ugumu wa nyama kwenye mgahawa nusura ageuke kipofu baada ya mpishi alipomrushia pilipili usoni
Ripoti zinasema Bw David Evans alikuwa na mkewe Michelle katika hoteli...
SIRI YA WHITE HOUSE MAREKANI.
Karibia siku nzima nilikuwa nimekaa mbele ya televisheni kushuhidia hatua kwa hatua tukio la kihistoria la kuapishwa kwa Rais wa 45 wa Marekani ambaye anakuwa ndiye...
All these endtime pastors. A pastor named Rev.Orinthius Jermaine Simmons, Sir. Of Jacob Chapel Church is being accused of sleeping with a member's wife after the member was arrested and charged...
Katika uchaguzi uliopita USA katika hali ya kushangaza Wanawake wengi sana wa pia walimpgia kura D.Trump kinyume na matarajio ya maelite ambao walitaka H.Clinton ndiyo awe raisi wa USA!
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.