Ametokea Somalia kaenda na familia yake USA kama Mkimbizi, hajui Kiingereza wala nini, kazaliwa mwaka 1982 huko Somalia, leo hii ni Legislator USA!
Huyu angekuwa Afrika, tungesema hajui Kiingereza...
Rais wa Marekani, Barack Obama amewaaga Wamarekani na ulimwengu mzima kwa ujumla ikiwa ni mara ya mwisho akiwa kama rais, katika hotuba iliyojaa hisia kubwa aliyoitoa mjini Chicago na kuwataka...
Wasuluhishi kutoka maeneo mbalimbali wanaojaribu kutatua mgogoro wa kisiasa nchini Gambia wameahirisha kwenda nchini humo kutokana na ombi la rais Yahya Jammeh.
Badala yake watakwenda nchini humo...
Nimesikiliza ile hotuba, ki ukweli, japo Marekani na Tanzania ni sawa na Mbingu na nchi, ila bado naamini kuna kitu cha kujifunza bado.
Ki ukweli kabisa Democrasia siyo usawa, bali kushindana...
The economic magazine Forbes, founded in 1917 by Bertie Charles Forbes is renowned for its various rankings published annually. This year, Forbes attributed to Aliko Dangote the second place of...
Hili jinga la Orange,lilivyokuwa hotel Ritz moscow,liliagiza malaya wawili hotelini wakamfanya golden shower ile show ya mkojo,kumbe kamera zinamrekodi,ukiachilia hayo na mambo mengine kama vile...
Prosecutors have named the heir to the Samsung empire as a suspect in the massive corruption scandal that has rocked South Korea.
Samsung Vice Chairman Lee Jae-yong, who is expected to succeed...
Wananchi waonekana kushangaa baada ya Mfalme Akihito kutangaza matamanio yake ya kung'atuka
Mfalme wa Japan Akihito ameeleza mapenzi yake ya kutaka kung'atuka.
Akihutubia taifa hilo kupitia...
Huyu mama nilidhani angeleta ushindani lakini nimepitia uzi mmoja hapa muda si mrefu naona, maji ya shingo, kulingana na maelezo ya mchambuzi mmoja hapa.
"Katika uchaguzi huu mtu anaye pull a...
Nana Akufo- Addo aapishwa kuwa rais mpya wa Ghana
Nana Akufo- Addo ameapishwa leo kuwa rais wa mpya wa Ghana. Akufo-Addo ameahidi kupunguza kodi ili kufufua uchumi wa nchi hiyo kando na kuangamiza...
Barrack Obama aliangazia demokrasia Marekani katika hotuba yake ya mwisho
Rais wa Marekani Barack Obama amewahimiza Wamarekani kuitetea demokrasia, kwenye hotuba yake ya mwisho kama rais wa...
Next week his time will be up and there will be a new sheriff in town.
How time flies.
Not a fan of his but so long Mr. President.
I'm not gonna be a grinch tonight. I'll give the devil his...
New York (CNN)Former New York Sen. Al D'Amato was removed from a delayed New York-bound JetBlue flight on Monday after trying to rally passengers against the flight crew.
JetBlue flight 1002 from...
Profesa wa chuo kikuu cha Shandong Jianzhu amefukuzwa kazi baada ya kumkosoa mitandaoni muasisi wa taifa hilo, Mao Zedong katika maoni aliyotoa kwenye mtandao siku ya maadhimisho ya miaka 123...
Huyu jamaa naye kaanza kuiga mambo ya watu weusi mtoto wake ndiye alitengeneza cabinet..
Sasa mkwe ni mshauri mkuu wa mipango yote ya uchumi na mambo ya mashariki ya kati .
Wacha tuone mwisho...
Akihojiwa na BBC, mke wa raisi wa Nigeria amekosoa uongozi wa mme wake kwamba unawaangusha wapiga kura na kwamba amezingirwa na watu wasiokuwa wapiga kura na wasiofahamika. Soma hapa kwa undani...
Marekani imemtaja Hamza ambaye ni mtoto wa kiume wa Osama Bin Laden katika orodha ya Magaidi.
Taarifa kutoka wizara ya ulinzi zinasema Hamza Bin Laden akiwa katika umri wa miaka ishirini amekuwa...
Katika tukio ambalo si la kawaida kando la wakati wa rais Kennedy alipomteua ndugu yake kuwa waziri..
Trump naye ameingia na lake jipya kwa amemteua MKWEWE/Son in law
Jared Kushner kuwa ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.