International Forum

News and Stories from rest of the World
Muandishi wa habari raia wa Uholanzi Jeroen Oerlemans ameuawa kwa kupigwa risasi kifuani na mdunguaji wa kikundi cha Jihadi cha ISIS katika jiji la Sirte uliokuwa makao ya aliyekuwa kiongozi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hurricane Matthew pounded western Haiti Tuesday morning, packing powerful winds and heavy rain as it crossed the country. "The river has overflowed all around us," church pastor Louis St. Germain...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zinasema kuwa tume huru ya Uchaguzi nchini humo, imetangaza kuwa uchaguzi mkuu sasa utaandaliwa Novemba mwaka wa 2018 na wala sio mwaka huu kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Obama alituaminisha kuwa Clinton ni thaifu mwaka 2008 . Kweli hata atupashwi kuwalaumu wakina Mbowe na wenzie waliomponda vikali Lowassa uko nyuma lakini sasa hivi wako naye wanafanya naye kila...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mutharika’s extended stay in US good for Malawi – Govt | Malawi24 - All the latest Malawi news
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila ni sharti aheshimu katiba na kujiuzulu mwishoni mwa muhula wake, waziri wa masuala ya kigeni nchini Ufaransa Jean-Mark Ayrault amesema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Nchi zote Malawi na Zambia zilipata uhuru mwaka 1964 na zote hutumia pesa aina ya Kwacha. Marais wake wote, Dk. Kamuzu Banda (Malawi) na Dk. Kenneth Kaunda (Zambia) walizitumikia nchi zao...
8 Reactions
18 Replies
7K Views
Waziri wa zamani wa sheria nchini Rwanda Jean De Dieu Mucyo, ambaye amekuwa akihudumu kama seneta, amefariki dunia baada ya kuanguka kwenye ngazi akielekea ofisini mwake. Idara ya mawasiliano ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Iran's Revolutionary Guard unveiled a new attack drone which is similar to a U.S. unmanned aerial vehicle captured five years ago and is capable of carrying bombs, state media reported on...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Credit Meridith Kohut for The New York Times The state-run psychiatric hospital here in Barquisimeto, Venezuela, has long been a forgotten place, filled with forgotten people. But with Venezuela...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
The Mandela Washington Fellowship for Young African Leaders is the flagship program of the Young African Leaders Initiative (YALI). President Obama launched YALI in 2010 to support young African...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waumini wa dini ya Tao nchini Phuket, Thailand walijidunga visu, mapanga na vyuma mashavuni katika siku ya kwanza ya kuadhimisha wiki ya kususia ulaji wa nyama. Wiki hii waumini hao watajitesa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn amewalaumu watu waliokuwa wakifanya fujo, kwa kusababisha mkanyagano katika jimbo la Oromiya, ambako amesema watu 52 wamefariki dunia. Amekanusha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ban Ki-moon's 10-year tenure as the Secretary-General of the UN will end in December 2016 and there are several global figures nominated to replace him as the world's top diplomat. Candidates The...
0 Reactions
2 Replies
678 Views
Nashangaa kuona Iran haijatuma muwakilishi msibani kwenye mazishi ya Peres Israel au haya mataifa mawili hayapatani. Mwenye kujua anisaidie.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Samahani hivi kiongozi wa waasi syiria ni nani? Asadi ndio anaepingwa wanaompinga ni akina nani na shida nini..... Hawachoki nchi za kiarabu note kumepoaa wore wameng'oka Assadi kakomaa.. Nani...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
The F-35 just proved it can take Russian or Chinese airspace without firing a shot By Alex Lockie16 hours ago     carried out a remarkable test where its sensors spotted an airborne...
1 Reactions
40 Replies
8K Views
Mwaka wa kwanza wa Intifadha ya Quds Leo tarehe Mosi Oktoba inasadifiana na siku ya kuadhimisha mwaka wa kwanza wa kuanza mapambano ya Intifadha ya Quds ya wananchi wa Palestina dhidi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Uzuri wa kutoa maoni kwa uhuru. Minister kafunguka juu ya Obama. Anzia 1:55:42 “There’s your legacy, Mr. President… it’s in the streets with your suffering people, Mrs. President. And if you...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom