Wanaukumbi.
Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya azimio la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa
Netanyahu amekasirika. Alighairi ujumbe kwa DC kwa sababu Marekani ilijiepusha...
Duniani kila jina lina maana. Hakuna jina lisilokuwa maana. Hata wewe jina lako lina maana yake, baya au Zuri
Kwa mfano, Adam maana yake ni udongo mwekundu
Hawa maana yake ni mama wa wanadamu...
Tokea mwaka jana mwishoni vikwazo vya silaha vilipoisha kwa Iran,Iran imeonesha drone mpya iitwayo Gaza Doha yenye uwezo wa kutembea maili 1200 sawa na kilometa 2000 na yenye uwezo wa kubeba...
Kwanini BBC Swahili inahimiza Islamic State wamehusika shambulio la Urusi wakati serikali ya Urusi inasema Ukraine ndio wahusika? Warusi wanahimiza Ukraine ndio wahusiks lkn BBC swahili hawataki...
Waliacha huo uwongo uenee kwa masaa 24 kisha wakaufuta kimya kimya.
Licha ya yote, kipigo kiko pale pale.
==================
After more than 24 hours of letting the story run freely, Qatari...
Al Jazeera has removed all stories about a woman who claimed she was raped by IDF soldiers - after a columnist claimed a Hamas investigation allegedly revealed the woman who claimed IDF raped her...
Aise Urusi wana shida, huku wanapigwa na magaidi wa Kiislamu, kule wanapigwa na Ukraine.....
Kunao mnasema hao magaidi walitumwa na Ukraine, haya sasa Ukraine watakua waneongeza pigo lingine...
Huwa mnaambiwa mjitoe mhanga ili muwahi mabikira 72, ila makamanda wanaogopa kufa wanakamatwa hai....
The IDF announced on Thursday that in its four-day operation in Shifa Hospital in northern...
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, alikihutubia kwenye runinga ya kitaifa tarehe 23 Machi, 2024 kuwa nchi hiyo inatarajia kupitisha sheria kuruhusu wageni kumiliki ardhi na nyumba nchini humo...
Ukraine inasema mji wa kusini wa Mykolaiv umekumbwa na mashambulizi ‘’mkubwa’’ ya Urusi kufanya mashambulizi usiku kucha.
Mmoja wa watu tajiri zaidi wa Ukraine, Oleksiy Vadatursky, na mkewe Raisa...
Matumaini ya kupatikana nafuu kwa wapalestina karibia milioni 2 na nusu wanaoangamia kwa vita na njaa yameanza kupatikana.
Katika mazungumzo ya kusitisha vita baina ya Israel na Hamas kila upande...
Mamia ya wanafunzi wa kike wametekwa nyara katika jimbo la Kaskazini-magharibi la Zamfara, BBC imeelezwa.
Mwalimu amesema takribani wanafunzi 300 wamechukuliwa wakati wa shambulilio la siku ya...
Nini kinaendelea Urusi?
Leo Msemaji wa Kremlin bwana Peskov amekiri mbele ya vyombo vya habari kwamba sasa Urusi iko vitani rasmi. Amesema kilichoanza kama oparesheni maalumu ya kijeshi( maarufu...
Bandari ya Eliat kusini mwa Israel inakusudia kuwapunguza wafanyakazi wake zaidi ya nusu baada ya mamlaka ya bandari hiyo kupata ukata mkubwa uliotokana na kukosekana kwa meli zinazotumia bandari...
The White House has instructed the M 23 rebels to use only light weapons when engaging in the figthing,and also to get out of DRC.
This is very humane for The White House to say such a thing...
Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara.
Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC...
Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa.
Pale Italia wana pesa yao, ila...
Ni vyema hawa walioshambulia Russia wangejiripua au kujiua kwa namna yoyote ile.
Ila kukamatwa kwao ni wa kuwaonea huruma zaidi.
Aisee warusi wana roho za kikatili nikifikiri yanayo enda...
Netanyahu alikuwa anaongea na viongozi wa Afrika miaka michache iliyopita.
Actually alikuwa anamnukuu Theodor Herzl, kiongozi wa Wayahudi aliyesema: "After I have freed the Jews,I will go to...
Imekuwa aibu kwa Marekani na azimio lake uchwara la kusimamisha vita Gaza.
Kwamba halikupigwa veto moja bali duble duble Marekani ijitafakari sana.
Wenye akili zao wanatambua, urafiki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.