International Forum

News and Stories from rest of the World
Hatimaye Urusi imeanza kuongea lugha moja na dunia, hawa watu sio wa kucheka nao, unacheka nao wanakulipua, wanafundishwa chuki tangia utotoni mpaka wanakua watu wazima unafikiri wewe...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu......... Swali la msingi, Ukraine na waislamu...
11 Reactions
129 Replies
5K Views
Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai. Mbali na ushahidi huo...
4 Reactions
72 Replies
4K Views
„our country is gone down to hell …“ Mjeda alia kwa uchungu, wameharibu nchi yake aliyoipigania … https://m.youtube.com/watch?v=wcnQJd_XRQQ&t=93s
0 Reactions
1 Replies
391 Views
Suali langu kuu ni kwamba first lady ni office ya kikatiba sasa kwa hali kama hii Rais akiwa na wake wawili, watakuwa wanapokezana au kutakuwa na office mbili za first ladies, au mke mkubwa ndo...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Baada kipigo cha Russia kwenye maficho ya NATO huko Ukraine NATO wameanza kumtafuta mchawi... #BREAKING Polish Lieutenant General Jaroslaw Gromadzinski, a commander of Eurocorps, a joint military...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
United Nations Relief and Works Agency for Palestine Refugees (UNRWA) Commissioner-General Philippe Lazzarini looks on as he speaks to the media, amid the conflict between Israel and the...
0 Reactions
4 Replies
650 Views
Unafiki wa dunia umefikia kiwango cha juu kiasi kwamba ni wachache sana wanaoumia wenzao wanapopata shida. Urusi ilipotishia kuzuia nafaka zisitoke Ukraine Ulaya nzima walipiga makelele...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Bila shaka sisi wapenda siasa tunajua kuwa kuna kijana mwenye umri wa miaka 44 ambaye anaweza kuibuka mshindi katika uchaguzi wa urais huko Senegali. Mitandaoni watu wanajadili kuhusu umri na...
1 Reactions
13 Replies
943 Views
Israel may not be able to destroy Hamas despite five months of intense fighting in Gaza, intelligence officials have admitted. The main objective of the Gaza invasion faces failure as...
2 Reactions
13 Replies
902 Views
Wanasiasa kutoka muungano wa kisiasa wa vyama vyenye uwakilishi mkubwa katika bunge nchini Romania wanapendekeza marufuku au "udhibiti mkali" wa mtandao wa TikTok, kufuatia utafiti unaoonesha...
0 Reactions
10 Replies
777 Views
Tafsiri kwa msaada wa google. Mwanajeshi wa Kizayuni; Abu Ubaidah ni Jinn hatuwezi kuendelea kupigana nae. Ndugu na dada wapendwa katika siku za hivi karibuni Madai ya kushangaza yametolewa...
10 Reactions
98 Replies
5K Views
Japo hospitali yenyewe ni kubwa, ila nini kiliwaamisha hawa magaidi wa dini kwamba kwa kujichimbia humo watapona kwa kipigo, maana wamefumuliwa humo hivi majuzi. Over the last week, the Israel...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Itakuwa ni habari mbaya mno kwa m-sayuni na ndugu yake. Walipo watakuwa wanatweta kwa hasira. Kwamba imekuwa kura 14 dhidi ya 1 ya beberu mmoja aliyeona aufyate? Kwa hakika inatosha sana. Vita...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
🚨Top NATO general killed in a Russian Iskander missile strike on NATO underground base near Chasov Yar. ⚡️The Operational Command of the Polish Armed Forces have confirmed the death of Brigadier...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Mar 26, 2024 10:52 UTC Guterres atoa wito kwa nchi za Magharibi kulipa fidia Waafrika kutokana na biashara ya utumwa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kulipwa...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Umoja wa Mataifa wiki iliyopita umeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi, na kaulimbiu ya mwaka huu ni “Muongo wa Utekelezaji wa Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Asili ya...
2 Reactions
14 Replies
839 Views
Mkutano wa 13 wa Baraza la Washauri la China na Afrika ulifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huo ulifikia "Makubaliano ya Kukuza Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa...
2 Reactions
3 Replies
333 Views
Daraja kubwa la Francis Scott Key Bridge lenye urefu maili 1.6 huko Baltimore limegongwa na meli ya mizigo na kizamishwa baharini kabisa huku malori na magari madogo yakizama baharinii The moment...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom