1. Hii Itakuwa zaidi ya mara 10 Natenyahu kuamuru walioko kwenye mazumgumzo dume ya kusaka amani kususa.
2. Leo tena mashetani yake yametulia: akili imemrudia, kaamuru timu yake kurejea mezani...
Rais wa Marekani, Joseph Biden ametangaza rasmi kwa taifa lake kwamba leo Jumapili ya Pasaka Tarehe 31 Machi ni siku rasmi na maalumu ya kuonyesha mwonekano kwa watu wote waliobadili jinsia...
Israel bana, wana nguvu, wana uwezo, wanayo nia. Na wanatekeleza.
=======
Eleven leaders of the Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC) were killed in an airstrike targeting Damascus...
Kampuni ya ZESCO Limited inatarajiwa kuanzisha ratiba mpya ya kukata umeme kwa maeneo ya makazi huko Lusaka licha ya uwepo wa wasiwasi kutoka kwa wadau kuhusu mpango huo wa kukata umeme wa masaa 8...
🇷🇺🇸🇾 Russia tells Israel the Golan Heights belong to Syria.
Russian Armed Forces intensify operations in Syria, striking ISIS and expelling Israel from the Golan Heights.
Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema.
Moto mkubwa uliteketeza paa la...
Hospitali ya Alshifa ndiyo iliyokuwa hospitali kubwa na ya rufaa kwa jimbo zima la Gaza ambalo wakati huo pamoja na mzingiro jimbo hilo lilikuwa na hospitali nyingi za kisasa zenye madaktari...
Makombora kadhaa yamerushwa nchini Israel kutoka Gaza katika namna inayoiumiza kichwa mbabe huyo wa dunia.
Maeneo yaliyopigwa ikiwa ni karibu ya mwezi wa sita tangu vita vianze ni pamoja na...
My take:
1. Kwa sasa najikita katika haki za binadamu tu, as long as mtu hamdhuru mtu mwengine, kesi yake namuachia mwenyewe na Mungu.
2. Watu weupe hasa wa magharibi wana utu sana na...
Makombora zaidi ya 20 yamepiga mji wa Lviv na Stryi na kulipuwa uwanja wa ndege za kivita na kulipua air defence Kambi za mafunzo , maghala ya silaha na visima vya mafuta kwa Sasa mji unawaka...
💬 "We inform that on March 24th, at 4:23 AM, there was a breach of Polish airspace by one of the maneuvering missiles launched tonight by the long-range aviation of the Russian Federation. The...
[emoji635][emoji1238][emoji1134][emoji599][emoji845] BREAKING: Air patrols along Golan heights!
The Russian MoD announced the start of military air patrols along the disengagement line between...
Gaidi lazima apigwe mpaka damu imtoke maskioni.......
The US in recent days authorized the transfer of billions of dollars worth of bombs and fighter jets to Israel, according to two sources...
Wanaukumbi.
MPYA: 🇷🇺🇺🇦 Washukiwa wa shambulio la kigaidi la "Crocus" wanasema walikuwa wakisafiri kwenda Kiev kupokea zawadi waliyoahidiwa - RIA
Washtakiwa katika kesi ya shambulio la kigaidi...
Nchi nyingi za Kiislamu hazina furaha na zimenaswa katika vita kwa sababu ya Uislamu. Lakini hawakubali.
1. Hakuna mgawanyiko wa dini na serikali. Dini inakuwa serikali katika nchi nyingi za...
Rais wa Peru ambaye ni mwanamama amesachiwa na kushtakiwa mahakamani kwa madai ya kuvaa vitu vya thamani ikiwemo saa ili kujua amenunuaje.
My take hapa kwetu skendo ya saa iliisha kimya kimya...
-Libya ile nchi iliyokuwa mfano kwa nchi za Afrika.
-Libya iliwahi kuwa nchi tajiri zaidi barani Afrika.
-Libya nchi iliyokuwa ikitegemewa katika bajeti ya AU.
-Libya ndo nchi pekee iliyowahi...
Kombora la Storm Shadow linalotumiwa na Ukraine Kushambulia Russia, hatimaye limedakwa zimazima Sasa lipo maabara likichambuliwa kama samaki,, hapo ndio kwisha habari yake kama HIMARS Russia...
Ili kubadili mwelekeo wa Marekani dhidi ya Israel washawishi wa kiyahudi Marekani wamepeleka kikundi cha wajumbe wa Congress mjini Jerusalem kuzungumza na waziri mkuu wa nchi hiyo,Benjamin...
Waarabu wamekaa wakawaza kubuni jeshi la pamoja ambalo wanajeshi wake watatokea kwenye mataifa ya kiarabu, hili jeshi litumike kudumisha amani Palestina na kulinda chakula cha misaada ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.