Rai wa Nigeria Muhammadu Buhari amemfukuza kazi mwandishi wake wa hotuba aliyenakili kila kitu kutoka kwenye hotuba ya Obama aliyoitoa mwaka 2008.
Mnamo Septemba 8 Rais Buhari alisoma hotuba bila...
September 30, 2016 at 10:41 pm
By Julius Rwakarema and Dias Nyesiga
Inside Rwanda army that has attracted anger and accolades
The Rwanda Defence Forces transformed from a liberation force into...
Mtoto wa kwanza aliyetengezwa kwa kutumia mbinu ya uzazi wa mbegu za watu watatu amezaliwa, jarida la kisayansi la New Scientist limetangaza.
Mtoto huyo wa kiume mwenye umri wa miezi mitano ana...
Nimestushwa na Habari za Marekani Kupeperusha Bendera yao Nusu Mlingoti kuomboleza Kifo cha Kiongozi wa Zamani wa Israel.. Barack Obama kwa Kutumia Kifungu cha Sheria za Marekani alimuru Amri hiyo...
Rais wa Malawi..Bi Joyce Banda ambaye ni mwanamke wa pili Afrika kuwa rais, ameipiga mnada ndege ya serikali iliyokuwa ikitumiwa na rais aliyemtangulia marehemu Bingu wa Mutharika.
Pia ameyapiga...
JERUSALEM, ISRAELI: Waziri Mkuu wa zamani Shimon Peres(96) amezikwa leo katika eneo la Mount Herzl. Viongozi mbalimbali wahudhuria.
========
Jerusalem The body of former Israeli Prime Minister...
Hi guys
I hope all of u r k
Wamarekani walipomchagua obama walifanya uamuzi wa hasira kutokana na kuchoshwa na vita vya iraq na Afghanistan, hata hivyo kuna baadhi walitoa angalizo kuwa obama...
Juzi tu kuna watu walikuja hapa jf wakasema obama na clinton ni watu wabaya sana na ndio walishiriki kumuua gadafi kwa nguvu zao zote.
Na hawakuishia hapo vile vile wakasema obama na clinton kwa...
Mauritania intensifies crackdown on anti-slavery activists, says campaigner
Sep. 30, 2016, 3:00 pm
By THOMSON REUTERS FOUNDATION
Mauritanian anti-slavery activists jailed last month have been...
Rodrigo Duterte asema "anafurahia kuua" sawa na alivyofanya Hitler
Bw Duterte amesema anataka kuokoa Ufilipino kwa ajili ya vizazi vijavyo
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amelinganisha vita...
A view of Kigali: Rwanda intends to become a developed climate-resilient and low-carbon economy by 2050.
There is something therapeutic and pleasant about visiting Kigali. It is the sheer...
Shimon Peres afariki akiwa na umri wa miaka 93
Mshindi wa tuzo ya Nobel mwaka 1994 kwa kufanikisha mkataba wa amani kati ya wapelestina na Israel, Shimon Peres amefariki dunia akiwa na umri wa...
Wakazi wa kitongoji kidogo katika jimbo la Pennsylvania wanalalamikia kitendo cha Meya wao kuandika mfulizo wa mabandiko yaliyo na maudhui ya kibaguzi ikijumuisha mapendekezo ya kuhamasisha Rais...
Marekani imewaamuru raia wake wanaofanya kazi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuondoka nchini humo,hii ni kutokana na kuendelea kwa wasiwasi wa kuzuka kwa machafuko ya kisiasa...
Hawa ndiyo Wanawake bhana, kama ulifikiri unawaelewa, basi hakuna kitu unajua, Angelina Jolie (41) kamwaga one of the most attractive Whitemen Brad Pitt (52) na sasa kaopoa kibabu chenye upara ktk...
Rais wa Marekani Barack Obama amesema hatua ya bunge la nchi hiyo kupinga turufu yake dhidi ya mswada unaotoa fursa ya Saudi Arabia kushtakiwa kuhusiana na mashambulio ya 9/11 ni umeweka "mfano...
Treni ya abilia imepata ajali katika kituo cha Hoboken kilichopo New Jersey. Inaarifiwa kuwa zaidi ya watu 100 wamejeruhiwa na wengine kadhaa kukwama katika ajai hiyo.
=========
More than 100...
Donald Trump alizaliwa June 14, 1946, Mmarekani mfanyabiashara ambae sura yake si ngeni kwenye TV, pia ni mwanasiasa na mfanyabiashara.
Trump alizaliwa katika jiji la New York na alipata shahada...
Bei ya mafuta yaanza kupanda baada ya Mataifa yanayozalisha mafuta (OPEC) kukubaliana kwa pamoja kati ya nchi wazalishaji 14 kukubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta ghafi.
Uzalishaji...
Mtafiti wa mambo ya anga Elon Musk ametangaza mpango wake wa kuunda makao ya binadamu katika sayari ya Mirihi (Mars), wanaotaka kwenda watahitajika kulipa pesa nyingi ili kupata tiketi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.