International Forum

News and Stories from rest of the World
Africa’s richest man, Aliko Dangote, has enumerated ways Nigeria can come out of the current recession ravaging the economy. The business mogul in an interview with CNBC Africa, urged the Federal...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Rais wa Botswana Ian Khama amemshauri Rais Robert Mugabe kuachia ngazi bila kupoteza muda na kuruhusu uongozi wenye damu mpya uchukue madaraka. Amesema kuwa uchumi wa Zimbabwe umekuwa kwenye...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Foster City residents Jon and Linda Grant stood outside the Tanzanian Embassy in Washington on Tuesday, warning others of their experience in the country and pleading with the Tanzanian ambassador...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani kupitia tiketi ya chama cha Republican George HW Bush amesema kuwa atampigia kura mgombea wa urais kupitia tiketi ya Democrat Hillary Clinton . Bwana Bush...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
1. North Korea ni kinyume na sheria kusoma biblia au quraan, na atakayefumwa akisoma vitabu hivyo vitakatifu adhabu yake ni kifo. 2. Hayaruhusiwi maongezi ya kawaida, baina ya mwanaume na...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Africa inazidi kutisha kwa kasi ya maendeleo hasa kimiuondomsingi. Hizi treni mpya zinapiga ruti toka mji wa lobito hadi mji mkuu wa Luanda.
7 Reactions
27 Replies
6K Views
Wa salaam wanajamvi. Swali langu ni hili: Kwanini wamarekani weusi hulalamika wanapo kojolewa na wamarekani weupe, Ikiwa wao wenyewe hunyeana? Hivi punde kumetokea mauaji ya kijana mweusi huko...
6 Reactions
128 Replies
11K Views
Samsung imeanza mchakato wa kuwafidia wateja walionunua simu hatari za Galaxy Note 7, kazi hiyo imeanza Uingereza na Ireland Kampuni hiyo imedai kuwa imerekebisha tatizo la berti katika simu...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mlipuko umetokea jijini New York nchini Marekani na kuacha watu 29 wamejeruhiwa na hamna taarifa za vifo. Jeshi la Polisi limethibitisha mlipuko huo ulikuwa ni wa makusudi na ulipangwa na watu...
6 Reactions
121 Replies
9K Views
Hospitali kubwa nchini Zimbabwe imesitisha huduma za upasuaji baada ya kuishiwa madawa na taifa kuwa katika hali mbaya ya kiuchumi. Serikali ya rais Robert Mugabe inakabiliwa na uhaba wa fedha na...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Makao makuu ya vyama vitatu vya upinzani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yamechomwa moto katika mji mkuu wa Kinshasa huku mili miwili ilioungua ikipatikana ndani yake. Mashambulio hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani kupitia tiketi ya chama cha Republican George HW Bush amesema kuwa atampigia kura mgombea wa urais kupitia tiketi ya Democrat Hillary Clinton . Bwana Bush...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Nilikuwa naangalia analysts wakionyesha vikundi vyote vilivyo kwenye mapambano huko Syria. Kwa namna hii ISIS anaweza akafutwa ila ikaibuka upya vita kati ya Turkey na Kurds, Syria na Al-Nusra...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sakata la Dominique Strauss-Kahn laibua upya skendo za wanadiplomasia wa Tanzania 2011-05-18 WikiLeaks Notes: Diplomatic Sexual Abuse a la Strauss-Kahn FROM THE CABLES/GITMO FILES Dominique...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Is the Presidential Race Actually between the IRS and Wikileaks?
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Italy ina eneo la kilomita 301,338. Mji mkuu wake ni roma mji wenye historia ya dunia nzima. Kwa mujibu wa sensa yao ya mwaka 2013 ina wakazi 60, 782, 668 Italy pia ni ya 12 kwa uchumi...
12 Reactions
256 Replies
33K Views
Watu wenye silaha wameshambulia kambi ya jeshi eneo la Kashmir na kuua wanajeshi 17 na kujeruhi wengine 19. Watu hao wenye silaha walikuwa wanne. ========================= Terrorists have killed...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jenerali wa jeshi la Somalia Mohamed Jimale Goobale pamoja na walinzi wake 6 wamefariki dunia katika shambulio la kujitoa mhanga linalosadikiwa kufanywa na waasi wa kikundi cha Al-Shaabab...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Takribani watu 15 wamefariki katika ajali ya boti iliyokuwa imebeba watu 150 katika mto mmoja nchini Thailand ======= Bangkok, Thailand (CNN)At least 15 people died after a boat carrying about...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Mi nafikiri Mugabe alikua anafuata mkumbo...tu..Kwamunonekano wake!! ni dhahili kabisa anakichaa!!!..au malaria sugu!!..Na hii yote imesababishwa na marafiki zake wa karibu kupoteza kabisa Dira ya...
0 Reactions
114 Replies
15K Views
Back
Top Bottom