Wakuu Nina maswali kuhusu nchi ya Congo Nataka nijue Hali halisi ya maisha ya kule.
Je ni kweli Kuna mlima uko bukivu uliojaa dhahabu na je eneo Hilo silaha zinaingiaje kiasi kwamba serikali...
The African Union (AU) Heads of State and Government during their Twenty-Sixth Ordinary Session on 31 January 2016 in Addis Ababa adopted the African Space Policy (ASP) and Strategy as the first...
Wabunge 29, wakikacha chama tawala Korea Kusini
Rais wa Korea kusini Park Geun-hye
Wabunge 29 wa Bunge la Korea kusini wamejiondoa katika chama tawala nchini humo.
Hatua hiyo imekuja kufuatia...
Mzuka wanaJamvi.
Serikali ya Uturuki mara moja imezima mitandao yote ya kijamii Facebook, Twitter, WhatsApp, Viber na mengine. Uamuzi huo umekuja baada ya La kundi La kihuni ISIS kuposti Video...
CIA imegundua kuwa Putin aliingilia Uchaguzi wa Marekani kwa Namna mbili, 1) Kuiiba na Kufukua mawasiliano ya E-mail za Hillary pamoja na DNC na kuwapa Weaky Leaks ili wamchafue. 2) Na wakati wa...
Navy ships sail near the crash site of a Russian military Tu-154 plane, which crashed into the Black Sea on its way to Syria on Sunday, in the Black Sea resort city of Sochi, Russia, December 26...
Mkurugenzi wa Bodi ya Filamu nchini Kenya, Ezekiel Mutua, amekemea wimbo ambao ameeleza una mashairi yanayotatanisha ambao umekuwa gumzo nchini Kenya kwa siku za hivi karibuni unaokwenda kwa jina...
Baada ya Uchaguzi huru na haki huko Gambia, upinzani umeibuka Washindi chini ya Umoja wa vyama pinzani ukiongozwa na Adamu Burrow!
Rais aliyekuwa madarakani Yahya Jammeh kwanza alikubali matokeo...
Israel Fears American, French Initiative in Paris Conference Before Obama Leaves Office
Jerusalem concerned that foreign ministers' meeting in Paris, scheduled for January 15, will result in a...
Fake news story prompts Pakistan to issue nuclear warning to Israel
Defence minister reminds Israel on Twitter that ‘Pakistan is a nuclear state too’ after fake story says Israel had threatened...
(CNN)Christmas carols aren't supposed to have lyrics like "revenge is like the sweetest joy, next to getting p***y."
But that's exactly what churchgoers in Sri Lanka saw in booklets at a carol...
Sasa ni rasmi Trump ndiye Rais wa marekani na kushinda kwake kutamfanya Putin aendendelee kuwa chini yake.
Ni wazi sasa Putin hawezi kufurukuta tena kama alivyokuwa anafurukuta chini ya Obama ...
Serikali ya Misri imedhibitisha kwamba inamzuilia mwanahabari kutoka shirika la habari la AlJazeera aliyekamatwa Ijumaa.
Wizara ya usalama wa ndani inasema mwanahabari huyo, Mahmoud Hussein...
Urusi imetangaza kupokea miili 10 ya waathiriwa wa ile ajali ya ndege iliyotokea katika bahari ya Black Sea hapo siku ya Jumapili.
Maiti hizo zimesafirishwa hadi mji mkuu- Moscow.
Abiria wote 92...
Nimemsikia Rais Obama akisema kuwa Rais wa Urusi Putin ameingilia uchaguzi wa Marekani ni kusababisha Bi Hilary Clinton kushindws Na Donald Trump.Najiulisha Urusi imewezaji kuingilia? Urusi...
Image copyright BKA / HANDOUT
Image caption Polisi wa Ujerumani wametoa picha za Anis Amri
Mtu aliyeendesha shambulizi kwenyr soko mjini Berlin Anis Amri, ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi...
Mazungumzo yaliyokwisha juzi nchini DRC kati ya serikali na wapinzani yametoka na azimio moja la rais Kabila kuandaa uchaguzi kabla ya mwisho wa mwaka ujao 2017.
Maombi yake ya kukaa hadi Dec...
Balozi Turkey alivyoponea chupuchupu kuvunjwa kichwa. Mpigaji naona hakuzipanga vyema karata zake. Alijaribu kufyatua huku bastola ikiwa kwenye safe akashindwa kutekeleza nia yake. Nu huko mjini...
Baada ya miaka 22 madarakani hivi karibuni rais wa Gambia alishindwa uchaguzi wa kidemokrasia.
Cha ajabu hadi sasa ajakubali kushindwa, Majeshi ya nchi za afrika magharibi yakiongozwa na Senegal...
Wazee habari!!katika pitapita zangu mitndaoni nimekutana na hii..
First off, let me say, I have a team of experts that have given me their professional opinion on this video.
The ruffling of his...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.