Hawa magaidi wenye mlengo wa uislamu wamekua kero kote duniani, sikujua hata Ufilipino na huko wameliamsha, wanaendelea kuuawa.
Inashangaza hata kwa nchi ya Ufilipino ambayo asilimia kubwa (93%)...
Kijana Jack Teixeira akielekezwa kwenda kwenye gari ya maofisa wa SWAT kutoka FBI. Picha na CNN
Jack Teixeira kijana mwenye umri wa miaka 21 ambae ni mwanajeshi katika jeshi la anga la Air...
Shirika la ndege la taifa la Israel El Al litaacha kutoa safari za ndege kwenda Afrika Kusini kuanzia mwisho wa Machi, shirika hilo la ndege lilisema Ijumaa, likitaja kupungua kwa mahitaji ya...
Southern Alamance middle school in North Carolina removed mirrors from bathrooms due to students taking excessive breaks for making TikTok videos.
The school noticed students visiting restrooms...
Wapiganaji wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon wameshambulia kwa makombora vituo na ngome za kijeshi za Israel kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kusambaratisha mfumo wa kamera za...
Miezi mitatu mbele tangu shambuliao la kihistoria la Hamas hapo oktoba 7 mwaka 2023, kwa mara ya mwanzo Israel imekiri kwamba vita vimebadilika.
Msemaji wa jeshi la Israel katika mhojiaano na...
26 JANUARY 2024
Today, the "united" States of America stand on the precipice of actual CIVIL WAR. Twenty-Five of the fifty states now publicly stand with Texas against the rogue and...
Watu ambao hawajachanjwa ni watu wenye sifa ya ujasiri mkubwa. Ni watu bila shaka wenye sifa ya ukosoaji na bila shaka yeyote pia ni wanadamu bora zaidi kuliko wengine.Hata kama ningechanjwa...
Meli ya mafuta inawaka moto katika Ghuba ya Aden, mwendeshaji wake anasema, baada ya wapiganaji wa Houthis kusema waliishambulia kwa kombora.
Kundi hilo la Yemeni lilisema lililenga meli hiyo kwa...
Kwa wale ambao wana nafasi leo ndiyo siku ya hukumu ya kesi ambayo Afrika ya kusini ilifungua kuishitaki Israel katika mahakama ya kimataifa kuwa inafanya Genocide huko Gaza.
kwa wale walio...
Wanaukumbi.
Msikilize Craig Mokhiber, afisa wa zamani wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkurugenzi wa NY Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) na mwanasheria wa Kimataifa wa...
Mzuka Wanajamvi!
Hili halipingiki. Tuko tayari kufa, kupigwa na kubaguliwa na Wa Israeli/wayahudi. Myahudi akikupiga, kukuua na kukubagua hiyo ni mibaraka. Mungu alilinde taifa teule la Israel...
Kumekucha, wameanza kutia akili, kimsingi haitokuja waue Wayahudi wote, hivyo lazima wakubali kuishi kwa amani.
Kila nikikumbuka picha ya huyu mwamba huwa nacheka sana, alidhani vita ni zile...
Baada ya Ujerumani kutoa maelekezo kwa serikali ya Niger kua haitaki kuona Niger na Russia zikishirikiana la sivyo wao Wanafunga Ubalozi wao. Niger wamekuja na majibu kwa Germany.
Niger tackles...
Kiherehere kimeiponza Uingereza baada washirika wengi wa Marekani kukataa kuungana na Marekani kuishambulia Yemen Uingereza ikajitokeza na kukaza shingo kuwashambulia Houthi sasa meli zake...
US na UK wameonyesha wako tayari kupiga popote, yaani hawa Houthi wanataka wao wapige meli lakini wasipigwe kunako.....
Houthis accuse US, UK of targeting Ras Isa oil terminal in Hodeidah...
BREAKING:
[emoji298] [emoji636][emoji631] South Africa now wants to take both the US and the UK to court
South African Lawyers have announced they intend to file a lawsuit against the U.S. and...
Waziri wa Mambo ya nje, Hungary -Peter Szijjártó:
" Hivi iliwezekana vipi mwaka Jana Russia ndo akawa msambazaji mkuu wa uranium kwa nchi ya marekani?
Na Marekani ameilipa zaidi ya dola million...
Ndani ya Gaza kuna makundi kadhaa yanayopigana dhidi ya Israel kwa lengo moja la kuitetea Palestina na kuulinda masjid al aqsa.
Kila kundi lina wapiganaji wake na hazina ya silaha.Kuna vikundi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.