International Forum

News and Stories from rest of the World
Carlos Slim on Trump's border wall plans: 'The best wall is investment' Mexican billionaire praises US president as ‘great negotiator’ but calls for development and employment rather than barrier...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waliofanyakazi na Obama wote wajiuzulu serikalini Gazeti la Washington Post limeandika kuwa, kujiuzulu kwa wakurugenzi na maofisa wote wa ngazi za juu ni sehemu ya mwenendo wa kuachia ngazi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Samwel Doe wa Liberia Aliingia Madarakani kwa Mbwewe za Kuwapiga Risasi hadharani Watendaji wa Serikali kwa madai ya rushwa Hila, Uonevu na ufisadi. Alishangiliwa sana, Nafikiri ni sawa kupigana...
5 Reactions
72 Replies
11K Views
Rais wa Marekani Donald Trump aunga mkono mfumo wa kuwatesa magadi, asema lazima watumie moto kupigana na moto, hamna cha huruma au haki za kibinadamu wala nini. Finya, kandamiza, fyonza, piga ua...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Miezi michache iliyopita Mbowe, Tundu Lisu na chadema kwa ujumla walifunga safari kwenda Ulaya kuishitaki nchi yetu kwa Mzungu, kwa walichokiita ukandamizaji wa demokrasia kwa jinsi waonavyo wao...
13 Reactions
69 Replies
7K Views
Rais mpya wa Marekani Donald Trump amepiga marufuku wakimbizi wote wa Syria kuingia Marekani hadi wakati anasema serikali yake itakuwa imeweka mkakati mkali zaidi wa kuwakagua wakimbizi...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Mhubiri mmoja nchini Afrika Kusini amewashabgaza wengi baada ya kuwataka watu waliohudhuria mkutano wavue nguo kisha wajichue mpaka wafikie mshindo ili wapokee baraka. Waamini hao walisikika...
5 Reactions
106 Replies
17K Views
Sasa ni rasmi kwenye ubabe Wa computer mbabe zaidi ni Russia.... Baada ya kuingilia uchaguzi Wa Marekani na kumsaidia Trump kuwa rais Wa 45 .... Watu wa kazi wameshajipanga kuingilia uchaguzi Wa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ant Financial ambayo ni kampuni inayomiliki mtandao wa biashara wa Alibab, inainunua kampuni ya kimarekani ya MoneyGram kwa kima cha dola milioni 880. MoneyGram ina karibu vituo 350,000 kwa...
1 Reactions
0 Replies
670 Views
In 1972, President Richard Nixon’s White House dispatched burglars to bug Democratic Party offices. That Watergate burglary and related “dirty tricks,” such as releasing mice at a Democratic press...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Rais mpya wa Gambia, Adama Barrow amemteua Bi. Fatoumatta Tambajang kuwa Makamu wake wa Rais, taarifa hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Mwanamama huyo amekuwa mwanaharakati wa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ikulu ya Marekani imesema Rais wa nchi hiyo Donald Trump anaweza kutoza asilimia 20 ya kodi kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka Mexico kuweza kusaidia mpango wa kujenga ukuta kati ya nchi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Check out @realDonaldTrump's Tweet: Ule mkutano uliokuwa ufanyike kati ya marekani na Mexico Sasa ni rasmi umeyeyuka.. .. Manasema magufuli hana diplomasia ona Sasa mwanaume Wa Kazi ambavyo...
4 Reactions
86 Replies
8K Views
January 27, 2017 Dar-es-Salaam, Tanzania Zimbabwe's Minister of local Gov't Hon. Saviour Kasukuwere visited Dar-es-Salaam, Tanzania and was briefed on the new DART (Dar -es-Salaam Rapid...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Zaidi ya dola milioni 11 zinaripotiwa kutoweka kutoka kwa hazina ya taifa nchini Gambia, kufuatia kuondoka kwa kiongozi wa muda mrefu Yahya Jammeh. Jammeh alikwamia madaraka kwa karibu miezi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Watu 6,000 wameyakimbia makazi yao na mmoja amefariki dunia baada ya moto mkubwa kuteketeza sehemu ya Mji wa Santa Olga nchini Chile. Mataifa yameanza kutuma wazima moto nchini Chile kusaidia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii natabiri kutokea, Waafrika wavamizi haramu ambao wako nchini Gambia mpka leo, siku wakitoa tu mguu Kibaraka Barrow anapigwa chini, hilo halina ubishi pamoja na propaganada nyingi zinazoendelea...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Maandamano ya kupinga utoaji mimba yanafanyika ambapo makamu wa raisi Mike Pence atahudhuria na kuongea na waandamanaji.
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Zimbabwe women match against Trump, still you can't even march against Mugabe. Sit down with your misplaced priorities. ======= Zimbabwe women in the upmarket Borrowdale suburb of Harare were seen...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Back
Top Bottom