International Forum

News and Stories from rest of the World
VLADMIR V. PUTIN Achana na huyu mtu asee, ukiachana na ukweli kwamba ni msomi ila pia afisa usalama wa zamani hiki kichwa kina hesabu kubwa sana.. Baada ya Obama na wenzake kumtuhumu kuingilia...
12 Reactions
57 Replies
9K Views
Muungano wa Afrika AU umesema kuwa utaacha kumtambua Yahya Jammeh kama rais wa Gabon kuanzia tarehe 19 Januari wakati muda wake utakapokamilika. Baraza la amani na usalama la muungano huo pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kaondoka baada ya makubaliano kati ya Au na Yahya Jammeh kukwama .. Bado haijajulikana ataenda nchi gani. Wakati huo bunge la Nigeria wamepitisha sheria ya kuweza kumuifadhi yahya endapo...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Biden confirms Obama, VP were briefed on unsubstantiated claims against Trump By Evan Perez, CNN Justice Correspondent Updated 11:33 PM ET, Thu January 12, 2017 Chat with us in Facebook...
0 Reactions
3 Replies
704 Views
Serikali ya Ivory Coast imefikia makubaliano na wanajeshi wa nchi hiyo kumaliza mgomo uliodumu siku mbili kushinikiza malipo ya ziada na mazingira bora ya kuishi kwa wanajeshi. Rais wa nchi hiyo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Afrika hv tumelogwa na nani? Wanachokifanya viongozi wa ECOWAS no kichekesho kule Gambia, tunafahamika tuna drama za ajabu pamoja na kuwa taasisi (kuanzia AU, EAC,SADC na sasa ECOWAS lukuki bado...
0 Reactions
8 Replies
885 Views
1) Obamacare insured millions through new insurance markets. The health law reduced the number of uninsured Americans by an estimated 20 million people from 2010 to 2016. One of the primary ways...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Wadau nini kinachoendelea kati ya shirika la utangazaji CNN na Rais mteule wa Marekani Donald Trump, imefikia hatua Donald Trump katika mazungumzo yake na waandishi wa habari alikataa mwandishi wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja ambaye ametajwa kuwa ni raia wa Ufaransa kwenye taifa la Switzerlandamehukumiwa kwenda jela miezi 12 baada ya mpenzi wake kumshtaki kutokana na kuivua kinga ‘Condom’ wakiwa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Gazeti la New York times na Aljazeera news wanaripoti kuwa Serekari ya Marekani imetoa kibali kwa Boing na Airbus kuwauzia ndege Iran. na Tayari serekari ya Iran imesaini mkataba na makampuni hayo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Obama aliwaaga Wamarekani na dunia kwa ujumla kwa hotuba iliyojaa majonzi.Pengine mimi nabaki kujiuliza kwa nini Obama katumia mda wake mwingi ofisini kutekeleza yasiyo na manufaa kwa Wamarekani...
0 Reactions
1 Replies
783 Views
A Look Inside Trump's New Presidential Limo, AKA 'The Beast' — It Definitely Lives Up to Its Nickname President-elect Donald Trump will be getting a brand new 2017 Cadillac presidential limo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukiangalia D.Trump, sera zake zote haziingiliani na maisha yetu kama zilivyo sera za uliberari wengine kama Obama,Clinton &Co. hivyo nashindwa kuelewa kwa nini Waafrika walio wengi tena wale...
1 Reactions
6 Replies
836 Views
Trump kanikosha sana leo. He gave it to them like nobody's business. Bravo bravismo Mr. PEOTUS.
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Mr Pompeo (L) and General Mattis (R) talk tough on Russia during their Senate confirmation hearings. President-elect Donald Trump's nominees for defence secretary and spy chief have been taking...
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Zaidi ya viongozi 40 wanatarajiwa kukutana leo kwa ajili ya mkutano wa 27 wa Africa na Ufaransa utakaojadili mambo ya Usalama na Jamii. Rais wa Ufaransa Francois Hollande ataongoza viongozi hao...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
On the third day of confirmation hearings on Capitol Hill, there was one emerging theme: Many of the nominees of President-elect Donald J. Trump have disagreements with him on policy. There were...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Mwanamke mwenye umri wa miaka 30 amechinjwa kwa kukatwa kichwa baada ya kutuhumiwa kwamba alikwenda kununua vyakula madukani bila kuandamana na mumewe kule Afghanistan. Ni marufuku kwa mwanamke...
4 Reactions
236 Replies
28K Views
Back
Top Bottom