Wasaidizi wa rais mpya wa Gambia, Adama Barrow, wanasema atarudi nyumbani leo jioni kuchukua uongozi.
Barrow aliapishwa wiki iliyopita Senegal wakati viongozi wa kieneo walipokuwa wakimshawishi...
Jamaa Trevor alifikiri Trump ni kama Wanasiasa wengine ambao husema na kuahidi lkn hushindwa kutekeleza, sasa nafikiri ameshangaa mwenyewe kwa maana Trump yote aliyoyaahidi ndiyo anayafanya!
Raia takriban 90 wa Somalia na wawili wa Kenya wametimuliwa kutoka Marekani saa chache baada ya taarifa kuibuka kwamba Rais Donald Trump atakabiliana na watu wanaoishi nchini humo kinyume cha...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema serikali yake itaanza mara moja kushughulikia ujenzi wa ukuta kati ya Marekani na Mexico.
Hatua hiyo ni utekelezaji wa ahadi yake kubwa aliyoiweka wakati wa...
Kila siku tunaambiwa na Chadema &Co. kwamba Raisi wetu P.Magufuli ni
,,one man show", sasa nauliza Je, Raisi wa USA mpaka sasa siyo one man show? Vipi kuhusu ,,strong man"? Je Trump mpaka sasa...
From Syria,Iraq ,Iran ,Libya,Somali ,Sudan ,Yemen .He will use George bush bill to build the wall in Mexico .Nchi 9 za Africa hazitopata msaada mpaka waonyeshe maendeleo .
=====
Rais wa...
British Jamaican Monica Brown (second right) speaks to The Citizen reporter during an interview in Dar es Salaam yesterday. With them are, from left: Ms Iciline Brown, The Reverend Adassa Simith...
As Donald Trump takes over the White House today, a number of folks on Twitter have been pointing out that many crucial pages on WhiteHouse.gov have disappeared, including those relating to...
Kiongozi wa kanisa katoliki anayewasaidia raia wa Malta amejiuzulu kufuatia mgogoro na Vatican kuhusu mpango wa kusambaza mipira ya kondomu kulingana na kanisa hilo.
Mathew Festing mwenye umri wa...
Bwana huyu wala hakuomba kura kwa kunyenyekea ki hivyo. Aliongea kila aina ya shits anazozijua yeye. Wala hajawahi kuwa desparate na lolote. Wala hajawahi kujutia kauli zake. Wala hajawahi kuhisi...
Trump’s State Department to Police Obama’s $221 Million Transfer to Palestinians
===
Congresswoman Kay Granger (R-Texas), who sits on the House Appropriations Committee, is very upset with...
Sasa ni rasmi kwenye ubabe Wa computer mbabe zaidi ni Russia....
Baada ya kuingilia uchaguzi Wa Marekani na kumsaidia Trump kuwa rais Wa 45 ....
Watu wa kazi wameshajipanga kuingilia uchaguzi Wa...
Kuna watu wengi ambao hawakupaswa kupiga kura walipiga kura kwenye Uchaguzi wa USA uliopita kulingana na maelezo ya Raisi wa USA, D.Trump ikiwa ni pamoja na wahamiaji haramu na watu waliokufa...
Serikali ya Korea Kaskazini imemuonya Rais mpya wa Marekani, Donald Trump kuhusu siasa zake za kiuhasama na kusema kwamba ikiwa nchi hiyo itapanga kuishambulia, Pyongyang itakuwa ya kwanza...
Banjui. Askari wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (Ecowas) wamegundua kemikali ya sumu kali iliyokuwa imetegwa kwenye vyumba vya Ikulu.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na...
Rais wa North Korea, Kim Jong-un amesema hajali vitisho na presha kutoka kwa Marekani wala rais wake, Donald Trump kuhusu kutengeneza silaha za nyuklia na kusema kuwa nchi yake itaendelea...
Kwa waandishi wa habari Tanzania ambao kila siku wanajiona wako untouchable na wanawategemea wamarekani wawatee kwa uzembe wao na kulia lia kila siku kwa kujiona professional yao iko noble na...
Kwa mambo anayofanya sasa hivi, D.Trump akiwa na siku chache tu madarakani, kwa kumbukumbu zangu sijawahi kuyashuhudia tangu nimeanza kujua na kufwatilia Siasa za USA!
Jamaa ametumia excutive...
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amewaweka Lockap Mashoga wawili waliotaka kufunga ndoa na kuahidi kuwa atawaachia huru mara tu mmoja wapo atakapopata Mimba...
Mshauri wa rais wa Gambia amesema kuwa kiongozi aliyeenda kuishi uhamishoni huko Guienea ya Ikweta, Yahya Jammeh ameondoka na magari ya kifahari na vitu vya thamani vya Ikulu.
=====
BREAKING...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.