Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ina lengo la kurejesha adhabu ya kifo, ambayo ilisitishwa miaka 20 iliyopita, kwa wanajeshi wanaopatikana na hatia ya uhaini dhidi ya waasi wa M23...
Miili ya maafisa watatu wa kijeshi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - waliouawa katika shambulizi la wanamgambo nchini Somalia - imewasili Abu Dhabi.
Taarifa ilisema afisa wa nne ambaye alipata...
Rais wa congo yuko mjini Gaborone kwa ziara ya kikazi na leo amesema kikosi cha Afrika mashariki kilichopelekwa nchini mwake hakijafanya lolote la maana na kimeanza kushirikiana na waasi wa M23 na...
Tatizo la waarabu ni kupenda fujo alafu watu wakianza kulipiza kisasi wanaanza kulia lia tuoneeni huruma tuoneeni huruma, Inshort waarabu ni wakorofi na Nguvu za kupigana hawana
Ukiangalia hii...
Hii Iran moja ndio ilitoa mikwara sana kwamba Israel ikivamia Gaza itakua imevuka mstari mwekundu, sasa imeishia kuomba omba kwa kauli za kinyonge kwamba Israel izuiwe kucheza mpira wa FIFA...
Kwa kweli kiaina hata mimi nimeanza kupata kaukakasi fulani, jameni mpaka sasa sidhani kama kuna yeyote hajapata adabu yake pale Gaza, hata hao HAMAS kama kuna siku nyingine wataichokoza Israel...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekataa pendekezo la Hamas la kusitisha vita na kuwaachilia mateka ili kubadilishana na kuondoa majeshi ya Israel, kuwaachilia wafungwa na kukubali...
Rais wa Hungary, Katalin Novak ametangaza kujiuzulu baada ya kutoa msamaha kwa mtu aliyeficha taarifa katika kesi ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto
Mtu huyo alitiwa hatiani kwa...
Helikopta iliyokuwa na watu sita, ikiwa ni pamoja na mwanzilishi wa benki kubwa zaidi nchini Nigeria, imeanguka jangwani kusini mwa California karibu na Mojave National Preserve, mamlaka zimesema...
Maandamano ya kumtaka Benjamin Netanyahu aachie madaraka na uchaguzi uitishwe yameiingia hatua ya juu leo pale waandamanaji kwenye mitaa tofauti ya Tel Aviv kuziba njia kuu za usafiri.
Hata hivyo...
https://twitter.com/TuckerCarlson/status/1755734526678925682?t=UwfeRAPB-CHAYR0o6V6Jig&s=19
-Putin anajua historia sana
-Putin anaendesha ndege ya kiakili juu ya wanasiasa wote wa Amerika
-Putin...
"Hakuna mtu atanipa kashfa ikiwa nitatoa baraka zangu kwa mfanyabiashara anayewanyonya watu, na hii ni dhambi kubwa sana. Lakini nitapewa kashfa ikiwa nitatoa kwa wapenzi wa jinsia moja, Huu ni...
Mashinikizo ya vita yameanza kumuelemea waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu na kuanza kuona dalili mbaya mbele yake.
Marekani mbali na kutofautian naye katika sera za kivita vile vile...
Congo is the promised land. Congo is the land filled with honey. Congo is the land filled with Natural resources. Congo is the Richest land on the planet. Congo is the land filled with Mineral...
Israel wanaendelea kuvuka mistari yote inayochorwa na Waarabu na Iran, mistari ya blu, nyekundu inafyatua yote....
Rais wa Iran kaambulia kulalamika kwenye mitandao ya kijamii....
Katukanwa sana...
DR-CONGO: Ripoti ya Shirika la Misaada ya Kibinadamu la #SaveTheChildren imeonesha takriban Watoto 78,000 wamelazimishwa kuondoka katika makazi yao katika kipindi cha wiki chache zilizopita huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.