We regard the recent unfriendly steps taken by the outgoing US administration as provocative and aimed at further weakening the Russia-US relationship. This runs contrary to the fundamental...
Hiyo ndo tafsiri yake, ni kama vile Mkataba wako wa upangaji umeisha halafu unakunya chumbani ili kumkomoa anayekuja, Obama anawasha moto wakati amebakiza wiki 3 aondoke, kama siyo kukomoa ni nini?
IFAHAMU SUDAN
جمهورية السودان
Jumhuriyat as-Sudan
Republic of the Sudan
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Al-Nasr Lana (Kiarabu: Ushindi ni Wetu)
Wimbo wa taifa: نحن جند للہ جند الوطن Nahnu...
Nimeshangaa wakuu Obama anapita kila kona ya Marekani kuwaaminisha wamerekani na kutaka kufuatilia ile issue ya udukuzi wa uchaguzi, ikumbukwe wote yeye na yule mama walimpongeza Trump kwa ushindi...
Siku zote nilikuwa na wasi wasi sana na intelligence ya Raisi wa USA Obama na sasa kila kitu kiko wazi anazidi kujidhalilisha na Dunia inazidi kumuona wa ajabu ajabu kuanzia kutoa statement kama...
Marekani ipo katika mkakati wa kuizuia Russia kuuza sulaha za kisasa aina ya su-30sm.Silaha hizo ambazo Russia imepanga kuiuzia Tehran lakini U.S inasema itakuwa inakiuka makubaliano ya usalama ya...
Ndani ya Sudan huru.
Wakati wa uhuru wa Sudan mwaka 1956 viongozi wa kusini walidai haki ya kujitawala ndani ya taifa jipya, lakini mapatano yalishindikana na hali hiyo ilisababishwa kutokea kwa...
Historia ya kale
Kuna nyaraka chache sana za historia ya mikoa ya kusini mpaka mwanzo wa utawala wa Misri upande wa kaskazini mapema 1820 na baadaye kuendelezwa kwa biashara ya utumwa kuingia...
Source: Letter from the north: PAUL KAGAME TREATED FOR BIPOLAR DISORDER.
Letter from the north: PAUL KAGAME TREATED FOR BIPOLAR DISORDER.
Madam Jeannette Nyiramongi Kagames frequent...
Waasi watiifu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais, Riek Machar wanamshikilia ofisa wa Serikali Jimboni Liech, Kusini mwa nchi baada ya ndege ya kukodi kutoka Tanzania kutua kwenye ardhi ya waasi eneo la...
Picha: Kevin aliweka vipande vya nyama ya nguruwe katika mlango wa msikiti wa Jamia huko Totterdown, Uingereza.
Mtu aliyeweka nyama ya nguruwe katika mlango wa msikiti nchini Uingereza amefariki...
Russia na Iran wanatarajia kuingia mkataba mwingine wa kuuziana silaha za kisasa zaidi zitakayoifanya Iran kuwa na uwezo mkubwa wa kulinda anga lake na bahari.
Kama kuna kitu kinapingwa na...
Mwanamke mmoja raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika amemsamehe mtu aliempiga na bilauri (glass) ya kunywe bia usoni baada ya kumsikia akongea kiswahili.
Asma Mohhamed Jama aliekua pamoja na...
South Africa is a major player in the global cannabis industry, producing a top strain — Durban Poison — and a significant portion of the continent’s supply, Cannabis Now reported.
Until now, the...
Ni abiria wengine wachache ndio walipaza sauti kutaka Abiria waliokua wakiongea kiarabu washushwe kwenye ndege ya shirika la ndege la Marekani liitwalo Delta ambapo Wahudumu wa ndege hiyo...
Mhanga wa biashara ya usafirishaji watu aliyebakwa mara 43,000 hadi kufikia umri wa miaka 16 baada ya kuchukuliwa akiwa na miaka 12, amebadilisha maisha yake kusaidia watu wengine.
Karla Jacinto...
Americans pick Obama over Trump as ‘most admired’ man in 2016 — and it’s not even close
David Edwards
28 Dec 2016 at 10:20 ET
AddThis Sharing Buttons
Share to...
Raisi Obama wa USA anayemaliza muda wake, aliyebakiza kama wiki 3 tu madarakani, ameamua kwa kutumia muda wake huu mfupi uliobakia kuiwekea nchi ya Urusi vikwazo vya kiuchumi kwa kosa ambalo yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.