International Forum

News and Stories from rest of the World
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imemhukumu mwanamgambo wa Kiislamu raia wa Mali Ahmad Al Faqi Al Mahdi kifungo cha miaka tisa jela. Al-Mahdi alikuwa ameshtakiwa makosa ya uhalifu...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya mhalifu mwenye silaha kurusha risasi kiholela katika eneo moja la biashara huko Houston Marekani. Mhalifu alifanikiwa kuuawa na polisi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wafanyakazi wa kampuni moja ya ndege nchini India walilazimika kutumia kifaa cha kuzima moto ili kuizima simu aina ya Samsung iliyokuwa ikifuka moshi Simu hiyo ya Note 2 ilikuwa ikitoa miale ya...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Marekani imesema inasikitika juu ya shambulio lililoongozwa na ndege zake za kivita ambapo, bila kukusudia zililipua kambi za wanajeshi wa Syria. Wakati huohuo Marekani imekosoa Urusi kwa...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Kiongozi anayekabiliwa na upinzani wa kundi la Nigeria Boko Haram Abubakar Shekau, ametoa kanda ya video akikana madai ya jeshi kuwa aliuawa au amepata majeraha mabaya wakati wa mashambulizi ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, Afrika imepoteza takribani Tembo 111,000 katika muongo mmoja uliopita kufuatia kuwepo kwa kiwango kikubwa cha ujangili katika upande wa mashariki wa bara hili. Ujangili umesababisha...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Polisi wa mji wa Charlotte, Kaskazini mwa Carolina nchini Marekani wametoa video ya tukio la kifo cha bwana Keith Lamont ikionyesha maofisa wa polisi walio husika kwenye tukio hilo lililo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wachambuzi wameanza kulinganisha picha zake na kugundua kuna tofauti kwenye urefu wa vidole, maskio na mengineyo. Sasa wameibuka na kauli kwamba anawazingua akimtumia pacha au mwanamke...
4 Reactions
57 Replies
10K Views
Jumapili njema WanaJF, Kwa waumini wa Kanisa Katoliki, kama mimi, huzingatia kwa umakini 'neno' la Papa. Kasema haya, nanukuu: " HATUTACHOKA KURUDIA KUWA JINA LA MUNGU HALIWEZI KUTUMIKA...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Gavana wa jimbo la North Carolina ametangaza hali ya hatari katika mji wa Charlotte, wakati ghasia zinaendelea kufuatia polisi kumuua mwanamume mweusi. Ghasia zilizuka kwa usiku wa pili baada ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika pita pita yangu, nimekutana na hii wanaJF, inatia hamasa kwa nchi kama yetu yenye kila aina ya resources kuendeleza nchi na watu wako. Bofya hapa chini ni dakika 10 tu, SOUTH KOREA...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Mtuhumiwa wa tukio la kuwapiga risasi watu watano kwenye maduka mjini Washngton akamatwa baada ya msako mkali wa masaa 24. Polisi wamesema Arcan Cetin alijulikana kwenye tukio hilo baada ya gari...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Raia wa USA walizoea kuangalia tu kwenye TV jinsi Jeshi lao linavyosurubu raia wa nchi nyingine oversees, sasa kama wenyewe wasemavyo chickens coming home to roost, baada ya raia wa USA aliyetokea...
2 Reactions
118 Replies
8K Views
Mahakama ya Gabon 'yahalalisha' ushindi wa Bongo Mahakama ya Katiba ya Gabon imeuthibitisha ushindi wa Rais Ali Bongo, ikitupilia mbali hoja ya mpinzani wake, Jean Ping, kwamba kiongozi huyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Zimbabwe akihutubia Mkutano kwa wajumbe wa UN Jana ameziomba nchi za Marekani,Uingereza na marafiki zao kwa ujumla kuondoa vikwazo vya kiuchumi na fedha kwa Wazimbabwe wanaoumia kila...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Polisi wamelinasa gari la aina yake linaloshukiwa lilitumika kurusha dawa za kulevya kutoka upande mmoja wa mpakani hadi mwingine, kati ya Arizona na Mexico. Kutokana na uimarishaji wa msako...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Kombora lililofyatuliwa na wanamgambo wa Islamic State dhidi ya kambi ya jeshi la Marekani nchini Iraq lilikuwa na kemikali, jeshi la Marekani limethibitisha. Hakuna aliyejeruhiwa katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Marekani yaomba msamaha kwa rais wa Syria kutokana na mauaji ya askari wa Syria waliouwawa na mashambulizi ya ndege zinazoongozwa na washirika wa Marekani. =========================== Meanwhile...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
'Don't shoot!' wife tells Charlotte police in video - 'Don't shoot!' wife tells Charlotte police in video - BBC News
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Marekani imesema ndege za kivita za Urusi zilihusika kushambulia msafara wa misaada nchini Syria siku ya Jumatatu na kusababisha vifo. Maafisa wa Marekani wameiambia BBC ndege mbili za...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom