International Forum

News and Stories from rest of the World
Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata...
10 Reactions
50 Replies
3K Views
Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe. Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi...
52 Reactions
150 Replies
8K Views
Kwa jicho la kawaida unaona ni Mambo ya kawaida. Ukweli ni kwamba WW3 Inakaribia. Kinachoendelea Middle East sio cha kawaida. Ukweli ni kwamba dunia inaenda kudondoka. Mwisho wake umefika...
4 Reactions
8 Replies
654 Views
Russia Deploys Frigate with Hypersonic Missiles into Mediterranean Sea 14 APRIL 2024 After Russian President Vladimir Putin told the United States that intervening against Iran would result in...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Kamanda wa kituo cha pamoja cha ulinzi wa anga cha Khatam al-Anbiya cha Iran: Anga zetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa Ulinzi wetu wa Anga...
1 Reactions
3 Replies
546 Views
Kama kuna kosa kubwa wamewahi kulifanya Iran toka kuundwa taifa hilo ni hili la kuishambulia Israel. Hawa Israeli huwa hawanaga shoo ndogo ukiwachokoza uwe umejipanga vya kutosha lazima wakujibu...
4 Reactions
55 Replies
3K Views
Habari Ya muda huu JF Unajua nini kiliiepelekea soviet Union kuanguaka fuatana na mimi. SOVIET UNION ILIVYOANGUKA- UADUI NA MAREKANI: Wengi mmesoma au mnakumbuka miaka ile ya vita baridi kati ya...
5 Reactions
6 Replies
728 Views
Kwanza kabisa naomba nikosoe kitabu cha bibilia ambacho ndicho kinaipa mamlaka ISRAEL ya kuharibu amani ya Middle East na Inaonekana ni mkakati ambao umeandaliwa ili kuvuruga amani ya waarabu kwa...
0 Reactions
35 Replies
1K Views
Jordan: Watatu wafariki kwa kudondokewa na drone iliyodunguliwa Shirika la usalama nchini Jordan "Royal intelligence" limeripoti kwamba Watu Watatu wamefariki dunia kwa kulipukiwa na suicide...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Huu utaratibu wa Israel kuushambulia na kuuwa familia za Viongozi wa Adui zake imeshika Kasi sana Israel asipokemewa sasa Tabia hii itaota Mizizi na kuenea duniani kote Israel aambiwe hili siyo...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
1. Irone Dome Huu ndio mfumo maarufu zaidi, unazuia makombora kutoka umbali wa kilomita 4 mpaka 70. Isingekuwa mfumo huu huenda Hamas ingekuwa inaiharibu Israel kila mara sababu wanarushaga maelfu...
0 Reactions
3 Replies
834 Views
Baada ya Israel kupata kipigo cha makombora na drone toka Iran sasa Sasa inafuata Jordan kwa kujifanya kiherehere ⚡️BREAKING Iran says it is watching Jordan and it can become a target if it...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Kinachoitwa shambulizi la Iran kwa Israel jana ni kelele kubwa tu za majidai na usumbufu ambazo hazikuleta chochote cha maana. Unashambulia nchi iliyo umbali wa KM 2300 kwa kutuma drones ambazo...
12 Reactions
101 Replies
4K Views
Iran kupitia balozi wake wa Umoja wa mataifa umeitaka UN kulaani shambulizi lililofanywa na Israel kwa kushambulia ubalozi wake uliopo Syria. Iran imesema Israel ni tishio kubwa mashariki ya kati...
1 Reactions
12 Replies
730 Views
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka. === Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over...
11 Reactions
184 Replies
8K Views
Nchi ya China ndio nchi inayotengeneza na ku export karibu nusu ya bidhaa zote duniani, Sio magari, electronics, vifaa vya ujenzi na umeme na pia katika ujenzi wa miundombinu mingi duniani...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Vita vya Iran kwa Israel vimeanza rasmi kwa njia za awali kutumia mbinyo wa kiuchumi. Houth kutoka Yemen ambao ni washirika wa Iran walisema zamani kuwa wataifunga Homutz na Mediteranean na watu...
4 Reactions
77 Replies
3K Views
LIVE UPDATES: Jumatatu April 17, 2024 Njaa yatanda Sudan,manusura wa vita wasimulia madhila ya mauaji na ubakaji Raia walionaswa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan wametoa maelezo...
0 Reactions
3 Replies
399 Views
Hili tukio la shambulizi la Mall huko Sydney Australia na kuuwa zaidi ya watu sita, siku linatokea tu wakaanza kutukana waislamu magaidi warudishwe toka nchi za West, hata picha ilipotoka wakaanza...
10 Reactions
6 Replies
597 Views
Pamoja na purukushani zinazoendelea sehemu mbalimbali za dunia za kuchokozana, kuvamiana na kubutuana siku za hivi karibuni uwezekano wa kutokea vita vikuu vya tatu vya dunia bado ni mdogo sana...
4 Reactions
6 Replies
887 Views
Back
Top Bottom