International Forum

News and Stories from rest of the World
Ted Cruz endorsed Donald Trump for the presidency Friday afternoon, a stunning turn of events after a contentious primary filled with nasty personal attacks and a dramatic snub at the Republican...
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Mgombea uraisi wa Marekani wa chama cha Republican bwana Donald Trump sasa amekiri kwamba anakubali raisi Barack Obama ni raia halali wa kuzaliwa wa Marekani. Cheti halisi cha kuzaliwa cha raisi...
4 Reactions
54 Replies
8K Views
Boti iliyokuwa imebeba wahamiaji haramu wapatao 600 imezama katika pwani ya Misri na kupelekea kwa uchache watu 29 kufariki dunia. Ripoti zinasema kuwa, boti hiyo ilikuwa imewabeba abiria...
0 Reactions
7 Replies
844 Views
Maafisa waandamizi wa Misri wamesema jumla ya miili 148 itolewa katika maji katika Pwani ya nchi hiyo, ikiwa ni siku chache baada ya mamia ya wahamiaji kuwa safarini kuelekea Ulaya. ========...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Philippines President to extend violent war on drugs for six more months Philippine President Rodrigo Duterte has said his country's drug problem was far worse than he anticipated when taking...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Naomba kujua historia ya aliyekuwa Rais wa Ghana Jerry Rawlings.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wimbi la askari wa marekani kuwaua wamarekani weusi bado linaendelea ambapo askari mmoja wa kike mweupe kamuua mtu mmoja mweusi ambae hakua na silaha. Binafsi naona sehemu kubwa ya weusi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
illary Clinton aongoza kura za maoni Hillary Clinton WASHINGTON, Marekani KURA za maoni za taifa za urais Marekani zimekuja na habari njema kwa kambi ya mgombea urais wa Chama cha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Aliko Dangote, mtu tajiri zaidi barani africa, ana mpango wa kuinunua klabu ya Arsenal kutoka nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne Dangote ambaye ni raia wa Nigeria ana thamani ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtandao wa Yahoo umethibitisha kuwa wadukuzi wamedukua taarifa za zaidi ya watumiaji milioni mia tano katika akaunti zake za watumiaji. Hata hivyo Yahoo imesema inaamini kuwa shambulio la...
1 Reactions
1 Replies
878 Views
Kiongozi wa zamani wa waasi DRC anakabiliwa na mashtaka 18 Aliyekuwa kiongozi wa waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bosco Ntaganda ameanza kula baada ya kugoma kwa takriban wiki mbili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
One of Hollywood's highest profile marriages is over. Angelina Jolie has filed for divorce from husband Brad Pitt, a source familiar with the filing confirmed to CNN. Pitt and Jolie got married...
1 Reactions
79 Replies
10K Views
Mwalimu mmoja nchini Marekani anashutumiwa kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 14. Richa ya mwalimu huyo kuwa mke wa mmoja ya mabosi wa taasisi hiyo ya elimu...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanawake kadhaa wamavua nguo zao nje ya bunge la ikiwa ni njia ya kupinga mapingamizi kadhaa dhidi ya wanawake. Wanawake wanne walisema kuwa wanafanya kitendo hicho ili kushinikiza kuwepo kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Rais wa Botswana kushoto Ian Khama na mwenzake wa Zimbabwe Robert Mugabe Rais wa Botswana Ian Khama amemtaka mwenzake wa Zimbabwe Robert Mugabe kujiuzulu mara moja kulingana na chombo cha habari...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
This is the largest corporate cash buyout in history. Mega-giant Bayer put US $ 66 billion on the table, and Mega-giant Monsanto said yes. When you think of this merger, take into consideration...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Takriban watu 17 wamefariki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia maandamano yanayomtaka rais Joseph Kabila kujiuzulu. Watatu kati yao walikuwa maafisa wa polisi ambao mmoja wao...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Runinga ya taifa la Misri imempiga kalamu mkuu wa idara ya habari, Mostafa Shehata, baada ya mazungumzo yake na Rais Addul Fattah Al- Sisi kuonyeshwa kwa bahati mbaya, shirika la habari la AFP...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Wale wapenzi wa Mugabe mnaoshinda JF kumsifu hatimaye wazimbawe kila kukicha maandamano. Wanzibabwe wamemchoka Mugabe.Uchumi umeporomoka kwa kiwango cha "lami". Serikali taabani hadi kupunguza...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
The Revenue Mobilization Allocation and Fiscal Commission, RMAFC, on Tuesday frowned on proposals by some prominent Nigerians for the federal government to sell the multi-billion dollar Nigeria...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Back
Top Bottom