Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani kupitia chama cha Democratic Hillary Clinton amelazimika kuahirisha ziara yake ya kuchangisha fedha katika jimbo la California baada ya vipimo kuonyesha...
MWANAUME mmoja kutoka katika familia maskini inayoishi mjini Bhawanipatna katika jimbo la Orissa nchini, amelazimika kuubeba mwili wa mkewe begani, baada ya hospitali kushindwa kutoa gari la...
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte, aliamuru kuuawa kwa wanasiasa wapinzani alipokuwa meya wa zamani wa Davao, mwanachama mmoja wa kikosi kilichopewa jukumu la kuwaua walanguzi wa biashara haramu...
The report says the UK diplomat spent almost entire career serving in Arab countries.
British Ambassador to Saudi Arabia Simon Paul Collis and his wife Huda Mujarkech performed Haj this year...
Muammar Gaddafi aliuawa mwezi Oktoba 2011, wakati nchi za Magharibi ziliingilia kati kijeshi nchin mwake.
Ripoti ya Bunge la Uingereza inakosoa vikali Ufaransa na Uingereza kuingilia kijeshi...
Muungano wa Makanisa ya kikristo eneo la Mlima Kenya, umeapa kupinga warsha za malezi zinazopangwa na kundi lisilomwamini mungu hapa nchini la Atheist in Kenya.
Warsha hizo zimetangazwa na...
Nchi nyingi za africa zimekuwa zikipiga hatua kubwa kimiuondo msingi hususan kwenye usafir wa mijini.
Hizi hapa ni baadhi ya picha ndani ya ruti za Khartoum na mji wa Wadi-halfa
Mungu awarehemu wote walokutana na ukatili huu wa kimataifa!
===========
Marekani inaadhimisha mwaka wa kumi na tano tangu shambulio la wapiganaji wa jihad la Septemba 11 ambalo liliwaua watu...
Msemaji wa kikosi cha anga cha Israel IAF Eli malka amesema hakuna ndege yoyote ya Israel iliyotunguliwa na vikosi vya Syria, kuwa taarifa zinazoonea kuhusu jambo hilo zipuuzwe ni propaganda na...
US-led coalition warplanes destroyed a factory in Iraq used by the Islamic State group to make chemical weapons, the Pentagon said Tuesday.
The production center -- a converted pharmaceutical...
IYADH, Saudi Arabia
POLISI nchini Saudi Arabia wamemkamata mwanamume mmoja aliyempiga risasi mwanaume mtaalamu wa afya ya uzazi aliyemsaidia mkewe kujifungua mtoto akisema ni haramu kwa mwanamume...
Madaktari wametumia roboti ya kwanza kufanya upasuaji wa macho na kurejesha uwezo wa kuona kwa mgonjwa kwa mara ya kwanza duniani.
Kundi la madaktari kutoka hospitalia ya John Radclife nchini...
Maelfu wahamishwa, safari zasimamishwa Kusini mwa Taiwan kufuatia upepo mkali unaovuma kasi ya 370kph.
==========
Hong Kong (CNN) Hundreds of people have been evacuated in southern Taiwan and...
Rais wa Gabon, Ali Bongo Ondimba amekubali ushauri wa kuhesabiwa upya kura za uchaguzi uliofanyika hivi karibuni na kuzusha machafuko baada ya wafuasi wa upinzani kugomea matokeo yaliyotangazwa na...
Habar wana jamii forum,
Ninaitwa HAASAN AKILIMALI , Ninafanya shughuli za designing vitu ninavyo tengeneza ni pamoja na PLASTIC IDENTITY CARDS(PVC’S)PLASTICS CERTIFICATES FOR COLLEGES (PVC)...
Aleksander Ceferin (48) wa Slovenia ametajwa kuwa Rais mpya wa UEFA akiungwa mkono na vyama 42 vya soka barani Ulaya.
======
Aleksander Ceferin has been elected as the new president of Uefa...
Ugiriki nimoja kati ya nchi zinazounda EU na nchi hiyo ina mdororo wa uchumi kama mdororo wetu hapa Tanzania. nasikikitika kuona hali ya ugiriki kiuchumi kudorora na wala sio jambo la kusifia...
Jeshi la Syria limesema limeziangusha ndege mbili za anga za Israel. Baada ya Israel kutaka kushambulia eneo lilipo jeshi la Syria la Quneitra
========
Syrian army says it downed two Israeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.