Pwani ya Yemen limeokotwa gaidi la kimarekani
Citizens in the Al-Tuhayta district of Al-Hodeidah governorate have discovered the body of an American soldier on the beach.
Tayari Yemen wameifanya...
Habari za hivi punde no kwamba,
Shirika la habar la Serikali ya urusi RUSSIA TODAY (RT) limeripoti kwamba magaid hao wamekamtwa mkoani BRYANSKI walipokua katika juhudi za kutoroka kupitia mpaka...
Scientists propose eating more python
These big reptiles may be a sustainable meat source, if farming can be scaled up.
Burmese pythons can reach lengths of 20 feet. DEPOSIT PHOTOSSHARE
The...
Russia imerusha makombora kuelekea Ukraine yaliyopitia ndani ya Anga la Poland masaa machache yaliyopita na kusababisha Poland kurusha ndege zake F 16 lakini zilisha chelewa na kusababisha mzozo...
SENEGAL: Kura za Uchaguzi Mkuu utakaoamua muelekeo mpya wa Taifa hilo zinatarajiwa kupigwa leo Machi 24, 2024 ambapo Wagombea 19 wanawania nafasi ya Urais kwa lengo la kumrithi Rais Macky Sall...
Shirika la Exit International la Marekani limezindua mashine maalumu la kujiua iitwalo ‘Sarco Pod’ ambayo inafanya mtumiaji afurahi na kuchanganyikiwa kwa wakati mmoja kabla ya kuaga Dunia, pia...
Waziri mkuu wa poland, Donald tusk ameviamrisha vyombo vya usalama nchini Poland (POLISH SECRET SERVICE) kujiandaa ipasavyo kwa matokea yoyote ya kutisha ya kikanda baada shambulio la kigaidi...
Na yakatimia kweli! Intelligence ya Marekani ni habari ingine kabisa.
But that doesn’t mean it’s foolproof
https://youtu.be/M665-CETLH4?si=X_wFcE6FcXOZJAI6
Hii hapa habari kutoka New York Post...
Katibju mkuu wa umoja wa mataifa, Antonio Guterres kwa mara nyengine amewaambia viongozi wa jumuiya ya Ulaya wazitumie sheria za kimataifa kwa hali ya usawa. Yale wanayoona ni sawa au kuyapinga...
Mojawapo wa maombi ya HAMAS kwenye mazungumzo ya amani ni kwamba viongozi wake wataihama Gaza na wasiuawe popote watakapokwenda, wahakikishiwe uhai wao.
Hilo ombi ni ngumu kutekelezeka maana...
Gharama ya vita ni kubwa sana.“Matumizi ya vita yamefikia dola trilioni 2.2 katika vita mbalimbali ulimwenguni pote. Kiwango hicho hakijawahi kufikiwa wakati mwingine wowote.”—The Washington Post...
Yaani warusi wa Moscow wameambukizwa tabia za warusi wa tandahimba.
——––————————————————
Ikulu ya Marekani imethibitisha kuwa ilionya mamlaka za Urusi mapema mwezi Machi kuhusu kuwepo na uwezekano...
Matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, akisifu historia na utamaduni wa Russia, yameliweka jina lake katika orodha nyeusi ya maadui wa Ukraine...
Princess of Wales, Kate Middleton ametangaza kuwa anapatiwa matibabu wa ugonjwa wa Saratani baada ya kugundulika nao.
Taarifa hii inakuja baada ya sintofahamu ya muda mrefu kidogo waliokuwa nayo...
My take :Waarabu pia wamechoshwa na ugaidi wa Hamas.
....
https://www.middleeastmonitor.com/20240321-saudi-uae-among-states-fuelling-israels-offensive-on-gaza-report-finds/
NIGERIA: Rais Bola Tinibu amepiga marufuku safari zote za Nje za Viongozi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Aprili 1, 2024, lengo likitajwa kuwa ni mpango wa kubana na kupunguza Matumizi ya...
Poleni kwa msiba....
The IDF Spokesperson's Unit confirmed that a fighter jet killed Hamas terrorist Hadi Mustafa on Wednesday. Mustafa was a key Hamas operative and significant in directing...
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesaini Mpango wa Jeshi la IDF kuuvamia mji wa Rafah
Ni Hatari sana
---
etanyahu "approved the plans for action in Rafah," his office said in a...
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa, wanajeshi 17 wa utawala wa haramu wa Israel wameangamizwa katika mashambulizi ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
Shirika la habari la Palestina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.