Mji mmoja nchini Somalia umepiga marufuku harusi za gharama ya juu ili kuwashinikiza vijana zaidi kuoa.
Kamishna wa wilaya Mohamud Hayd Osman wa Bula Hawa karibu na mpaka wa Kenya waliambia BBC...
VENEZUELA: Mfungwa akamatwa akitoroshwa gerezani na mpenzi wake, aliwekwa kwenye begi, walinzi wakashitukia.
========
Antonieta Robles Saouda, 25, was arrested after she tried to break her...
Former United Nations chief UN Ban Ki-moon has returned to his native South Korea, landing in the middle of an increasingly heated battle to succeed the nation’s recently impeached president.
Ban...
Mwanafunzi mmoja amechangisha zaidi ya dola 10,000 kupitia mchango wa raia baada ya kudai kwamba mamake na baba walikata uhusiano wake naye kwa kuwa na mpenzi mweusi.
Allie Dowdle anasema wazazi...
KAMPALA - Uganda’s State Minister for International Relations Mr Okello Oryem has told the Democratic Republic of Congo government to stop making “false allegations” that Congolese rebels of M23...
BREAKING NEWS: Kyrgyzstan says at least 32 dead after Turkish cargo plane hits houses.
========
A Turkish Airlines cargo plane has crashed in Kyrgyzstan, killing at least 32 people on board and...
KINSHASA, CONGO: Serikali yatoa taarifa kuwa takribani wapiganaji 250 wa M23 leo wamevuka mpaka kuingia nchini humo wakitokea nchini Uganda.
Waasi hao walisalimu amri mwaka 2013 na kurudi kwao...
Raisi wa Palestina akutana na Papa Francis Vatican city
Rais wa Palestina Mahmoud Abbas akutana na papa Francis mjini Vatican
Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas, anakutana na kiongozi wa kanisa...
Fake publications, also referred to as hoax news deliberately publish hoaxes, propaganda, and disinformation to drive an agenda. Fake news is not to be confused will news satire. While satire is...
By Innocent Yona Isaya
Day by day the world is experiencing terrible situation.Natural disasters, war, both social and economic problems. All of these are challenges facing our global.
Natural...
Alikuwa katika upinzani muda mrefu.
Sasa kaupata urais.
Akiapishwa jana, rais Nana Dankwo Akufo Addo ameweka historia ya aibu kwa kuquote bila kumung'unya inauguration speeches za George Bush na...
Mtoto mmoja wa jamii masikini nchini Kenya amesafirishwa hadi shule mpya ya upili anayojiunga nayo kwa helikopta baada ya muungano mmoja wa wanajeshi wa zamani wa angani kusema kuwa utamlipia Karo...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kushirikiana na Urusi na China, iwapo mataifa hayo yatashirikiana naye.
Katika mahojiano na Wall street journal.
Bw Trump amesema vikwazo...
Vifaru na silaha nyingine za Marekani vikiwasili Ujerumani wiki iliyopita
Marekani itatuma vifaru na magari ya kivita pamoja na wanajeshi 3,000 nchini Poland kuanzia Alhamisi.
Wanajeshi hao...
About 100 migrants are missing and feared dead after their boat capsized off Libya's coast.
Four survivors have been rescued and eight bodies recovered, officials coordinating the rescue effort...
The chief of Irans nuclear program says the power lines to his nuclear facilities were sabotaged. U.S. Special Forces have trained for operations inside Iran for years. Do these latest...
A private plane carrying gold worth over a million dollars crashed in Zimbabwe on Monday
According to News24, the plane carrying at least 22 kilograms of gold crashed with two people onboard, who...
Rais Barack Obama ametoa hotuba yake ya mwisho akiwa kama rais wa Marekani, huko Chicago hotuba ambayo ilijaa hisia kali na kupelekea kutokwa na machozi yeye pamoja na baadhi ya watu.
Rais wa...
Mfanyibiashara mmoja nchini Marekani ambaye amezozana na idara ya magari nchini humo DMV amelipa kodi yake ya dola 3,000 kwa kutumia mikokoteni mitano iliojaa sarafu 300,000
Nick Stafford kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.