Orania: South Africa's whites-only town - CNN.com
CNN)Orania is not prime real estate by any stretch of the imagination.
The settlement west of the Orange River in Northern Cape, South Africa...
china imeahidi kurudisha chombo cha marekan ilichokikamata mapema wiki hii katika bahari ya kusini mwa china. Aidha pentagon iliisisitiza china kurudisha xhombo hcho mara moja kwakuwa wakati...
Babu zetu wamepigania uhuru na wakafanikiwa kumtoa mzungu katika bara letu pedwa la Africa, wakajitahidi kutusogeza kimaendeleo kulingana na uwezo wao uliotukuka, watu kama kina Kwame Nkrumah...
Ndege ya Abiria ya nchini Libya imetekwa na watu ambao bado hawajajulikana na kulazimishwa kwenda kutua nchini Malta.
Ngege hiyo aina ya Airbus A320 ilikuwa na jumla ya abiria 118...
Donald Trump ameitaka Marekani kuboresha zaidi uwezo wake wa zana za nuklia.
Rais huyo mteule ambaye ataingia ofisini mwezi ujao amesema kuwa Marakani ni lazima ichukue hatua kama hizo, hadi...
When the Prime Minister meets the Queen
''The Queen is reported to have been "disappointed" with Theresa May after she declined to share details of her plans for leaving the European Union during...
Habari kutoka bbc zinasema kuwa iwapo mazungumzo ya kumaliza mgogoro wa kimadaraka juu ya raisi wa Gambia kukataa kuondoka madarakani baada ya kushindwa yatagonga mwamba, jeshi la ECOWAS liko...
Kampuni ya ndege ya Boeing itatengeneza ndege ya Rais (Airforce One) Kwa bei ya chini ya Dola Bilioni 4, mkurugenzi wa kampuni ndege ya Boeing aliwaambia waandishi Siku ya Jumatano.
Bwana...
Aleppo wadhibitiwa kabisa na serikali ya Syria
23 Disemba 2016
Mshirikishe mwenzako
Sambaza habari hii
Email
Sambaza habari hii Email
Facebook
Sambaza habari hii Facebook
Messenger...
Shirika la kibinaadamu la Human Rights Watch linasema kuwa vikosi vya usalama ini DR Congo vimewaua takribani watu 34 wakati wa maandamano wiki hii.
Mazungumzo yanayoendeshwa na kanisa katoliki...
Watu 9 wamekufa na zaidi ya watu 50 wamejeruhiwa baada ya Lori kuwagonga wananchi waliokuwa kwenye soko la Christmas mjini Berlin Germany.
Polisi wanasema kuwa dalili za mwanzo zinaonyesha kuwa...
20 December 2016 Last updated at 23:05 GMT
After the attack, authorities throughout Europe, including Britain, have been revisiting their security arrangements for Christmas and New Year.
Gordon...
Secret Service agents: Hillary is a nightmare to work with
October 2, 2015 | 8:50pm
Modal Trigger
AP
“Good morning, ma’am,” a member of the uniformed Secret Service once greeted Hillary Clinton...
Rais wa Gambia yahaya jammeh aliyeshindwa katika uchaguzi mwanzoni mwa mwezi huu amesisitiza kuwa hataachia ngazi na kuondoka madarakani.
Jammeh amesisitiza licha ya kushindwa na Adama Barrow...
Image copyright AFP
Image caption Rais Yahya Jammeh wa Gambia
Rais wa gambia Yahya Jammeh ameonya kuwa atakataa jaribio lolote la viongozi wa kieneo kumlazimisha kuondoka madarakani licha ya...
Ndg zangu I was following the story of congo DRC and this is what I found, Joseph Desiree Kabila has forgged his name and he is not a Congolese....follow this attachment.Hippolyte Kanambe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.