International Forum

News and Stories from rest of the World
Shirika la habari la Aljazeera kupitia kwa mwandish wake mjini S.Carolina, limemnukuu Rais D.Trump akisema "we aim to put radical islamic terrorist out of United States. We don' want them here. We...
14 Reactions
179 Replies
13K Views
Watu wengi wameshangaa sana licha ya kuwa rais lakin bado fb na twiter acc za trump anazitumia kufikisha taarifa muhimu!!!!!!!! Nilichogundua ni kwamba vyombo vya habari havipo upande wake na...
2 Reactions
4 Replies
789 Views
Rais Duterte wa Ufilipino amelituhumu Jeshi la Polisi nchini humo kuwa limejaa Rushwa na linakwamisha harakati za serikali yake katika kupambana na wauza mihadarati. Kutokana na hilo, Rais...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
One American commando was killed and three others were injured in a fierce firefight early Sunday with Al Qaeda terrorists in central Yemen, the US military said. In the first counterterrorism...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mzungu akipigania Wahamiaji haramu waingie na kuishi nchini mwake, halafu kesho analalamika crime imezidi, Wanawake wanabakwa, tolerance hakuna, wakati huo huo hawa hawa Wahamiaji nchini mwao...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
From Missing Chibok Girls, To Missing Budget, Now Missing President – Nigerians Storm London In Search Of Buhari WHO's next ???????????? Following concerns expressed over the authenticity of the...
0 Reactions
5 Replies
774 Views
Majambazi wa kiteknolojia nchini Japani waiba zaidi ya Yuan bilioni 1.4 sawa sawa na Tsh Bilioni 27.9 (Ksh Bilioni 1.29) kupitia ATM 1,400 katika miji kadhaa nchini humo ndani ya masaa 3. Wizi...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Kuna mambo yanaendelea Mexico ambayo vyombo vya habari haviyapi kipaumbele. Haya magenge yanaua watu vibaya sana kwa kuwakata vichwa kama kuku kisha kuchapanga mwili na mapanga. Ni kawaida kukuta...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Naam, hiyo ndiyo demokrasia ya Marekani. Huwanyamazishi wapinzani wako baada ya kuapishwa kuwa Rais, mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa harakati za kisiasa. Rais Obama, pamoja na ushindi wa...
16 Reactions
266 Replies
21K Views
lhan Omar, mwenye umri wa miaka 34, ameweka historia kwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye asili ya Kisomalia nchini Marekani. Mwanamke huyo Muislamu mwenye asili ya Somali na Marekani ndio raia wa...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Ripoti kutoka Yemen, zinaeleza kuwa shambulio, lililofanywa na makamando wa Marekani, limeuwa watu kama 30, wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Qaeda na raia. Hata hivyo jeshi la Marekani linasema...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Uchaguzi mkuu wa Marekani utakaofanyika wiki ijayo utakuwa ni mtihani mkubwa Kwa taifa taifa hilo kubwa duniani. Kura ya maoni kwasasa inaonyesha kuna mchuano mkali sana kwa wagombea hao wawili...
0 Reactions
4 Replies
884 Views
Trump na Putin wazungumza kwa mara ya kwanza kwenye simu toka Trump kuapishwa! Baadae itafahamika vizuri walichoongelea!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wana jamvi salaam Kuna wakati fulani katika kampeni za Urais wa Marekani, Mke wa Rais wa sasa wa Marekani Bi Melania Trump aliulizwa na CBS news network kwamba ni kitu gani angemshauri RaisTrump...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna jambo la kushangaza sana kwa viongozi aina ya Trump jinsi wanavyoweza kupata wafuasi wajinga wajinga wengi mno wa kuwapigania na kuwaaminia hata jambo la uongo kabisa. Juzi imetangazwa kuwa...
9 Reactions
76 Replies
8K Views
Tazama mjadala wa habari hii ukisomwa kwenye JamiiLeo ===== Muda mfupi uliopita Rais Donald Trump wa Marekani amesimamisha ajira zote kwa muda (hiring freeze) isipokuwa za kijeshi tu kwenye...
4 Reactions
211 Replies
22K Views
0 Reactions
10 Replies
2K Views
#KIMATAIFA:Mvutano umeibuka baina ya Mexico na Marekani baada ya Rais Donald Trump kutoa agizo la kujengwa ukuta mpakani mwa nchi hizo mbili ili kuzuia wahamiaji haramu na kuitaka nchi ya Mexico...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom