AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake...
Kwa takriban miaka mitano sana makamanda wakubwa wa Iran na vituo muhimu vya kijeshi vya Iran vimekuwa vikishambuliwa na Israel ndani ya Syria na hata ndani ya Iran yenyewe.
Mtekelezaji wa...
India, at the Third South Summit in Kampala, Uganda, underscored the pivotal role of the Global South as the world's "future growth engine," and emphasised the need for South-South Cooperation to...
Ukifuatilia wakrsto wachache wanaoishi somalia ni kama wapo kifungoni hawana amani wameathirika kisaikolojia kutokana na uchache wao ambao ni chini ya asilimia 5 wengi wao wanasali nyumbani...
Haya sasa twende wale raia wavivu wa Israel waliozoea misaada maisha yao yote sasa wajanja wao wanaokusanya misaada yote inayoingia Ukanda wa Gaza wameacha kuwaletea mchele wa basmat na unga wa...
Ni hilo tu ndugu Zangu maana nahisi Dunia si salama tena
Hivi punde Israel kapata Kipigo kibaya zaidi tangu Vita ianze na kupoteza askari wake 24 kwa mpigo
Kwako Ustaadh FaizaFoxy 😂
Wenzetu wanaendelea kufanya makubwa wakati huku Afrika tupo tupo almradi siku zisonge....huu mfumo unaangusha drone ya aina yoyote.
DragonFire laser demonstration. (Supplied, UK government)
The...
Waziri mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Baraka amemwambia waziri mkuu wa sasa,Bejamin Netanyahu kuwa kwa jina la Mungu aondoke madarakani.
Ehud Barak amesema kwa kuendelea kuwepo madarakani kwa...
Bunge la Yemen leo limepitisha rasmi kuwa sheria na kutambua serikali za Uingereza na Marekani kama mtandao wa ugaidi duniani.
Hii maana yake ni kwamba kuanzia leo Uingereza na marekani ni maadui...
Kaamua kuwawahisha wenzake kwa mabikira na kutoroka......
An Iranian soldier opened fire on fellow soldiers, killing five of them in the southeastern city of Kerman, where 94 people were killed...
Vijana wa houthis wanazidi kuchezea sharubu za super power.,mara hii wameshambulia meli ya marekani ikiwa na shehena ya vifaa vya kijeshi,hii Ngoma inazidi kuwa ngumu 🥱🥱
Sent from my Infinix...
Waarab wa Sudan wamekua wakizunguka nyumba kwa nyumba na kuchinja watu wa kabila la Masalit, ambao asili yao ni weusi, tena waislamu yaani dini ya hao waarabu, wanakata vichwa na kuua kila kitu...
Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya (ICJ) iliyopo The Hague Nchini Uholanzi dhidi ya Israel kwa kile ilichokitaja kuwa ni vitendo vya “mauaji ya kimbari” katika...
"Rwanda imekuwa kivyake, hivyo hatuogopi na hatutishwi." Hii ni kauli ya Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakati wa sherehe za kuupokela mwaka mpya wa 2024 uliofanyika mjini Kigali Rwanda...
Akiongea wakati wa maombi ya Kitaifa Nchini humo, Kagame amesema “Watu wote tupo sawa mbele za Mungu hakuna Mtu ambaye yupo juu kuliko mwingine, ukweli huu uwe chanzo cha kuwapa hamasa na msukumo...
Ukraine inadai kutungua ndege ya kisasa ya Urusi A-50 AWACS. Kazi kubwa ya ndege ilikua ni kuelekeza makombora ya S-400 kuweza kutungua ndege Vita za ukraine zikiwa umbali mrefu zaidi.
Urusi...
Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!
Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.
Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi...
Vituko katika vita baina ya Israel na wapalestina daima havimaliziki ambapo maajabu mengi yameripotiiwa.
Muuza duka mmoja kwenye kijiji cha Dura karibu na Hebrona anasimulia kuwa askari wa Israel...
Huku Israel ikiendelea kushambulia hospitali ambapo magaidi ya HAMAS yameweka kama makao makuu yao, waziri mkuu amesema hatositisha mashambulizi hata kama dunia yote itakua dhidi ya Israel, yaani...
Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000?
Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.