Kokeini yenye thamani ya bei ya mtaani kiasi cha Euro 50 m imegundulika katika kiwanda cha a Coca-Cola kilichopo kusini mwa Ufaransa.
Dawa hiyo iliyokuwa imefichwa kwenye mifuko ya kuuzia juisi...
Rais mteule wa Zambia, Edgar Lungu amezua mjadala mkali baada ya kutangaza mpango wa kuanzisha wizara itakayosimamia maswala ya dini.
Mnamo siku ya Jumapili, Rais Lungu alitangaza mpango wa...
Mwanzilishi wa kampuni ya Facebook Mark Zuckerberg amelezea kusikitishwa kwake baada ya satelaiti ambayo Facebook ingeitumia kwa mawasiliano ya kasi ya mtandao wa intaneti barani Afrika...
In Uganda, we are still functioning with an old fashioned mid-20th Century Conference Centre, which is not possible to rig up with all the new clever conference tech
WEDNESDAY AUGUST 31 2016...
Kijana mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa jimbo la kaskazin magharibi mwa Nigeria la Bauchi anasema kuwa macho yake yalitolewa na watu waliotaka kuyatumia kwa ajili ya sababu za ushirikina.
Viungo...
Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte ametishia kutangaza hali ya nkuitawala nchi kijeshi kufuatia kuendelea kwa " hali ya uasi " kufuatia waasi wa Abu Sayyaf kulipua bomu lililoua watu 14 na...
In advance of the storm, Florida Gov. Rick Scott declared a State of Emergency to help 51 counties prepare. A mandatory evacuation notice has been issued for Franklin County, located along the...
CHADEMA mmeona? Hawa ndiyo Wanaume siyo ninyi mnatishia nyau kumbe hata uwezo wenyewe wa kuhamasisha hamna!
Eti Watanzania wamekaa wanasubiri fisadi lowasa atoe tamko wakinukishe, kumbe fiksi...
Makamu wa rais nchini Afrika Kusini alichukua fursa bungeni wakati ambapo rais wa taifa hilo Jacob Zuma alikuwa amesafiri nje ya nchi kuwakilisha maswala ya serikali ikiwemo kondomu isiyo na...
CNN :Visitors hoping to walk on the world's highest and longest glass-bottomed bridge will have to hold their breath.
The record-breaking structure hanging over China's Zhangjiajie Grand Canyon...
Protesters in Ethiopia have attacked foreign businesses, according to the owners of a flower firm, as demonstrations in which rights groups say hundreds of people have been killed continued.
The...
A love affair turned tragic after a prison warder hacked a man to death in Trans Nzoia County when he found him in bed with his wife.
The prison warder, based in Kisumu, is said to have arrived...
Serikali ya Korea Kusini imesema waziri wa elimu nchini Korea Kaskazini ameuawa na maafisa wa serikali. Tangazo la kifo cha Kim Yong-jin limetolewa na Wizara ya Muungano ya Seoul na limetolewa...
At least 12 people were killed and 40 wounded when two bomb blasts went off outside a district court in northwestern Pakistan, a rescue official said.
The attack on Friday in front of the court...
Police arrested 1,000 people as security forces fanned out across Gabon's capital Thursday after a night of riots and looting that erupted when President Ali Bongo was declared winner of disputed...
Apple's chief executive Tim Cook described an European Union ruling that it must pay a huge tax bill to Ireland as "total political crap", but France joined Germany on Thursday in backing Brussels...
Caracas, Venezuela (CNN), Protesters packed the streets of Venezuela's capital Thursday, demanding a recall vote to remove President Nicolas Maduro from power.
Wearing white and waving flags as...
Seneta Jacqui Lambie
Seneta mmoja anayependa kuzungumza sana nchini Australia amemfananisha na ''kahaba mwenye hasira'' mwenzake wa chama cha kihafidhina kabla ya kuomba msamaha kwa makahaba...
Mfungwa mmoja ameapishwa kuwa meya mpya wa mji mkuu wa Pakistan-Karachi.
Mfungwa mmoja ameapishwa kuwa meya mpya wa mji mkuu wa Pakistan-Karachi.
Waseem Akhtar, kutoka ndani ya chama kimoja kikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.