NEW YORK (AP) — Donald Trump’s lawyers told a New York appellate court Monday that it’s impossible for him to post a bond covering the full amount of a $454 million civil fraud judgment while he...
The day after he said he stands with Palestine
------
Ireland’s Prime Minister Leo Varadkar has announced his resignation, in a surprise move.
Speaking to journalists outside government...
Russian authorities on Sunday said they had killed six suspected Islamic State group fighters in the southern Muslim-majority Caucasus republic of Ingushetia.
Special forces from the FSB security...
Walalamika na kusema USA wameanza mashambulizi ya kupiga popote na hii inaleta hatari kwa wasiohusika.....
Muhammad Ali Al-Houthi condemns American-British strikes in Yemen, alleging aid to Gaza...
Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo...
Wanafunzi wasiopungua wanne wa kigeni wamejeruhiwa baada ya kundi la Wahindu wenye chuki za kidini kuvamia dakhalia ya chuo kikuu katika jimbo la Gujarat magharibi mwa India na kushambulia kundi...
They want you dead,do not comply.
Backstory:
In March of last year my dear relative T was persuaded into taking Pfizer’s slow kill bioweapon injection.
On the way to the appointment T called me...
Mfalme Charles III wa Uingereza anatarajiwa kupatiwa matibabu ya tezi dume wiki ijayo.
Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la BBC, Jumba la kifalme la Buckingham limesema leo Januari 17, 2024...
Muda mrefu ilielezwa kuwa Gaza ndio gereza kubwa la wazi duniani lililowafungia watu karibu milioni 2.5
Baada ya hilo mshauri wa mambo ya nje wa jumuiya ya Ulaya,Joseph Borell amesema eneo hilo...
Adam Selassie ni dereva wa basi dogo mjini Addis Ababa, Ethiopia. Siku hizi anafurahi sana, kwani amepata gari jipya la umeme. Gari hilo limeagizwa kutoka China, na hadi sasa, kuna madereva wengi...
Iran has sent its top government officials to Niger following the departure of the US military from the country.
U.S officials have stated that Iran is negotiating a deal to have TOTAL control of...
Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze.
Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo...
Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary
https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8
BBC Africa Eye investigates the plight of Malawian women lured to Oman with offers of domestic work, only to...
Kwa mjibu wa gazeti la Le Monde la huko Ufaransa linataja Jeshi la Rwanda RDF kuingiza vifaa vya kutungua ndege na drone kusaidi waasi wa M23.
Ikumbukwe kwa sasa wanakabiliana na majeshi ya Kongo...
Kufikia Machi 20, 2024, uchunguzi wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) unaonesha kuwa takribani waandishi habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 ambao ni miongoni...
Hii imetokea CONGO
========
Gari la Umoja wa Mataifa limepinduka huko Congo na inaripotiwa lilikuwa limebeba madini haramu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) imewapa wateja waliotoa pesa nyingi zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao hadi mwisho wa wiki kuzirejesha la sivyo watakamatwa na kufunguliwa mashtaka...
Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na Mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.
Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka...
Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo".
Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza...
Hivi karibuni, Marekani ilitangaza kwamba imefanya mashambulio ya anga katika maeneo 85 nchini Iraq na Syria, dhidi ya Kikosi cha Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran na makundi ya silaha yenye uhusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.