Check out @realDonaldTrump's Tweet:
Sasa hivi mambo yanaanza kubadilika taratibu baada ya Russia kutoa email zilizoonyeasha Hillary alipendelewa dhidi ya Ben Sander
Sasa mambo yamebadilika...
Burkina Faso ni taifa linalopatikana Afrika magharibi na linakaliwa na wakazi wapatao 17.27 milioni (sensa report of 2014). Na limepakana na nchi ya Niger kwa kaskazini, Mali kwa...
Waziri wa Haki wa Gabon, Seraphim Moundounga ajiuzulu kufuatia utata wa matokeo ya uchaguzi wa urais nchini humo.
=========
Gabon's justice minister resigned Monday over the government's refusal...
Spanish firefighters are battling a huge forest blaze on the Costa Blanca that has forced the evacuation of thousands of people including tourists.
More than 300 firefighters have been deployed to...
Nchi ya Japan ambayo inaongoza kwa kuwa na vitega uchumi nchini Uingereza mapema leo, imetoa taarifa yake ya onyo kwamba ikiwa mazungumzo ya Brexit kati ya Uingereza na Jumuiya ya Ulaya EU...
Mama Teresa ambae amefanya kazi yake kwa wahindi maskini ametawazwa kuwa mtakatifu na Papa Franscis kwenye tafrija iliyofanyika Vatican. Papa amesema Mtakatifu Teresa amewalinda wanaoumwa...
Baada ya uzinduzi wa safari ya teksi kupitia mtandao wa Uber, sasa kampuni ya Uber, imedokeza kuanzisha njia ya usafiri kupitia ndege maarufu Uber Chopper nchini Kenya.
Kampuni hiyo inalenga...
Kundi moja la wanachama wa ANC nchini Afrika Kusini linapinga uongozi dhidi ya Jacob Zuma.
Wanayaita maandamano hayo #OccupyLuthuliHouse,wakitaja makao makuu ya chama hicho mjini Johannesburg,mji...
Drones zitarahisisha sana mambo,imagine ulimwengu wa drones,kupishana tu juu angani kupelekea mteja bidhaa au kitu.
=========
Domino's delivers pizza by drone in New Zealand
See Domino's...
Mahakama ya kikatiba nchini Zambia imetupilia mbali kesi ya mgombea wa urais wa chama cha upinzani cha United Party for National Development Hakainde Hichilema na mgombea mwenza Geofrey Bwalya...
Watu 18 wanahofiwa kujeruhiwa baada ya eneo la maegesho ya magari kuporomoko katika mji wa Tel Aviv, Israel
=========
TEL AVIV, Israel – A building collapsed in a Tel Aviv construction zone on...
Polisi katika mji wa Sao Paulo watumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji wanaopinga kuundolewa Rais Rousseff.
==========
Police used tear gas on Sunday to disperse thousands of...
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amerudi nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi hali iliyopelekea kuzuka taarifa kuhusu uimara wa afya yake na alipopata nafasi ya kuongea, alitania amepata uhai tena...
Raisi Robert Mugabe wa Zimbabwe leo aliamuru ndege iliyokuwa ikimpeleka nchini Indonesia siku ya Ijumaa igeuzie Dubai na kurudi Harare mara moja.
Mzee Jongwe ambae ana umri wa miaka 92 ndiye...
Rwanda expects to boost its revenue earnings from tourism this year by 25.8 percent from 2015, helped by extra attractions including a new game park, an official told Reuters late on Friday.
The...
Kagame has re-made Rwanda but he is far from re-making Rwandans. He has failed to check on his "strong men's" powers and authority. Such men like James Muson, Jack Nziza, James Kabarebe...
Raisi dikteta wa Uzbek,Islam Karimov(78) afariki dunia kutokana na stroke.
Kwa mujibu wa Aljazeera,Raisi huyu anatuhumiwa kuminya upinzani, uhuru wa habari,kuua waandamanaji na pia inaripotiwa...
JAMUHURI YA AFRIKA YA KATI NA MAUAJI YA FEDHEHA KWA BARA LA AFRIKA
Makala yangu no 04. Juu ya ziara yangu East, Central & Great lake zone of Africa.
Na Comred Mbwana Allyamtu.
Bangui ndio...
Watu 35 wamefariki nchini Pakistan mapema Jumapili ya leo baada ya basi la abiria kugonga lori la mafuta kusini mwa jimbo la Zabul, wahusika wamethibitisha.
Basi hilo lilikuwa linaelekea Kabul...
Kulitokea kizaazaa katika kituo cha polisi cha kisumu Nairobi,ambapo waombolezaji walipoacha jeneza katika langoni mwa kituo cha polisi kwa hasira
Inadaiwa walikuwa wanateta baada ya polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.