International Forum

News and Stories from rest of the World
Watu zaidi ya 100 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mfurulizo wa mashambuluio ya anga. katika majiji ya Aleppo na Idlib, masaa kadhaa baada ya Marekani na Urusi kutangaza mpango wa...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Takribani watu 21 wamefariki dunia na 70 wamejeruhiwa, kufuatia kutokea kwa mlipuko katika kiwanda kimoja nchini Bangladesh. Taarifa ya Jeshi la Polisi imeeleza kuwa katika Kiwanda hicho...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
A federal appeals court on Friday blocked Kansas, Georgia and Alabama from requiring residents to prove they are U.S. citizens when registering to vote using a national form. The 2-1 ruling is a...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Nilikuwa natazama CNN poll, Trump anaongoza kwa 45% dhidi ya 43% za Hillary Clinton. Lakini pia inaonyesha kwa categories zote I.e likely voters, registered voters, truth worthy leader etc Trump...
8 Reactions
143 Replies
11K Views
Hivi karibuni wajerumani walifanya uchaguzi wa serkali za mitaani,katika matokea chama cha Christian Democratic Union (CDU) kimepoteza viti vingi sana. Sababu za kushindwa vibaya kwa bi Merkel ni...
2 Reactions
3 Replies
933 Views
Bunge la Afrika Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki. Wajumbe wa bunge hilo wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa...
5 Reactions
46 Replies
8K Views
Harnaam Kaur anasema kwa miaka mingi amekejeliwa kwa sababu ya ndevu zake Mwanamitindo mwenye ndevu za urefu wa inchi sita ametambuliwa na Guinness World Record kuwa mwanamke wa umri mdogo zaidi...
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Kiongozi wa taifa la Palestina Mahmoud Abbas Wakati mkutano wa mapatanisho kati ya taifa la Palestina na Israeli ukiandaliwa kufanyika chini ya raisi Vladimir Putin, Israeli wametoa mdai kwamba...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Sean Stewart mwenye umri wa miaka 12 anayeishi Uingereza ndiye anayesemekana kuwa ndio baba mwenye umri mdogo zaidi duniani. Sean anasoma darasa la saba katika shule ya Margaret Beaufort...
6 Reactions
43 Replies
10K Views
Mmoja ya waanzilishi wa mtandao wa Facebook, Dustin Moskovitz amechangia bilioni 40 za Kitanzania kwa chama cha Democrats, kusaidia kumbwaga Donald Trump ============ The money will go to...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maji katika mto Daldykan yamekuwa ya rangi nyekundu Wachunguzi wa masuala ya mazingira nchini Urusi wanajaribu kubaini sababu iliyoyafanya maji ya mto ulio karibu na kiwanda cha nikeli cha...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Laana ya kumuua Gadafi inazidi kumuandama Obama, Dunia nzima inamkataa, sasa jina lake limepewa vijidudu vinavyoshambulia na kuharibu Mapafu! Huyu ni Parasite mpya aliyegunduliwa huko nchini...
1 Reactions
0 Replies
897 Views
Kiongozi wa kundi la kigaidi la Jabhat Fateh al-Sham, ameuawa kwenye shambulio katika jimbo wa Aleppo. =========== The militant group, which changed its name in July from the Nusra Front to...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Idadi kubwa ya watalii wamekwama kwenye magari ya waya katika milima ya Alps huko kusini ya kati mwa bara la Ulaya. Taarifa kutoka Barani Ulaya zimesema kuwa watalii hao wamekwama katika gari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Takribani watu 18 wamefariki dunia na wengine 30 wamejeruhiwa baada ya basi binafsi walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kisha kuharibu kingo za daraja na hatimae kuingia kwenye maji. Tukio hilo...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Putin had barely escaped with his life after a Mercedes sped from the opposite lane and rammed the President's official car head-on without warning. What had saved Putin was probably inside...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pict: SUKHOI SSJ -100 MIAMI — CityJet has become the second Western operator of the SuperJet International SSJ-100, after taking delivery of the first of 15 aircraft ordered by the airline...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
06 SEPTEMBER, 2016 BY: DAVID KAMINSKI-MORROW LONDON Investigators have disclosed that the Emirates Boeing 777-300 destroyed in an accident at Dubai was attempting a go-around after a long landing...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Kuna uwezekano mkubwa wa Trump kushinda uchaguzi ujao lakini matokeo yake naona yakipinduliwa kwa sababu zifuatazo!! 1: Matamshi aliyoyatoa Trump Mwanzo kwenye kampeni zake juu ya Islamic,na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa taifa hilo Shavkat Mirziyoyev ameteuliwa kuwa rais wa mpito baada ya kufariki kwa rais Karimov wiki iliyopita. =========== Uzbekistan's Prime Minister, who has affirmed his...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Back
Top Bottom