International Forum

News and Stories from rest of the World
Mbunge mpya wa Uingereza 🇬🇧 aliyechaguliwa huko Bradford George Galloway atangaza Jiji la Uingereza 🇬🇧 kuwa👇 "Eneo lisilo na Israeli 🇮🇱" "Tumetangaza Bradford kuwa eneo lisilo na Israel 🇮🇱...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
According to AP news, Florida will ban thousands of homeless people from setting up camp or sleeping on public property, under a bill lawmakers sent to Republican Gv. Ron DeSantis who support the...
1 Reactions
5 Replies
456 Views
Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la UNICEF inaonyesha kuwa zaidi ya wanawake milioni 230 duniani kote ni manusura wa ukeketaji. Ongezeko hilo limechangiwa na ukuaji wa idadi ya watu katika nchi...
0 Reactions
1 Replies
412 Views
"Wakati Mikutano Miwili" inafanyika wiki hii, dunia nzima sasa inaangazia tena China. Mikutano Miwili yaani Bunge la Umma na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa ya kila mwaka ni dirisha muhimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
SENEGAL: Rais Macky Sall amekubali kufanya mabadiliko ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu kutoka Desemba 15, 2024 hadi Machi 24 kutokana na maandamano yanayomtaka kuheshimu muda wake wa kuondoka...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Mkutano wa Bunge la Umma la China na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inafanyika, na suala la kiuchumi linafuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Katika ripoti ya kazi ya...
0 Reactions
1 Replies
439 Views
Balozi wa Ujerumani alieko nchini Uingereza bwana Miguel Berger aliitwa katika ofisi za wizara ya mambo ya nje ya Uingereza ili atoe maelezo kuhusu kuvuja kwa rekodi ya mazungumzo ambayo kamanda...
23 Reactions
22 Replies
3K Views
A med school lecturer in Bangladesh has been suspended from his job, two days after he allegedly shot and injured a student during an exam. Raihan sharif was arrested after the incident, but was...
0 Reactions
3 Replies
447 Views
Zambia has declared a state of national disaster and emergency due to a severe drought that its president, Hakainde Hichilema, attributes to the “the el Niño weather phenomenon, influenced by...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Yemen hits a container ship heading to Israel[emoji91][emoji91]
6 Reactions
16 Replies
1K Views
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Urusi ameshatangaza sasa tusubiri kama NATO wataingiza...
17 Reactions
196 Replies
9K Views
Meli kubwa sana ya mizigo iliyosajiliwa Liberia na kupeperusha bendera ya Barbados imepigwa na kombora la Houth na kusababisha mripuko mkubwa pamoja na vifo vya mabaharia wawili. Mabaharia...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali ya kuendeleza Ubabe dhidi ya Marekani leo Iran wameiteka meli ya mafuta ya Marekani ikiwa na mafuta ya uwizi yenye thamani ya Dola milion hamsini...yaliyokua yakitoroshwa kupelekwa...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu. Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na...
7 Reactions
203 Replies
6K Views
Hello! Majuzi nchi ya Rwanda imemteua aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuwa Ambassador nchini Tanzania, huku Tanzania kwa mfululilizo tukiwapeleka ma Meja Jenerali kuwa mabalozi nchini Rwanda. Je, nchi...
11 Reactions
53 Replies
5K Views
Kila nikianza kuwahurumia hawa watu halafu nikutane na habari kama hizi najikuta natamani wapigwe tu, yaani miundo mbinu yote hii ilijengwa wakishuhudia kimya kimya, walikusudia kuiona Israel...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Mtakubali tu nyie ni mizembe na mnategemea hako kataifa miaka yote hata kama mnakatupia mabomu.... On November 16, Jordanian Foreign Minister Ayman Safadi – whose anti-Israel rhetoric since...
0 Reactions
8 Replies
698 Views
DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Serikali imetangaza hali ya dharura na amri ya kukaa ndani (kuanzia Saa 12 Jioni - 11 Asubuhi) hadi Machi 6, 2024 kwa Wakazi wa eneo la Ouest linalojumuisha Mji Mkuu katika jitihada za kukabiliana...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuharibika kwa nyaya tatu za intaneti za chini ya bahari kumetajwa kuathiri karibu robo ya data za intaneti kwa maeneo ya mashariki ya kati,Ulaya na maeneo ya Asia. Kukatika kwa nyaya hizo...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom