UFARANSA: Rais Emmanuel Macron, ametangaza kuwa ifikapo Mei 2024, Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Sheria itakayotoa Haki ya kusaidia Watu Kufa baada ya kuugua au kufikia hatua mbaya ya...
Jeshi la Israel limekamilisha ujenzi wa barabara mpya inayopita katitaki ya eneo la kaskazini mwa Gaza kutoka mashariki hadi magharibi mwa eneo hilo. Haya ni kwa mujibu wa picha za satelaiti...
LIBERIA: Rais Joseph Boakai ametangaza kuunda Kikosi Kazi kitakachokuwa na jukumu la Kukabiliana na Vitendo vya Rushwa pamoja na kurejesha Mali za Serikali zilizoibwa kifisadi.
Kupitia tangazo...
Uzi huu upo kitechnologia zaidi kuliko M23 yenyewe!
Wakati dunia inaamuka kuanza kutumia majeshi binafsi nchi za ulaya na USA ziko miaka 100 mbele yetu wakati huo Nchi za africa ziko karne mbili...
Kuanzia majuzi wanamgambo wa Houth wameanza kuzipa onyo meli zinazokatiza maeneo yao kabla ya kuzirushia makomboa.
Wakitumia meli yao ya wanamaji wiki iliyopita walimuonya kapteni wa meli ya True...
Nimeangalia video ya Michelle Obama wakati akiwaaga wamarekani kupitia wanafunzi wa chuo kikuu...Hotuba ile aliyoitoa yule mwanamama maneno aliyoongea ni wachache sana duniani hata wenye elimu...
Huu umoja wa Kujihami dhidi ya Taifa moja lenye nguvu duniani ndio kila siku wanafanya mazoezi na bajaji kwa ajili kuivamia Russia aise labda wasijaribu maana watachapika mpaka wakimbie na chup...
Itakuwa wanyarwanda wanampenda sana Kagame.
Rwanda's ruling party again choses Kagame as presidential candidate
Rwanda's ruling party on Saturday picked President Paul Kagame as its candidate for...
Jeshi la Urusi limepiga na drone mita 200 toka eneo la mkutano baina ya Zelensky na Waziri Mkuu wa Uigiriki Kyriakos Mitsotakis huko Odesa na wengine 12 kuuwawa.
BREAKING:
Russia nearly kills an...
1 Samuel 3: 11
And the LORD said to Samuel: “See, I am about to do something in Israel that will make the ears of everyone who hears about it tingle.
I am reminded of that verse in The Holy Bible...
China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani.
Bank kuu ya China imekopesha mataifa 138 na kusamehe madeni mataifa 38.
Hivi...
US ARMED FORCES MAN SETS HIMSELF ON FIRE IN FRONT OF ISRAELI EMBASSY IN WASHINGTON D.C.
He said he would “No longer be complicit in genocide.”
=======
WASHINGTON (AP) — An active-duty...
Viongozi wa HAMAS walio ndani ya Gaza wapo radhi vita visitishwe na mikataba itiwe saini, wao wameshaonja joto la jiwe, hawana hamu tena, ila wale wanaoishi kwa raha kule nje wanataka muda uvutwe...
Ghadhabu yake Haina huruma hata kwa wanawake na watoto. Rejea wakati wa NUHU katika Ile gharika wanawake na watoto wa waovu wote waliangamia kwa maji.
Sodoma na Gomora wanawake na watoto wote...
Bi Naledi Pandor, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini ameshangazwa na matumizi ya maneno pekee kutaka misaada ifikishwe Gaza bila vitendo huku watu wakidondoka mitaani kwa njaa...
Mpinzani mkubwa wa waziri mkuu wa Israel Beny Gantz ameondoka Israel ghafla na bila ruhusua ya Netanyahu kwenda Marekani kukutana na viongozi wa nchi hiyo kuzungumzia vita kati ya nchi yao na...
chapa
Bingwa wa zamani wa uzito wa juu, Anthony Joshua amefanikiwa kumpiga kwa Knock Out (K.O) Francis Ngannou bingwa wa zamani wa UFC wa uzito wa juu katika pambano lililofanyika Riyadh nchini...
Marekani anatafutwa kwa kila njia ili ajae kwenye 18 lakini anaogopa Urusi kamtega Marekani kwa Iran lakini kastuka kakimbia Sasa na China amemtega Marekani kwa North Korea ili ajichanganye...
Takwimu za vifo Gaza ni kubwa mno kiasi kwamba inakadiriwa kati ya kila wapalestina 20 mmoja kati yao ameuliwa.
Suala la vifo zaidi ya 100 na baadhi ya siku mpaka 700 ni kitu cha kawaida.Kuna...
[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]Ukitaka kujua uwezo wa bomu basi shuhudia gari linapokanyaga bomu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.