International Forum

News and Stories from rest of the World
Why? Why wanaamua kuwaachilia mateka? Tulikubaliana waache wayahudi waingie Gaza. Kisha tuwazunguke tuwapige kipigo kikali asirudi kwao hata mmoja. Nashangaa wanapowaachilia mateka. Hawa Israel...
4 Reactions
15 Replies
883 Views
Akataa Wapalestina wasipewe dola yao, (yaani two-state) msimamo wake ni mapigano yaendelee hadi Israel ifutwe, tatizo anayasema yote haya akiishi kwa raha na starehe huko Qatar wakati wana Gaza...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Raisi wa kwanza wa Zambia alikuwa raia wa Malawi asilimia Mia. Baba alikuwa raia wa Malawi na mama pia alikuwa hivyo. Baba alikuwa mchungaji aliehamia Zambia. Kaunda alikuwatu mzaliwa wa Zambia...
4 Reactions
7 Replies
799 Views
Baada ya tukio la october 7, zilikuwepo taarifa za kuonyesha kuwa kulikuwa na unyama mkubwa sana uliofanywa na HAMAS siku hiyo ikiwemo ubakaji na mauaji ya watoto. Uongo huo ulisambazwa dunia...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Siku Waafrika wakisema tunapinga na kulaani, na ni mtindio wa akili kukubali mtu mwenye dhamana ya kukuletea huduma ya afya eti yeye ndio anasafiri kupata huduma ambazo sisi hatuzipati, tena...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
https://www.aljazeera.com/news/liveblog/2024/1/19/israels-war-on-gaza-live-us-support-for-israel-ironclad-despite-rebuff sisi Hamas.... tutaendelea kupeana tough na kuwatia moyo wenzetu. hali ya...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Kumekucha:Yemen sasa kufunga njia zote za bahari za mashariki ya kati BREAKING: [emoji298] [emoji1267][emoji1134]Reports from Yemen that the Houthis plan to close all three waterways in the...
8 Reactions
55 Replies
3K Views
Askari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21...
16 Reactions
163 Replies
6K Views
Hawa waarabu wamekua wakilalamika sana kwa kichapo cha Israel dhidi ya HAMAS, ila waoga likija suala la matendo, wameshindwa kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel..... Last...
0 Reactions
8 Replies
906 Views
Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 zenye nguvu nyingi za kijeshi katika Afrika. --- The military stands as one of the most relevant institutions in the world, serving as a foundation for security...
0 Reactions
7 Replies
972 Views
Ripoti mpya iliyotolewa na Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari (CPJ) imeonesha idadi ya Waandishi wa Habari waliofungwa Jela kutokana na Majukumu yao, imeongezeka kutoka 31 kwa mwaka 2022 hadi...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Africa kuna matatizo. Tena makubwa. Uchumi wa Vietnam ni mkubwa kuliko wa taifa lolote Africa. Wa Vietnam walikuwa kwenye Vita wee miaka ya sitini na sabini lakini sasahivi uchumi wao umepaa...
2 Reactions
14 Replies
834 Views
Breaking news: 21 Israeli soldiers dead after Hamas RPG blast causes building collapse during fighting in central Gaza (link below). This brings the death toll in ground op to 219. My question...
0 Reactions
2 Replies
361 Views
Hali inazidi kuwa tete kwa Israel baada ya waziri mkuu mwengine wa zamani Tzippi Livni kutomuamini Netanyahu na mipango yake ya vita. Bibi huyo naye ameondoa matumaini ya kushindwa kwa Hamas...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hakatishi mtu. Kwa amri na utekelezaji wa wanamgambo wa Houthi wa Yemen. Nia na madhumuni wamesema ni kuzuia usafirishaji kwenda Israel. Lakini kwa sababu baharini huwa ni vurugu mechi, li meli...
40 Reactions
109 Replies
6K Views
Serikali imeweka wazi taarifa za vipimo vya Afya vya Rais Hage Geingob (82) na kuueleza Umma kuwa kiongozi huyo amekutwa na Ugonjwa wa Saratani na anatarajiwa kuanza matibabu kama ambavyo...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Mgogoro wa, Israel na Palestine Una faida kwa taifa la Misri. Ukweli ni kwamba Misri ana mkataba wa kutoingilia huo mgogoro na anapata billions of dollars kama hongo from USA. Ndiyo maana huoni...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa jumuiya ya kimataifa imeendelea hatua kwa hatua kuitambua sera ya kuwepo kwa China moja kama ilivyo kwenye sheria ya kimataifa, sera inayosema kuwa kuna China moja tu duniani...
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Yi, amemaliza ziara ya kidiplomasia ya mwaka huu kwa kuzitembelea Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire, ikiwa ni sehemu ya desturi ya zaidi ya miongo...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, alifanya ziara barani Afrika na Amerika ya Kusini, ikiwa ni ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2024. Imekuwa ni desturi kwa Waziri...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Back
Top Bottom