The church stands as the yardstick for decency simply because it's believed to be a gathering that pleases to God,most church leadership focus on preaching the gospel and so most times.
People...
''The clear lesson for opposition parties and the citizenry in countries with authoritarian leaders is that not only should they forge unity during elections, but also prepare to work with...
mwanamke mmoja wa umri wa miaka 40 amekamatwa na polisi huko florida nchini marekan kwa kushirikii ngono na vijana wadogo zaidi ya watano ambao hawajavuka umri wa miaka 18 kati ya hao kuna...
Corrected version
Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.
Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo...
Nimeangalia sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump lakini kilichonishangaza zaidi ni kuona madhehebu ya Kiislam yakitengwa katika sala ya kuliombea taifa na Rais Trump...
Hatimae amekubali kuondoka madarakani baada ya kushawishiwa na Rais wa Mauritania, inasubiriwa atoe statement tu.
--
Gambia's new president has said that Yahya Jammeh, who ruled the country for 22...
Ndugu zangu,
Januari 19 nilishiriki mjadala kwenye kipindi cha ' Kwa Undani' , Sauti ya Amerika. Mjengwablog imeandaa video iliyoingiza majibu yangu ( Maggid Mjengwa) kwa mwandishi Idd Ligongo wa...
Ukiondoa Mabepari wa Kizungu ambao ndiyo wako nyuma na huu uvamizi wa nchi ya Gambia, watu baki wanajuliza maswali magumu na wankosa majibu!
Nchi ya Gambia ni nchi huru na inayojitegema...
Kwa taarifa zilizothibitishwa ni kwamba aliyekuwa rais wa Gambia ameondoka kwenda kuishi nchini Guinea.
Chanzo kinaeleza kuwa rais huyo mstafu mwenye wasifu mwingi kushinda rais mwingine yeyote...
Watu zaidi ya 18 wamefariki kutokana na kimbunga kikali na hali mbaya ya hewa kusini mwa Marekani, maafisa wa uokoaji wamesema.
Watu wengi wamejeruhiwa. Maeneo yaliyoathiriwa zaidi ni majimbo ya...
Wanajeshi wa Senegal wako kwenye mpaka wa nchi hiyo na Gambia na wataingia Gambia iwapo Rais Yahya Jammeh hataondoka madarakani ifikapo saa sita usiku, hayo ni kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la...
Baada ya Donald Trump kuapishwa kuwa Rais wa 45 taifa kubwa la Marekani hebu tuangalie athari ya uongozi wake kwa dunia hii. Marekani kama taifa kubwa duniani kijeshi na kiuchumi ilikuwa mstari wa...
Ndugu zangu ninavyoona mimi very soon United States ofAmerica itakuwa failed state na majimbo yote ya USA kutawanyika kama ilivyotawanyika majimbo ya USSR kwa sababu zifuatavyo:
1. Kushindwa...
Baada ya kuapishwa kwa Trump kua Rais wa marekani, ameanza rasmi kutumia account ya twiter yenye alama ya POTUS, ikiwa na maana ya President of the United States of America! Watumiaji kadhaa wa...
Serikali kupitia waziri wa kazi na maendeleo ya jamii, ameagiza kuanzia leo tarehe 22 Januari wenye nyumba za kupangisha wote watatakiwa kupunguza kodi ya nyumba kwa asilimia 50... kama mpangaji...
Huyu bibie jana kwenye women march alitishia kwa kutoa comment za ku blow white house.
“I have thought an awful lot about blowing up the White House,”
sijui kwanini nimemuonea huruma, maana...
Prime Minister Theresa May will meet US President Donald Trump in Washington DC on Friday, the White House has said.
Mrs May will be the first foreign leader to meet the new president after his...
One thing we must all understand is the fact that American media do not operate in a thin year. CNN and the likes, are strategic media power houses with very specific agenda. Let us not forget...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.