International Forum

News and Stories from rest of the World
Wanachama wa Nato wameahidi kuunga mkono "njia isiyoweza kutenguliwa" kwa uanachama wa siku zijazo wa Ukraine, pamoja na misaada zaidi. Wakati ratiba rasmi ya kujiunga na muungano wa kijeshi...
0 Reactions
1 Replies
426 Views
Russia imezikaanga HIMARS za Marekani zilikua zikijiandaa kufanya shambuliwa Crimea ....🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨UKRAINIAN AIR DEFENCE IN TROUBLE - STAROKONSTANTINOVKA AIRPORT UNDER ATTACK ... Russian troops...
4 Reactions
3 Replies
657 Views
"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe. Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe. Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
Kiongozi wa Ukraine anahimiza ulimwengu kuungana dhidi ya Moscow Hakuna nchi inayoweza kustahimili vita na Urusi peke yake - Zelensky Vladimir Zelensky wa Ukraine ameitaka jumuiya ya kimataifa...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Kwa waliopo marekani mkuje mtujuze haya. 1. Matumizi ya Silaha huko majuu yakoje kwasababu tunasikia Sana watu wanagongana Sana risasi Hadi sio poa...
1 Reactions
2 Replies
438 Views
Nigeria - uchumi mzuri ila kuna ukabila wa hali ya juu sana kila siku biashara na nyumba za wa igbo zinabomolewa na kuchomwa bila notice ama notice ya masaa mawili, kuna makundi yenye itikadi kali...
9 Reactions
86 Replies
2K Views
Mtandao wa CNN umeripoti kuwa Baadhi ya Makada wa chama cha Democrats wametaka Rais Joe Biden ajiondoe kama mgombea wa Urais wa chama hicho Wanachama hao wameonesha kutokuwa na imani nae baada ya...
2 Reactions
8 Replies
600 Views
Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo. Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake...
6 Reactions
21 Replies
913 Views
Washirika wa kundi la kidini Nchini Australia wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kumuua Binti aitwaye Elizabeth Struhs mwenye umri wa miaka nane mwenye kisukari kwa kumnyima matibabu na badala...
0 Reactions
4 Replies
337 Views
VITA BADO INAENDELEA SEHEMU I/♾ Bado zinachapwa huko sudani CHANZO CHA MGOGORO Mgogoro huu unaanzia mbali kabisa wakati wa Rais wa zamani wa Sudan Omary Bashiri. Omary bashir aliingia...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwanini mashoga wengi wanamchukia Putin? Kwanini mashoga wengi wanaichukia Urusi? Kwanini mashoga wengi hawaipendi pia China korea kaskazini na Iran? Kwanini mashoga wakisikia tu jina la Putin...
21 Reactions
46 Replies
3K Views
Baada ya Wagner group kufanya maandamano yao ya kijeshi kitendo hicho kimeonekana kama ni tishio kwa usalama Russia, Putin kwenye kikao cha Leo amekuja uamuzi wa kuifuta Wagner Group kwa kuwapa...
17 Reactions
98 Replies
8K Views
Saudi Arabia itaendelea kutumia dola ya Kimarekani katika biashara ya mafuta baada ya kuona kwamba kuachana na sarafu hiyo yenye nguvu duniani itaiathiri uchumi wake. Saudi Arabia bado...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Mkutano wa 24 wa Baraza la Viongozi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umefanyika hivi karibuni huko Astana, Kazakhstan, ukiwa na kauli mbiu ya “Kuimarisha Mazungumzo ya...
2 Reactions
2 Replies
277 Views
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wamechukua udhibiti wa Kanyabayonga, mji muhimu katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Kongo, katika hatua ambayo inawaona wakipata ardhi zaidi kutoka...
0 Reactions
9 Replies
798 Views
Rais wa Ukraine alisema kwamba mzozo huo wa Ukraine "umekuwa kama maonyesho" kwa umma wa Magharibi[emoji1787] Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky anahisi "amesalitiwa" na wafuasi wake wa Magharibi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mahakama ya Rufaa ya Shirikisho la Abu Dhabi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imewahukumu kifungo cha maisha Wanaharakati 43 baada ya kuwakuta na hatia ya makosa ya ugaidi. Wataalamu wa...
1 Reactions
3 Replies
476 Views
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha. Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
Kama kichwa kinavyosema hapo juu. Nilikuwa nawaambia mbela ya utawala wa uislamu hawa washenzi ni kuuliwa kwa vile wanaua watu wasiokuwa na hatia kwa kujificha nyuma ya kivuli cha dini, hawa ISIS...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanakumbi. 🇮🇱🇲🇫 Wafaransa walitambua jaribio la Israel la kuchukua udhibiti wa Ufaransa kupitia Le Pen na kumwadhibu kwenye uchaguzi, tena. Maafisa katika wizara ya mambo ya nje ya Israel...
1 Reactions
3 Replies
454 Views
Back
Top Bottom