Hii video ni ya habari inayobamba kwa sasa Marekani.
Inawaonyesha vijana wanne wa Kinugu wakimtesa kijana wa Kizungu ambaye pia ni mlemavu wa akili.
Kwenye video wanasikika wakimtukana Trump...
IVORY COAST: Waziri Mkuu Daniel Kablan Duncan amejiuzulu kufuatia kupitishwa kwa katiba mpya na uchaguzi wa bunge wa mwezi uliopita.
- Rais Alassane Ouattara awavua vyeo mkuu wa Jeshi na wa...
Jamaa wameingia mtaani, wameteka watu na Makao Makuu ya Jeshi LA Nchi hio. Waziri wa Ulinzi Anaendelea ku- negotiate nao, wanataka salary ya Dollar 8000 na Nyumba kwa kila MTU.
Rais amehutubia...
Sasa inaonekana dhahiri, hali si shwari kati ya vyombo vya Usalama na Ujasusi chini Marekani na Donald Trump.
Jana viongozi karibu wote wa vyombo vya usalama na Ujasusi, yaani National Security...
Fort Lauderdale airport shooting: Multiple people shot dead by Florida gunman
Fort Lauderdale airport shooting: Five people shot dead by Florida gunman
Image copyrightAP
Image captionShooting...
She's rarely seen on an official engagement without a small box clutch, often carried in front of her with both hands, and now etiquette experts have revealed that the Duchess of Cambridge's...
Mwana wa Osama bin Laden aorodheshwa na Marekani miongoni mwa magaidi wanaosakwa na Marekani
Marekani imesema kuwa imemuorodhesha mwana wa mwisho wa Osama Bin Laden, Hamza, katika orodha ya...
Jenerali MUSA SAVAGE na Jenerali Badjie wamemgomea Rais wa Gambia Bwana Yahya Jammeh, wakisema tarahe 19 January 2017 wataanza kumtii Rais mteule ADAMA Barrow, linataarifu Gazeti la FREEDOM la...
Rais wa zamani wa Iran Ayatollah Hashemi Rafsanjan amefariki dunia
Rafsanjan aliyekuwa na umri wa miaka 82 amefariki dunia akiwa hospitalini kutokana na mshtuko wa moyo
Mashirika ya habari ya...
Mahakama mjini Nanjing, China, imewafunga jela wanaume wawili waliowatapeli wateja kupitia benki bandia, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti.
Wanaume hao waliotambuliwa kwa majina Zeng na...
WASHINGTON — President Vladimir V. Putin of Russia directed a vast cyberattack aimed at denying Hillary Clinton the presidency and installing Donald J. Trump in the Oval Office, the nation’s top...
Rais mtarajiwa wa Marekani, bwana Trump ameamua kuhakikisha kuondoa chochote chenye harufu ya rais anayeondoka bwana Obama. Ametoa agizo mabalozi wote walioteuliwa na Obama kuachia nyadhifa zao...
Rais wa Ufaransa Francois Hollande amependekeza kwamba Urusi inafaa kushtakiwa kwa uhalifu wa kivita kutokana na mashambulio ya mabomu yanayotekelezwa na ndege za kivita za taifa hilo Aleppo...
Obama alisema hayo mapema jana Jumapili wakati akiendelea kuwashawishi wamarekani wamchague Bi Clinton awe rais.
Obama alisema kuwa kwa miaka na miaka hawajawahi kuwa na rais mwanamke na hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.