OPEC agrees to limit oil output at 32.5 million barrels per day = Oil jumps 6%
Good news, isn't it?
Any comments on this OPEC agreement.
OPEC agrees to limit oil output at 32.5 million barrels...
Leo kutafanyika Mdahalo wa kwanza wa wagombea wa Marekani Mr Trump na Mama Clinton.
Kuna mambo mengi yatajiri ikiwepo Mr Trump kumualika aliyekuwa hawara wa Bill Clinton miaka ya nyuma...
Vyuo kadhaa nchini Afrika Kusini vimefungwa kufuatia kuendelea kwa maandamano ya wanafunzi wanaodai elimu bure.
Maandamano hayo yalikumbana na vikosi vya jeshi la polisi ambapo Takribani...
Siasa ama kweli ni mchezo mchafu ulio wa kinafiki sana kiasi kwamba watu wakweli kama mimi ambao hatujui kuremba hatuuwezi.
Kwenye msimu huu wa uchaguzi mkuu wa Marekani, mgombea wa kiti hicho...
Kila mara huwa naona Canada inatajwa kwenye top ten ya nchi zilizo na uchumi bora duniani juu ya Korea Kusini na nchi nyingi tu.
Kuna mtu anaweza niambia hasa Canada wanafanya nini special...
Philippine leader tells Filipinos in Vietnam that military drill with US in October will be the last during his term.
President Rodrigo Duterte has announced that the military exercises between...
Ethiopia: “We don’t need aid, we need investments”
Meles Mebrahtu - INDUSTRIAL MINISTER
What is industry’s share in Ethiopia’s economy?
About 15% of GDP, against 39% for agriculture and 46% for...
Qaddafi was not killed for humanitarian purposes but for the oil and for money. His ideas of an African gold-backed currency were his major undoing.
The recent Hillary Clinton email leaks have...
ADDRESS BY PRESIDENT PAUL KAGAME
YALE UNIVERSITY COCA-COLA WORLD FUND LECTURE
New Haven, 20 September 2016
It is a pleasure for me to be at Yale, and I thank the MacMillan Centre for the...
ATCL ikizindua kwa shangwe ndege zake mbili Dash400, RwandaAir NATO kupokea ndege yake mpya ya Dollar milioni 200+
http://allafrica.com/stories/201609280161.html
Mdogo mdogo tutafika. Ila...
Philippine President Rodrigo Duterte said Monday he would seek closer economic ties with China and Russia, as the local currency and stock market extended declines following Western criticism of...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imemhukumu mwanamgambo wa Kiislamu raia wa Mali Ahmad Al Faqi Al Mahdi kifungo cha miaka tisa jela.
Al-Mahdi alikuwa ameshtakiwa makosa ya uhalifu...
Raisi wa USA Barack Obama amepiga veto kupinga nchi ya Saudi Arabia kushitakiwa na Congress ya USA!
Congress ya USA ilikuwa inataka kuishitaki nchi ya Saudi Arabia kwa ushiriki wake wa Septemba...
Ndege ya kwanza kusafiri moja kwa moja kutoka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) hadi Marekani inatarajiwa kufanya safari hiyo mnamo Novemba 2016, Serikali imetangaza.
Hii ni...
Habari wadau.
Leo ni siku mhimu kwa siasa za taifa kubwa na babe duniani kiuchumi na kijeshi.
Mdahalo huo unatarajiwa kuonwa na watu zaidi ya billion moja duniani note kwa saa za africa...
Korea Kusini imesema kuwa tayari ina mpango mkakati wa kumuua Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Ulinzi Han Min-koo alipokuwa akijibu swali Bungeni.
Amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.