Uturuki kwa muda mrefu tena muda uliokuwa mgumu zaidi kwa wapalestina ilitumia mdomo pekee kuilaani Israel bila kutoa msaada ambao ina uwezo nao.
Miezi sita kuelekea saba ndio sasa imeamua...
Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran.
Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran.
Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya...
Israeli bado yaendelea na operesheni yake katika mji wa Rafah ulioko shemu ya Khan Younis ambayo ipo sehemu ya kusini mwa mji wa Gaza yenye wapestina wapatao milioni 1.4
Operesheni hiyo imeanza...
Rwanda imeandika Barua kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikipinga upelekwaji wa Jeshi la SADC la kulinda amani kutoka Nchi za Afrika Kusini,Tanzania na Malawi kuwafurusha M23.
Kwenye...
1. Pigo jingine kwa Benjamin Natenyahu; ushindi mwingine kwa wapalestina na HAMAS.
2. Wapigania katiba wa kwetu hawatambui haki hupiganiwa kwa jasho na damu ikibidi. Wamekaa kitako, kuilaumu...
Wanakumbi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita:
Kawambua haiwezekani kuiondoa Hamas Gaza katika hali yake sasa...
Mwandishi mwenye asili ya Tanzania aliyeshinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 2021 Abdulrazak Gurnah, hivi karibuni alitembelea China na kuzungumza na mwandishi wa China Mo Yan, ambaye pia ni...
Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati...
Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east.
Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama...
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa, ziara ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa nchini Rwanda kwa ajili ya kuadhimisha miaka 30 ya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi, inaweza kuwa...
Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.
Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe...
Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti...
Wayahudi kama wasingewekeza sana kwenye usalama, huenda mpaka sasa jamii hiyo isingekuwepo Duniani. Watu hawa, ukiacha wale waliopo Ulaya na America, wanaishi katikati ya maadui zao, huku matendo...
Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran.
Naamini kuwa Israel na Palestina na...
Wadau hamjamboni nyote,
Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha ugaidi cha Hezbollah auawa na Jeshi la Israel Katika mji wa as-Sultaniyah huko Lebanon ya Kusini.
Ali Ahmed Hassin...
UCT accused of protecting professor caught with drugs and accused of burning office
The University of Cape Town has been accused of protecting Associate Professor Leon Holtzhausen despite proof...
Kiwango cha ongezeko la maandamano nchini Jordan kumeanza kutishia ufalme wa nchi hiyo.Wiki iliyopita waandamanaji hao walifurika mitaani na kuzunguka ubalozi wa Israel.
Pamoja na kubeba mabango...
Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi...
Wakati haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.