International Forum

News and Stories from rest of the World
Mchina huyo Amewaambia waandishi wa habari was gazeti la Washington post kwamba "Nilisimamishwa na polisi, nikaulizwa jina langu, ghafla nikashngaa naanza kushambuliwa na polisi hao bila kuambiwa...
7 Reactions
13 Replies
702 Views
Idadi kubwa ya watu walijitokeza katika mji wa Yamai, mji mkuu wa Jamhuri ya Niger, wakitaka wanajeshi wa Marekani na nchi nyingine kuondoka nchini humo. Niger tayari imefuta makubaliano ya...
6 Reactions
6 Replies
732 Views
Marekani yapeleka Saudi Arabia Askari elfu 20 na silaha nzito kwa utayari dhidi ya vitisho vya Iran kushambulia Israel https://youtu.be/W_7b-V41rNM?si=O2LkYAa1OSie7X4N
6 Reactions
62 Replies
3K Views
* The US has urged Ukraine to halt attacks on Russia’s energy infrastructure, warning that the drone strikes risk driving up global oil prices and provoking retaliation, according to three people...
1 Reactions
6 Replies
928 Views
Wanaukumbi. Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow". Hayo ni madai mazito...
9 Reactions
113 Replies
5K Views
Mkazi mmoja wa maeneo ya kati ya Israel amekamatwa na kikosi cha kijasusi cha Shin Bet kutokana na kutoa vitisho vya kutaka kumuua waziri mkuu wa Israel. Wiki iliyopita kitisho kama hicho...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Video hapo chini ikimuonesha kiongozi mkuu wa kundi la Palestina Hamas Ismail Haniyeh akipokea kwa mara ya kwanza taarifa za vifo za vijana wake watatu Hazem, Mohammed na Amir pamoja na wajukuu...
8 Reactions
90 Replies
4K Views
Mamlaka za usalama nchini BELARUS zimekamata kijana alieshangilia vifo vya raia wa kiberalus na kirusi waliouwawa na kujeruhiwak ktk tukio la kigaidi jijini Moscow kwenye ukumbi wa crocus city hall.
8 Reactions
22 Replies
995 Views
Haiti hatimaye imeunda rasmi Baraza tawala la mpito lililopewa jukumu la kujaza pengo la uongozi nchini humo na kurejesha hali ya utulivu kufuatia ghasia zilizozuka za magenge ya kihalifu. Amri...
0 Reactions
2 Replies
623 Views
1. Kibri chote kwishney, amri ni moja; kila mtu kaufyata: Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja! 2. Iran kaombwa kutulizana, Natenyahu kuufyata; mazungumzo kuwa...
5 Reactions
66 Replies
3K Views
Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi...... Jamaa anakula maisha tu...
7 Reactions
115 Replies
5K Views
Chanjo ya Ugonjwa wa Malaria inayojulikana kama RTS,S, imeanza kutolewa kwa Watoto barani Afrika baada ya kuidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ikiwa ni baada ya Majaribio yaliyofanyika...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na kitisho cha njaa katika kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula. Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Shirika la Mpango wa...
0 Reactions
3 Replies
779 Views
Wadau hamjamboni? Hatimaye siri zimetoka hadharani Ushahidi mpya umepatikana unaothibitisha kuwa Serikali ya Iran ndiyo mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas na hadi kufikia Oktoba 7, 2023 walikuwa...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
DAKAR, Senegal — Russian soldiers arrived in Niger this week, according to Nigerien state television, less than one month after the military junta announced that it was ending military agreements...
3 Reactions
2 Replies
539 Views
Sitaki kueleza mengi lakini hii video fupi ina majibu yaliyojitosheleza. https://www.youtube.com/watch?v=8-CbgmH895g&ab_channel=Ab%C5%ABIsr%C4%81%27%C4%ABl
1 Reactions
4 Replies
877 Views
Magaidi yote ya dini yaliyojificha pale lazima yaliwe.... The Israel Air Force struck various targets across the Rafah area in the Gaza Strip...
4 Reactions
95 Replies
4K Views
Why Are Elections Not Democratic in Africa? Comparisons Between the Recent Multi-party Elections in Zimbabwe and Tanzania LIISA LAAKSO University of Helsinki, Finland
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World) 1. 🇨🇳China: $32.89 Trillion 2.🇺🇲USA: $26.94T 3. 🇮🇳India: $13.11 T 4.🇯🇵Japan: $6.46T 5.🇩🇪Germany: $5.55T 6.🇷🇺 Russia: $5.05T 7. 🇮🇩Indonesia...
6 Reactions
77 Replies
4K Views
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
12 Reactions
61 Replies
4K Views
Back
Top Bottom